Mheshimiwa Waziri Mkuu, tunaamini unaendelea vizuri na mikutano ya uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi kwa chama cha mapinduzi (CCM)hapa mkoani Kilimanjaro na leo upo wilaya ya Rombo kumnadi Profesa Mkenda ambaye tunaamini atapata ushindi wa kishindo.
Mheshimiwa Waziri Mkuu,wakati unaendelea na...
Habari wanajamvi poleni kwa majukumu ya hapa na pale.
Samahani naomba ushauri nilipangiwa certificate mwaka Jana lakini nilisoma semester moja ya pili sikuweza kumalizia ada kwaiyo sikuisoma.
je naweza apply September intake ya mwaka huu?
Naomba msaada wenu.
Natanguliza shukrani zangu.
Wadau, nataka kuomba kujiunga na Masters of HR pale chuo kikuu Huria, naomba kujua jinsi wanavyotoza gharama kwa hizo unit zao, na kiasi gani (minimum) ambacho mtu anatakiwa kulipa kwenye fees ili aweze kupokelewa na kuanza masomo.
Natanguliza shukrani
Ukweli Lissu hakujiandaa au kuandaliwa kuwa mgombea urais.
Anapata shida mno kueleza sera za CHADEMA na hasikii raha na ujasiri wa kuzielezea na hawi na flow nzuri. Na Hakawii kuacha kueleza sera na kuhama kugeuza mkutano kuwa law classroom badala ya political campaign meeting.
Lissu badala...
"Kusoma elimu ya chuo kikuu ni upuuzi sana, ni kupoteza muda kijinga"
Nimenukuu jamaa akisema hayo maneno hapa Stationary nikiwa natoa copy sijui kwanini kaongea vile.
Ndugu zangu, kuna mtoto wa dada yangu nimemfanyia application ndoto zake kubwa ni kusoma udaktari hasa hasa anapenda sana MUHAS akilala akiamka ananiuliza mjomba ntapata kweli chuo namuambia asijali, ufaulu wake ni kama ifuatavyo
O LEVEL
Civics..........B
History.......D
Geograph..B...
Habari za usiku JF.
Mimi nimekuwa kwenye mahusiano na binti miaka mitatu sasa. Tumeamua kwa dhati tuoane, wazazi wake hawataki. Wamefikia kunitishia maisha. Ukweli ni kuwa nampenda sana, nae ananipenda Sana.
Tumeamua kuishi kwa pamoja bila kujali. Maana kisheria tuko salama maana siyo...
Mdogo wangu kapata 2 ya 11 (DDC) anataka kusoma medical,is it possible?
=====
Habari wanaJF,
Leo Baraza la mitihani la Tanzania NECTA limeyatoa matokeo ya kidato cha sita, kwa uzoefu wangu nimeona ni vyema tuanzishe uzi huu maalumu ili tushauriane, tueleweshane, tuambiane nini cha kufanya na...
Habari zinaenea Yanga jana ilichezea kichapo cha 3-1 ikicheza na wanafunzi wa chuo huko Dodoma. Ilikuwa ni mechi ya kirafiki katika uzinduzi wa wiki ya wananchi.
Hizi habari zi za kweli?
Habarii!
Nimefikiria kufanya hivyo baada ya kuona kuwa elimu ya mambo ya fedha itolewayo na IFM ajira zake ni ngumu sana; yahitajika uwe na wigo mpana wa wakubwa ili kuweza kuajirika. Makapuku sisi tutasubiri sana. kama hiyo haitoshi, inakuwa ni vigumu kwako kujiajiri ikiwa utakosa ajira.
Chuo...
Mji wa Singida uko katika ya Inchi lakini kitu cha ajabu sana ni kwamba hakuna hata chuo kikuu kimoja.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr. Pombe John Makufuli anapotangaza kuwa anatoa mikopo kwa zaidi ya Wanafunzi 100,000, kwa mwaka ni pesa nyingi sana inalipwa.
Katika pesa hii...
Siku zote tunawakumbushia humu, siri ya Wakenya ni kujituma, hatuna madini ila tunaongoza kwenye kila kitu kinachohitaji matumizi ya ubongo.
Uganda wamejitutumua na Makerere yao, ila Tanzania bandugu wa kusini aka 'walalamikaji' sijui wako namba ngapi au hata kama wana habari za haya mambo, wao...
Ndoto yangu ya kusoma degree yangu ya kwanza Mlimani ilianza nikiwa shule ya msingi.
Nilikua nikisikia tu story kutoka kwa dingi akisimulia mandhari na elimu ya pale Mlimani pindi wanasoma.
Basi ndipo nilipoanza kupiga kitabu kwa bidii ili nifike Mlimani. Hapo ilikua ni shule ya Msingi...
Mwanafunzi wa Chuo cha Udaktari wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara Mkazi wa Mburahati Jijini Dar es Salaam na Itunduma kata ya Mtwango wilaya na Mkoa wa Njombe amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kumbaka mtoto wake na kumsababishia ujauzito.
Akimsomea Mashitaka matano yanayomkabili mshitakiwa huyo...
Inasikitisha ila pia inafurahisha🤣🤣
Mapenzi moto moto
Waliendelea na mapenzi na kufaulu kwenda mwaka wa pili. Walipendana SANA😄😄
Na pete ya Uchumba juu🤣🤣
Ila kandege kalipeperuka kwa wenye fweza. Bora nipooze machungu
Benjamin William Mkapa alizaliwa mnamo 12 November 1938 huko Ndanda Wilayani Masasi Mkoani Mtwara. Alimaliza Shahada ya kwanza ya Lugha ya Kiingereza kutoka Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda mwaka 1962
Mwaka 1963 alihitimu shahada ya Uzamili katika Mahusiano ya Kimataifa kutoka katika Chuo...
Habari wanajamvi,
Je, mnufaika wa mkopo katika mwaka uliopita na akadisco chuo, anawezaje kupata mkopo tena iwapo yupo kwenye chuo kingine kwa sasa?
Kwa anayefahamu asaidie kushare tafadhali.
Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu- Arusha wakiandamana usiku huu kuishinikiza Bodi ya Mikopo Nchini
HESLB kurejesha kiwango kilichosalia cha 510,000/= kwa mwaka huu wa masomo 2019/2020.
Mdau wa JF hebu to maoni yako kwa ufaulu huu akasomee kozi gani nzuri chuo?
History=C Biology=C Chemistry=C English=C Civics=C Kiswahili=C Geography=D Math=F
Division I I I. 22. Form Four 2019
Tumpe ushauri tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.