Akili kubwa - Kama kawaida chuo cha Nairobi chaongoza EAC na Afrika ya Kati

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,744
48,385
Siku zote tunawakumbushia humu, siri ya Wakenya ni kujituma, hatuna madini ila tunaongoza kwenye kila kitu kinachohitaji matumizi ya ubongo.

Uganda wamejitutumua na Makerere yao, ila Tanzania bandugu wa kusini aka 'walalamikaji' sijui wako namba ngapi au hata kama wana habari za haya mambo, wao pamoja na mdogo wao Burundi wapo wapo tu ilmradi siku ziende. Hehehe!

webometrics.JPG

The University of Nairobi has been ranked the top institution in East Africa and number 10 in Africa by the Webometrics ranking.

Uganda's Makerere University came in position 12 in Africa and second in East Africa, with the University of Dar-es-Salaam ranking 35th in the continent and third in the region.

In the top 200 universities in Africa, eight Kenyan institutions appeared with UoN leading the rank at 10. Kenyatta University, Moi, Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology (JKUAT) came in position 38, 47 and 62 respectively.

Egerton, Strathmore, Technical University of Kenya (TUK) and Maseno followed at 125, 134, 144 and 154 respectively in Africa.

In their 2020/21 ranking Webometrics also ranked UoN no 956 globally out of 30,590 universities, the only East African institution in the top 1,000.

Makerere and Dar-es-Salaam came in at position 1,013 and 1,838 respectively. KU, Moi, JKUAT, Ergeton, Strathmore and TUK were at 1,674, 2,108, 2,436, 3,622, 3,730 and 3,949 respectively.

"The Ranking Web is not a ranking of the websites of Universities, it is a Ranking of Universities. It uses both webometric (all missions) and bibliometric (research mission) indicators.

"The primary objective of the Ranking Web is to promote open access to the knowledge generated by the University. The best strategy to improve your rank is to increase the quantity and quality of your web contents," Webometrics stated.

File image of the University of Nairobi

File image of the University of Nairobi
FILE
UoN Ranked 10th in Africa 2020
 
Mbona hiyo elimu mliyonayo haijawasaidia kutotopea kwenye ujinga?

Rejea maamuzi yenu mengi mnayoyafanya kuhusiana na wasio na elimu kubwa, kama vile Taifa Teule la Tanzania mwisho wa siku mnaanguakiaga pua, mnaishia kulia lia na kulaumu tu.

Hamfundishwi huko vyuoni jinsi ya kumshinda mwenye elimu ndogo kama jirani yako anayekupa headache kila kukicha?
 
Mbona hiyo elimu mliyonayo haijawasaidia kototopea kwenye ujinga?

Rejea maamuzi yenu mengi mnayoyafanya kuhusiana na wasio na elimu kubwa,kama vile Taifa Teule la Tanzania mwisho wa siku mnaanguakiaga pua, mnaishia kulia lia na kulaumu tu.

Hamfundishwi huko vyuoni jinsi ya kumshinda mwenye elimu ndogo kama jirani yako anayekupa headache kila kukicha?

The answer is simple. The Kenya has a good number of illiterate professors and poor millionaires. Teh teh teh
 
Hiyo Elimu imewasaidia vipi wakati
- mna madeni makubwa ya China

-SGR mmepigwa na wachina... inaleta hasara mwanzo mwisho

-Bandari ya Nairobi wachina ndio kila kitu pale

- Mmelazimishwa kupewa mkopo na mabeberu kwaajiri ya kupambana na coronavirus... ilihali nchi nyingine zimesamehewa

- 70% ya Maghorofa Nairobi yanamilikiwa na wageni... elimu yenu ni kutawaliwa

- Watu wanajimilikisha Ardhi kubwa sana, wakati wananchi wengine wanabanana Kibera hakina Ardhi

- Ardhi yenu kame sana, Mmeshindwa kufanya kilimo cha Umwagiliaji, ... hapo Elimu yenu Imewasaidia nini????

Hahaaaaaaaaaa,hiyo elimu yao wanayojisifia kuwa nayo lazima itakuwa na shida mahali,haiwezekani Taifa lisilo na elimu kama la Tz liwafanye kuumiza vichwa sana wakati wamewazidi kielimu
 
Hiyo Elimu imewasaidia vipi wakati
- mna madeni makubwa ya China

-SGR mmepigwa na wachina... inaleta hasara mwanzo mwisho

-Bandari ya Nairobi wachina ndio kila kitu pale

- Mmelazimishwa kupewa mkopo na mabeberu kwaajiri ya kupambana na coronavirus... ilihali nchi nyingine zimesamehewa

- 70% ya Maghorofa Nairobi yanamilikiwa na wageni... elimu yenu ni kutawaliwa

- Watu wanajimilikisha Ardhi kubwa sana, wakati wananchi wengine wanabanana Kibera hakina Ardhi

- Ardhi yenu kame sana, Mmeshindwa kufanya kilimo cha Umwagiliaji, ... hapo Elimu yenu Imewasaidia nini????

Skills za 1850 era,
Mwanaume mzima na ndevu anareason hivi!
 
Hiyo Elimu imewasaidia vipi wakati
- mna madeni makubwa ya China

-SGR mmepigwa na wachina... inaleta hasara mwanzo mwisho

-Bandari ya Nairobi wachina ndio kila kitu pale

- Mmelazimishwa kupewa mkopo na mabeberu kwaajiri ya kupambana na coronavirus... ilihali nchi nyingine zimesamehewa

- 70% ya Maghorofa Nairobi yanamilikiwa na wageni... elimu yenu ni kutawaliwa

- Watu wanajimilikisha Ardhi kubwa sana, wakati wananchi wengine wanabanana Kibera hakina Ardhi

- Ardhi yenu kame sana, Mmeshindwa kufanya kilimo cha Umwagiliaji, ... hapo Elimu yenu Imewasaidia nini????

Magorofa yao si ndo yanaanguka kila mara?
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Eight Kenyan institutions appeared in the list of Top 200 Universities in Africa! This is great news and it clearly shows that the standards of higher education in Kenya are being maintained and improved too, as the years go by. Proud that my Alma Mater, The Great UoN, is leading from the front here in The E. & C. African region. Go Mean Machine! :cool:
 
Mbona hiyo elimu mliyonayo haijawasaidia kototopea kwenye ujinga??

Rejea maamuzi yenu mengi mnayoyafanya kuhusiana na wasio na elimu kubwa,kama vile Taifa Teule la Tanzania mwisho wa siku mnaanguakiaga pua,mnaishia kulia lia na kulaumu tu.

Hamfundishwi huko vyuoni jinsi ya kumshinda mwenye elimu ndogo kama jirani yako anayekupa headache kila kukicha??
Wao hawadeal na wasiokua na akili wanasoma kwaajili ya kupambana na mataifa makubwa kama marekan ,Uk China sio TANZANIA na ndio maana wanashindwa kwasababu hawajasomea mataifa dhaifu maana mbinu zao kubwa kubwa tu ndogo ndogo hawana ila huo mtaala ndio utawekwa awamu ijayo.
 
Mbona hiyo elimu mliyonayo haijawasaidia kototopea kwenye ujinga??

Rejea maamuzi yenu mengi mnayoyafanya kuhusiana na wasio na elimu kubwa,kama vile Taifa Teule la Tanzania mwisho wa siku mnaanguakiaga pua,mnaishia kulia lia na kulaumu tu.

Hamfundishwi huko vyuoni jinsi ya kumshinda mwenye elimu ndogo kama jirani yako anayekupa headache kila kukicha??
Wacha utani buda.
 
Hiyo Elimu imewasaidia vipi wakati
- mna madeni makubwa ya China

-SGR mmepigwa na wachina... inaleta hasara mwanzo mwisho

-Bandari ya Nairobi wachina ndio kila kitu pale

- Mmelazimishwa kupewa mkopo na mabeberu kwaajiri ya kupambana na coronavirus... ilihali nchi nyingine zimesamehewa

- 70% ya Maghorofa Nairobi yanamilikiwa na wageni... elimu yenu ni kutawaliwa

- Watu wanajimilikisha Ardhi kubwa sana, wakati wananchi wengine wanabanana Kibera hakina Ardhi

- Ardhi yenu kame sana, Mmeshindwa kufanya kilimo cha Umwagiliaji, ... hapo Elimu yenu Imewasaidia nini????

Elimu isiokua na msaada elimu gani hii
 
Safi kabisa,
Mkisha jua kizungu,kinachofuata nini?
Maana kibera ipo,Alshaababy wanawashika makalio kila siku,
Wachina wanawachalaza viboko,SGR mmepigwa mchana kweupeee,Somalia wanataka kuwanyanganya pwani yenu,
 
Endelea kukariri kama zombie.
 
Back
Top Bottom