chuo

  1. JAMBONIA LTD

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Chuo kinachotoa Clinical medicine-Evening program

    Habari wakuu! Nimeona baadhi ya vyuo wakitoa evening program kwa Diploma za Nurse course, hivi kuna chuo kinachotoa Clinical Medicine kwa Evening program pia?
  2. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Halafu unafika chuo kikuu unaanza kujimwambafy ''ni juhudi zangu''.

    Dogo akiwa amekamatwa na wenzake wakimrudisha shuoe baada ya kutoroka. tunafanikiwa katika maisha kwa juhudi za wengi hata wale tuliodhani wanatuaribia mipango yetu.
  3. Laliga

    JamiiForums Tanzania Usumbufu na ubabe Chuo Kikuu Mzumbe

    Habari zenu wakuu, Naomba nisiwe na maneno mengi sana, mimi ni mwanafunzi hapa Chuo Kikuu Mzumbe mwaka wa pili. Hapa chuoni kuna usumbufu na kero kubwa zinazo endelea dhidi ya wanafunzi, uongozi wa chuo naona umechoka na wanafanya kazi kwa mazoea na ubabe mkubwa. Kwa mfano, sasa hivi wamegoma...
  4. Johnyy

    JamiiForums Tanzania Chuo gani ni bora kwa Kozi ya Uhasibu kati ya TIA na CBE

    Wana JF chuo gani ni best kwa uhasibu kati ya TIA na CBE naomba tuongee na facts.
  5. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi kutoka Kituo cha Ufundishaji Data cha Afrika Mashariki, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na Ofisi ya Mwanasheria ya Serikali

    UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/K/154 11th February 2020 VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of The Open University of Tanzania (OUT), The Eastern Africa Statistical Training Centre (EASTC) and The Office of the Solicitor...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam, Prof Ndomba hana uwezo wa kuiongoza Taasisi hiyo, abadilishwe

    Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam, Prof Ndomba, hana uwezo wa kuiongoza DIT kwa ufanisi na hivyo inapaswa abadilishwe. Sababu kuu za kutaka abadilishwe ni kama zifuatavyo: Hakubali kushaurika, hasikilizi na ni mbishi: Ukimshauri kama hapendi unachomshauri atakikataa hata haka hana...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu iwe ya mfumo wa 6+3+2+3, miaka 20 mtu kashahitimu chuo

    Amani iwe kwenu! Kwa mfumo wetu wa sasa wa elimu mwanafunzi anaanza darasa la kwanza akiwa na miaka 7, anasoma elimu ya msingi kwa miaka 7, akifaulu anaenda sekondari kwa miaka 4, akifaulu anasoma sekondari ya juu miaka 2 na akifaulu anaenda chuo miaka 3 (au zaidi kwa baadhi ya fani). Kwa...
  8. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mwanafunzi akisoma Shule binafsi hatapewa mkopo akifika chuo?

    Wakuu wangu wazuri nawabusu. Kuna mdogo wangu amemaliza Form Four Kisutu girls pale posta (Shule ya serikali) ana division two. Sasa kuna Uncle alimuahidi kuwa akipata ufaulu mzuri atamsomesha Advanced shule moja private ipo Tanga. Dogo anatarajia kusoma PCB (tuseme combination za science)...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Hivi Division 4, kwa sasa inakidhi vigezo vya kusoma chuo under NACTE?

    Hivi Division 4, kwa sasa inakidhi vigezo vya kusoma chuo under NACTE? Naomba ufafanuzi.
  10. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mwanafunzi ashikiliwa na Jeshi la Polisi baada ya kupiga na kutuma picha za ukosefu wa maji Chuo Kikuu Dodoma

    Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma Tungu Mgaya, anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma tangu jana kwa kutuhuma za kupiga na kusambaza picha inayoonesha shida ya maji chuoni hapo. --+ MWANAFUNZI MUYAGA TUNGU ANAYEDHANIWA KUPIGA PICHA ZA KUONYESHA TATIZO LA MAJI UDOM MIKONONI MWA POLISI...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Serikali itupie macho Chuo cha Ualimu Korogwe

    Kwa heshima na taadhima ni maombi yetu/yangu mamlaka zinazohusika kuchukua hatua kwa mambo yanayoendelea hapa chuoni Korogwe kwani tangu Mkuu wa Chuo aliyekuwepo kupandishwa cheo, kumekuwa na hali ya taharuki upande wa chakula. Chakula hakieleweki kwani chakula kinachopikwa ni zaidi ya...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Selection ya Form 5 na chuo huwa ni mwezi gani?

    Habarini wadau, nina mdogo wangu amepata div I ya 14 pass ni kama zifuatazo: Civ - B Kiswa - B Hist - C Geo - C Engl - B Engl in Literature - C Phy - C Chem - B Bios - A Math - B Dogo hataki kwenda Form V, anataka kwenda chuo moja kwa moja kwa kozi za afya. Je yupo sahihi wadau au...
  13. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kujua Chuo cha Afya cha private kizuri ngazi ya diploma

    Habar za humu ndan wakuu.Naomba msaada wa kujua chuo cha Afya cha private kizuri ngazi ya diploma (Clinical officer) kinachopatikana Dar es Salaam au Dodoma. Nikipata mawasiliano yao itapendeza zaidi. Shukrani!!
  14. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Tutor or Instructor Chuo cha NIT

    Post: Tutor/ Instructor II in Welding Technology 1 post Post Category (s) Engineering and Construction EMPLOYER: National Institute of Transport (NIT) Duties and Responsibilities i. Teaches up to NTA level 6 (Ordinary Diploma) and may assist teaching in higher NTA Levels; ii. Conduct...
  15. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Masister cha Kiluvya Makurunge

    Hivi hiki chuo kinatoa fursa zipi za ajira kwa wananchi wenye taaluma? Maana naona kwenye magari yao rangi nyeupe tu!!
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mhitimu wa Chuo Kikuu anayejikimu kimaisha kwa kusafisha viatu Ethiopia

    Chekole Menberu, mwenye umri wa miaka 27,alikuwa na matumaini makubwa ya kupata ajira mara baada ya kumaliza shahada yake ya uhandisi wa kemikali(chemical engineering) miaka miwili iliyopita nchini Ethiopia. Ulikuwa ni wakati wa ukombozi, akiangalia miaka aliyoteseka kufikia kiwango hicho cha...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu India kufundisha madaktari masuala ya uchawi

    Chuo maarufu nchini India kimeanza kutoa kozi ya ngazi ya cheti kwa madaktari jinsi ya kutibu wagonjwa wanaopatwa mapepo au huyaona. kozi hiyo ya miezi sita katika chuo kikuu cha Banaras Hindu (BHU) kwa mji wa kaskazini wa Varasanasi, kozi hiyo itaanza mwezi Januari. Na pia kozi hiyo itakua...
  18. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Chuo cha NIT kuanza kutoa mafunzo ya urubani

    Chuo cha Usafirishaji (NIT) kitaanza kutoa mafunzo ya urubani ambapo tayari kimepokea Tsh. 48.9 bilioni kutoka Benki ya Dunia (WB) kwa ajili ya ununuzi wa ndege 3 za mafunzo, kujenga karakana, na hosteli. Inaelezwa kuwa Jumla ya wanafunzi 10 wanatarajiwa kuanza mafunzo hayo kwa mwaka 2020/21...
  19. Influenza

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Wanafunzi-UDSM yatoa saa 72 kwa HESLB kutimiziwa maagizo yao vinginevyo kukusanyika nje ya ofisi ya HESLB

    Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imetoa saa 72 kwa Bodi ya Mikopo (HESLB) kutekeleza maagizo 4 likiwamo kuwaingizia fedha wanafunzi ambao hawajapewa tangu chuo hicho kifunguliwe, yasema isipotekeleza watakusanyika nje za ofisi ya HESLB. Taarifa iliyotolewa na Waziri wa...
  20. Mwahija abour

    JamiiForums Tanzania Shule au chuo kipi ni sahihi kwa matokeo haya

    Habar zenu ndugu zangu. Me naishi na binti yangu, amemaliza kidato cha NNE mwaka 2017. matokeo yake akawa na C1 na D2, ambay ni kiswahili C na eng/islamic, akawa na D mengine yote aliferi, akarudia mwaka jana masom yot kasoro islamic na kiswahili na akapata C ya eng, na mengne akafel tena...
Back
Top Bottom