GPA chini ya 3.0,wanaweza wakapata chuo mwaka huu?

44mg44

JF-Expert Member
Jun 16, 2019
2,135
2,139
Aliesoma tcu guide sheet ya mwaka huu ansaidi kunpa taarifa, na je mhitimu wa foundation program ya open anaweza akatuma chuo gan?
 
Chini ya GPA ya 3.0 huwezi kupata chuo level ya shahada ya Kwanza.
Utapata Diploma au Foundation programme.
Nakazia mkuu zingatia hili. Chini ya 3.0 bachelor utaisikia tu. Enzi nipo zangu diploma, head of department alikuwa na kawaida ya kuja kuja class, sasa ilikuwa kila akija lazima atuchane kwamba tusitegemee kama kutakuwa na adjustment yoyote we ukishindwa kupata 3.0 degree huendi! Af anamaliza na neno OVER!

Dah ebhana eeh huyu lecture alinifanya nikaze sana hiko kipindi, at the end nikaja kuruka na GPA yangu ya 3.9 saaaafii!
 
Matokeo ya foundation naweza kuaply chuo gan?
 
Huu msiba ni wa wengi asee , Hii foundation course inakuwaje Mwenye ulUwelewa na hili....
 
Matokeo ya foundation naweza kuaply chuo gan?
Huu msiba ni wa wengi asee , Hii foundation course inakuwaje Mwenye ulUwelewa na hili....

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Wakuu hiyo foundation ni kwa wale wasiofikisha gpa, sasa inavyokuwa ni kwamba ukipata matokeo yake unaweza kurudi kwenye chuo ulichosoma wanaweza kukufikiria then ukaapply hapo bachelor. Ila ninavyofahamu mm vyuo vingi huwa wanawakataa waliosoma foundation, wanawataka fresh from diploma
 
HABARI NDUGU ZANGUNI.
Always Information is Power...........!!!!!
kama wewe ni mhitimu wa NTA level 6 ni lazima uwe na atleast3.0 GPA.
kwa form six lazima uwe na minimum total point 4.0, kwa course za kawaida na point 6 kwa course za Afya.

FOUNDATION COURSE
Mostly ni acceptable Open University of Tanzania (out).... na kwa nadra saana kuna vyuo hupokea under special condition kama UDOM
 
Mkuu hvi hii GPA ya 3.0 kwa Diploma huwa wanaangalia average ya GPA kwa semester zote au VP..?
Maana tuchukulie kwa mtu anaye-upgrade kozi yoyote huwa ni mwaka mmoja it means two semester only na ambae anatokea 6 kusoma diploma always is two years for four semester..
Sasa nataka nifahamu hapo wanatafuta Average ya GPA kwa semester zote au wanaangalia semester ya mwsho tu..?
 
Iko ivi ndugu kwa mujibu wa UQF na NACTE
NTA Level 4 = Mwaka mmoja
NTA Level 5 = Mwaka mmoja.
Hivyo basi
NTA Level 4 & 5 = Miak miwili.
Then
NTA Level 6 = Mwaka mmoja
Hivyo basi
NTA Level 4, 5 and 6 = Miaka mitatu.
NTA Level 5 & 6 = Miaka miwili.
 
Mkuu hvi hii GPA ya 3.0 kwa Diploma huwa wanaangalia average ya GPA kwa semester zote au VP..?
Maana tuchukulie kwa mtu anaye-upgrade kozi yoyote huwa ni mwaka mmoja it means two semester only na ambae anatokea 6 kusoma diploma always is two years for four semester..
Sasa nataka nifahamu hapo wanatafuta Average ya GPA kwa semester zote au wanaangalia semester ya mwsho tu..?
Matokeo yanayotumika kupata Ordinary diploma GPA ni ya semester Mbili tu ya NTA Level 6
 
Kumbuka
NTA LEVEL 4 ni Basic Technician Certificate.

NTA LEVEL 5 ni Technician Certificate.

NTA LEVEL 6 ni Ordinary Diploma

NTA LEVEL 7 ni Advance Diploma

NTA LEVEL 8 ni Bachelor Degree

NTA LEVEL 9 ni Masters Degree

NTAL LEVEL 10 ni PhD
 
Foundation Programme of the OUT

A GPA of 3.0 accumulated from six core subjects and at least a C grade from three subjects in respective cluster (Arts, Science and Business Studies)

PLUS
An Advanced Certificate of Secondary Education Examination with at least 1.5 from two subjects

OR
An Ordinary Diploma from the recognized institution with a GPA of at least 2.0

OR
NTA level 5 /Professional Technician Level II Certificate.

According to TCU mwaka huu(Kama hapo huna vigezo open bora tu uachane na shule upige mishe zingine)
 
Back
Top Bottom