chuo

  1. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha waandamana baada ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kukata pesa zao za kujikimu

    Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu- Arusha wakiandamana usiku huu kuishinikiza Bodi ya Mikopo Nchini HESLB kurejesha kiwango kilichosalia cha 510,000/= kwa mwaka huu wa masomo 2019/2020.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Maoni yako kwa ufaulu huu akasome kozi gani nzuri Chuo?

    Mdau wa JF hebu to maoni yako kwa ufaulu huu akasomee kozi gani nzuri chuo? History=C Biology=C Chemistry=C English=C Civics=C Kiswahili=C Geography=D Math=F Division I I I. 22. Form Four 2019 Tumpe ushauri tafadhali
  3. Liverpool_Jr

    JamiiForums Tanzania Hivi kama vijana wanaambiwa wafanye kazi yoyote kwanini wanaenda chuo?

    Ni siku nyengine tuseme asante Mungu kwa kutuamsha tena. Naomba niende kwenye mada. Leo alfajiri nimepigiwa simu na mshakaji wangu wa kipindi Fulani hivi tuliendana sanaa ila ndio harakati za maisha zilitutenga. Yeye kwasasa ni muuza mayai na alisoma engineering. Jamaa anasema biashara...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Mbozi Songwe: Rushwa za ngono na vitendo viovu Chuo cha Uuguzi Yohana Wavenza

    Mi ni mgeni wa Jamii forums naomba mnisaidie malalamiko haya yafike kunakotakiwa.. Ni muhitimu wa chuo cha uuguzi cha yohana wavenza kilichopo wilaya ya Mbozi mkoa wa Songwe. Naandika malalamiko haya ili yaweze kuwafikia wanaohusika na kuweza kuyatatua maana mimi binafsi nimekuwa muhanga wa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Gazeti la New York Times ni chuo cha kupika uongo, uzushi na uzandiki juu ya rais Trump

    Trump aliwahi kusema thanks for social media we can fight back fake news. Nawaza kipindi ambacho hizi mainstream media ndio chanzo kikuu cha habari si wamezushia watu wengi sana? Juzi New York Times walitoa habari kua Urusi imewalipa hongo wapiganaji wa Taliban kuwaua wamarekani au waingereza...
  6. maroon7

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa mkuu wa chuo DIT na waziri wa Elimu Prof. Ndalichako

    Kwanza nichukue fursa hii kuipongeza serikali yetu chini ya Rais wetu Dr. John Pombe Magufuli ambae anapambana usiku na mchana kuhakikisha nchi inasonga kwa kasi usiku na mchana. Pili niwapongeze baadhi ya watendaji wake akiwemo waziri wa Elimu Prof Ndalichako kwa kuendana na kasi ya Rais wetu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kuhama chuo

    Habari wanajamvi, Ninataka kuhama chuo nikimaliza certificate (nipo certificate Diploma nataka niende chuo kingine) course ya accountancy chuo cha government. Je, hii inawezekana na kama inawezekana taratibu zikoje? Natanguliza shukrani zangu🙏
  8. D

    JamiiForums Tanzania Hoja: Madhara ya RPC Shana kubaki Arusha yalikuwa ni madogo ukilinganisha na alipopelekwa Chuo cha Mafunzo Polisi

    Kutokana na maelezo ya Rais kuwa hakuridhishwa na utendaji wa RPC shana! Jampo lililochangia IGP kufanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa mikoa! Kitendo Cha RPC shana kuondolewa ARUSHA na KUPELEKWA chuo cha Mafunzo MOSHI kina hitaji jicho pevu! Niseme wazi kabisa! Kama hakufaa ARUSHA...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kuhama Combination au Chuo ulichochaguliwa

    Habari wana jukwaa, Nikiwa Kama senior member humu, ninaleta mbinu za kuhama shule au chuo ulichochaguliwa Baada ya Tamisemi Ku allocate Majina ya vijana waliomaliza form 4 mwaka Jana 2019 vijana na wazazi wengi wamekuwa wakilalamika Sana kuhusu uchaguzi huo! Gvt kupitia Kwa Bwa. Jafo...
  10. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Aliyehitimu Form Four anaweza kuchaguliwa kwenda Chuo moja kwa moja wakuu?

    Heshima kwenu wakuu. Natumai mnaendelea vyema kabisa na ujenzi wa Taifa Letu. Well, nina wadogo zangu wawili wamemaliza form four wamechaguliwa kuingia Chuo wakiwa na ufaulu wa Division III hili suala ni kawaida au inakuaje Wakuu? Na pia, kama mmoja anataka kusoma A-Level hataki Chuo ni...
  11. sychellis

    JamiiForums Tanzania Ni njia zipi za kukuza GPA kama ikitokea umemaliza Chuo na GPA ndogo

    Wakuu naomba mwenye ujuzi anijuze njia zipi unaweza kutumia kukuza GPA kama ukimaliza na GPA ndogo. na pia nataka nijue ukimaliza chuo na GPA chini ya 3 unaweza kupata kazi
  12. Superbug

    JamiiForums Tanzania GE2020 Amemaliza Chuo hana kazi mwaka wa 4 anaishi Tosamaganga anasema anaipenda CCM kwa sababu imejenga Flyover Ubungo Dar

    Njooni muone haya maajabu ya dunia jamaa amemaliza Chuo Jordan Morogoro Hana kazi anaishi kwao tosamaganga eti anaisifu CCM kwa sababu imejenga Flyover Ubungo. Huyu Mimi nimemuona ni mgonjwa wa akili ila pia viatu vyake viwili vimelika upande mmoja Sana na anaonyesha ana exposure fupi Kama...
  13. Robert hendry

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Nasoma PCM, Chuo nisome kozi gani?

    Naombeni ushauri, ninasoma PCM ipi kozi bora niisomee nikifika Chuo?
  14. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Masomo ya chuo kikuu yafundishwe kwanza secondary(advanced level)

    Hello JF, Mnaonaje masomo ya degree(vyuoni) yaanze kufundishwa basics A level? I believe mtu akisoma Advance then aksoma Diploma ama Degree ya somo hilo hilo, atakua na confidence hata kujiajiri.......... Sio sasa miaka mitatu ya chuo inawezekana inatosha..ila mimi sidhani inatoa watu...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Oxford kufanya majaribio ya chanjo ya COVID-19 Kenya

    Kulinagana na taarifa zilzitolewa ni kwamba chuo kikuu cha Oxford kipo mbioni kufaanikisha chanjo dhidi ya virusi vya corona na kutaraji kuifanyia majaribio nchini Kenya kwa watu wazima. Taarifa hizo zinaendelea kufahamisha kuwa chanjo hiyo itatolewa kwa watu wenye umri wa zaidi ya miaka...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Msioajiriwa kwa wahitimu wa Chuo Kikuu mna nini cha kuisifu awamu ya 5?

    Dhana kuwa awamu ya 5 imeleta maendeleo pengine maneno haya ni magumu kuyaelewa kwa kijana aliye na shahada ( degree) ya chuo kikuu na yupo mtaani hajapata ajira kwa miaka kati ya 4 mpaka sasa. Kwa maneno ya Rais mwenyewe (mkutano na chama cha madaktari) alikiri kuwa madaktari 2700 wapo mtaani...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Makerere kule Uganda wametengeneza Mabasi yao yanatotumia Umeme.

    Ugandan students at Makerere University have produced their first set of electric buses. Africa Facts Zone on Twitter Je hawa wanafunzi wa vyuo vyetu wanatengeneza nini?
  18. w0rM

    JamiiForums Tanzania Wanachuo wa St. Joseph (Boko) walalamikia kufelishwa wakidai Chuo kilichukua Wanafunzi wengi kuliko inavyotakiwa ili kujipatia fedha

    Wanafunzi wa Chuo cha St. Joseph Tawi la Boko linalotoa elimu ya Afya, wamedai kufelishwa na Uongozi wa Chuo hicho na kuambiwa hawawezi kurudi Chuoni hapo na kama wanataka kurudi basi warudie mwaka Wanadai walifanya mtihani wa UE wakiwa takriban Wanafunzi 200 lakini Wanafunzi waliopitishwa ni...
  19. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Madhara ya Covid-19: Chuo kikuu RUCU kulipa nusu mshahara na wafanyakazi wote kwenda likizo

  20. Showio

    JamiiForums Tanzania Kozi za Chuo cha Maji zina soko?

    Naomba kujua kozi za chuo cha maji zipoje sokoni,vipi uhitajika wake kwenye jamii upoje. Asante
Back
Top Bottom