Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu, Marietha Milinga kulipa fidia ya Sh12.9 milioni na kifungo cha nje cha miezi sita baada ya kukutwa na hatia ya kukisababishia hasara Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT).
Milinga, amehukumiwa baada ya kukiri kosa. Alifanikiwa kulipa kiasi hicho cha...
Wadau wa JF.
Nimepata taarifa ya mabadiliko makubwa kufuatia Uteuzi wa Professor Eliaman Sedoyeka kuongoza Chuo Cha Uhasibu Arusha hivi karibuni.
Msomi huyo Kijana, Mchapakazi, Mzalendo na Mwenye Maono naambiwa amethibitisha ubora wake kwa kuleta mabadiliko chanya maeneo mbalimbali k.m
1...
Wakuu mimi nashauri tui"shape" vizuri vizazi vijavyo vya JMT kwa kuwafundisha katiba na sheria za nchi na umuhimu wake. Hii itawasaidia watoto kuelewa vizuri hata wakiwa watu wazima, mithali inatufundisha hivyo.
(A) Itawasaidia watoto wetu kuelewa:
1.wakati wa kusema mambo fulani yahusuyo...
1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi.
2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha.
3. Mwambie Kupata alama nyingi sio kujua mambo mengi.
4. Mwambie akifika chuo atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji. Ila akumbuke anatokea Mtwara, tena...
Nimepata divisheni ziro. Nimependa kujiunga kozi chuo. Ada nitajilipia mwenyewe. Mkopo sitaki. Kozi ina nafasi. Kwa nini nizuiliwe kujiunga na kozi ya digirii chuo?
Nikienda chuo na ziro yangu, si nitafeli tu mwaka wa kwanza kama kweli ziro ina maana sina uwezo? Nitakayepata hasara si ni ni...
Kwa wanaotaka kujifunza zaidi ya online kupitia YouTube channel yangu ya Director chuma mnaweza kujiunga na chuo ninachofundisha bagamoyo kwa sasa
karibuni sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.