Mwanafunzi wa Chuo cha Udaktari wilaya ya Masasi abaka mtoto wake na kumpa ujauzito

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,519
9,322
Mwanafunzi wa Chuo cha Udaktari wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara Mkazi wa Mburahati Jijini Dar es Salaam na Itunduma kata ya Mtwango wilaya na Mkoa wa Njombe amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kumbaka mtoto wake na kumsababishia ujauzito.

Akimsomea Mashitaka matano yanayomkabili mshitakiwa huyo Mwendesha Mashitaka wa Serikali Bi. Matrida Manja amesema mshitakiwa Joshua Mhema alitenda makosa hayo katika nyakati tofauti na shitaka la pili la kubaka alitenda Mei 06/na Mei 26 na kosa la tatu na la nne la kubaka alitenda Mei 27 ambapo tarehe hiyo 27/05/2020 alitenda kosa la kubaka na kumsababishia ujauzito mwanafunzi huyo wa kidato cha tatu.

Mshitakiwa alikana Mashitaka yote matano ambapo Mwanasheria wa Serikali Bi. Manja amesema mashitaka yote yanaangukia katika sura ya 130 (1&2) e kanuni ya adhabu na mwenendo wa makosa namba 16 yaliyofanyiwa marejeo mwaka 2016.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi agosti 05 mwaka huu 2020 kwa kuanza kusikilizwa kwa kutolea ushahidi na Mtuhumiwa amepelekwa mahabusu baada ya kukosa wadhamini.
 
Baba Miaka 26.

Kabaka mtoto wake na kumpa mimba 🤔🤔

Hebu tupige hesabu za pole pole.

Mtoto form III - approximate age 15-16
Baba mwanafunzi udaktari - Miaka 26

Umri wa baba - Umri wa mtoto = 26 - 16 or 15 = 11yrs or 10yrs

Baba alizaa akiwa na miaka 11. Maybe, who knows
Mkuu, hiyo miaka 26 ya baba imetajwa wapi?
 
Mwanafunzi wa Chuo cha Udaktari wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara Mkazi wa Mburahati Jijini Dar es Salaam na Itunduma kata ya Mtwango wilaya na Mkoa wa Njombe amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kumbaka mtoto wake na kumsababishia ujauzito.

Akimsomea Mashitaka matano yanayomkabili mshitakiwa huyo Mwendesha Mashitaka wa Serikali Bi. Matrida Manja amesema mshitakiwa Joshua Mhema alitenda makosa hayo katika nyakati tofauti na shitaka la pili la kubaka alitenda Mei 06/na Mei 26 na kosa la tatu na la nne la kubaka alitenda Mei 27 ambapo tarehe hiyo 27/05/2020 alitenda kosa la kubaka na kumsababishia ujauzito mwanafunzi huyo wa kidato cha tatu.

Mshitakiwa alikana Mashitaka yote matano ambapo Mwanasheria wa Serikali Bi. Manja amesema mashitaka yote yanaangukia katika sura ya 130 (1&2) e kanuni ya adhabu na mwenendo wa makosa namba 16 yaliyofanyiwa marejeo mwaka 2016.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi agosti 05 mwaka huu 2020 kwa kuanza kusikilizwa kwa kutolea ushahidi na Mtuhumiwa amepelekwa mahabusu baada ya kukosa wadhamini.
Chanzo cha habari ni wewe mwenyewe?
By the way masasi inatrend wiki hii
 
Mei ilikuwa mbaya sana kwenye Baiolojia ya mwili wake(Kama hizi tuhuma ni kweli).

Si kwa ubakaji huu.
 
hawa wasomi wetu sijui walienda shule kusomea ujinga....yani wewe baba tena umesoma na unasomea udaktari alafu unabaka mwanao what the hell??...
 
Mwanafunzi wa Chuo cha Udaktari wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara Mkazi wa Mburahati Jijini Dar es Salaam na Itunduma kata ya Mtwango wilaya na Mkoa wa Njombe amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kumbaka mtoto wake na kumsababishia ujauzito.

Akimsomea Mashitaka matano yanayomkabili mshitakiwa huyo Mwendesha Mashitaka wa Serikali Bi. Matrida Manja amesema mshitakiwa Joshua Mhema alitenda makosa hayo katika nyakati tofauti na shitaka la pili la kubaka alitenda Mei 06/na Mei 26 na kosa la tatu na la nne la kubaka alitenda Mei 27 ambapo tarehe hiyo 27/05/2020 alitenda kosa la kubaka na kumsababishia ujauzito mwanafunzi huyo wa kidato cha tatu.

Mshitakiwa alikana Mashitaka yote matano ambapo Mwanasheria wa Serikali Bi. Manja amesema mashitaka yote yanaangukia katika sura ya 130 (1&2) e kanuni ya adhabu na mwenendo wa makosa namba 16 yaliyofanyiwa marejeo mwaka 2016.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi agosti 05 mwaka huu 2020 kwa kuanza kusikilizwa kwa kutolea ushahidi na Mtuhumiwa amepelekwa mahabusu baada ya kukosa wadhamini.
madhara ya nyeto ayo unashindwa aproach ad unabaka
 
Mtoto atazaa mtoto...halafu watachangia baba
Mtoto aliyepata ujauzito atamuita baba halafu mzazi mwenza
Atakayezaliwa atamuita baba halafu babu
Mama mtoto atamuita mamayake mama halafu mkemwenza
Atakayezaliwa atamuita bibi halafu mamkubwa

Hizi ndio MAGAZIJUTO ngumu kukokotoa
 
Back
Top Bottom