YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,904
Ukweli Lissu hakujiandaa au kuandaliwa kuwa mgombea urais.
Anapata shida mno kueleza sera za CHADEMA na hasikii raha na ujasiri wa kuzielezea na hawi na flow nzuri. Na Hakawii kuacha kueleza sera na kuhama kugeuza mkutano kuwa law classroom badala ya political campaign meeting.
Lissu badala ya kueleza sera hugeuza mkutano kuwa darasa la Sheria akitumia daftari zake za mwaka wa kwanza chuo kikuu.
Kwa mentality yake sio ya CHADEMA wala wasikilizaji yeye anaamini kuwa kazi ya mgombea uraisi ni kutoa tuition ya sheria sababu ndilo Hitaji kuu la wananchi.
Haamini moyoni mwake kuwa watu wanahitaji maji barabara, nk ndio maana inampa shida mno kunadi sera za CHADEMA.
Hadi sasa hajaweza kunadi sera za CHADEMA kwa ufasaha kiasi hata mtu akitoka mkutanoni ukimuuliza mtu akwambie sera alizodikia ni zipi, hakuna.
So far kunadi sera za CHADEMA kumemshinda. Ni vigumu my present kitu usichokikubali au kukiamini usemi huu umedhihirika kwa Lissu anashindwa kabisa kunadi sera za CHADEMA
Sijui CHADEMA wafanyaje lakini mgombea wao hiyo kazi ya kunadi sera yao kumemshinda au hataki lakini kwa maoni yangu na ukimwangalia usoni akiongea naona hataki kabisa kunadi sera za CHADEMA na hana mpango nazo.