Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,156
- 31,045
Ukisikia mara Marekani watu wengi wamekufa kwa Corona. Lakini video na picha za hivi karibuni tunaona watu hawavai barakoa na wala hakuna cha social distance. Kwenye mikutano yao ya vyama wanakusanyika kama kawaida na wala hakuna cha measures.
Huyu Corona haeleweki kama kweli sifa wanazompa anazo. Hata ile video ya wale askari wakimshoot mweusi hakuna ambaye alikuwa kavaa barakoa wala nini.
Nabaki najiuliza huyu Corona allikuwa ana agenda ikafail au ni vipi.