changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wanandoa wanapopishana umri kwa miaka mingi changamoto za magonjwa ya uzeeni zifikiriwe

    Msemo wa age is just a number ndiyo habari ya mjini. Babu wa miaka 70 anafunga ndoa na binti wa miaka 25. Au bibi wa 55 anaolewa na kijana wa 35. Mwanamama mtunzi wa vitabu aitwae Jacque Collins aliwahi kusema tofauti ya umri kati ya wanandoa ikiwa kubwa sana mara nyingi mmoja wapo kati...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mzee wangu yupo hoi, huenda Serikali ingeweka wazi, Mzee wangu asingeshiriki kuzika rafiki yao aliyefariki kwa changamoto

    Naandika huku naumia sana. Maisha ya mzee wangu yako hatarini sana anapumua kwa shida sana. Chanzo cha kuumwa. Kuna rafiki yao mzee mwenzao alifariki, wakaambiwa kuwa chanzo cha kifo cha huyo rafiki yao ni mapafu. Kutoka hospital ya Bugando ndugu wa marehemu walipewa mwili kwenda kuzika...
  3. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Je, ugonjwa wa changamoto ya kupumua (UCHAYAKU- 2021) ulioibuka Tanzania unasababishwa na nini, una tiba au chanjo, na kinga na dalili zake ni zipi?

    Sasa imefika wakati wataalam wa afya waueleze juu ya hili gonjwa jipya kabisa hapa Tanzania, na halipo kwengineko, liitwalo 'changamoto ya kupumua.' Watuambie gonjwa ili linasababishwa na nini, dalili zake, kinga yake, chanjo, na tiba? Pia tofauti yake na COVID-19 au UVIDO-19 kwa kiswahili. Kama...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hospitali za serikali zimewekeza kuokoa wenye changamoto ya upumuaji?

    Wote ni wageni wa hospitali isipokuwa tunatofautiana muda wakufika hospitali na sababu itakayotupeleka huko. Tunavyojadili miradi naamini mradi mkuwa kwa sasa ni mradi wa kuponya afya za watu yaani kuwa na hospitali zenye hadhi. Moja tatizo la sasa ni changamoto ya upumuaji. Je, tupo imara...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto na uzembe wa wahusika wa DSE mobile APP

    Kama mmoja wawatumiaji wa Mobile Trading iliyoanzishwa na Dar es salaam Stock Exchange siku za husoni napenda kuzungumzia yafuatayo kwa kuwasadia watumiaji wa sasa na wajao pamoja na kuwajibishwa na wanaosimamia hiyo DSE mobile Application. 1. Kwa uwelewa wangu mdogo , Mobile App yoyote kabla...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nadharia ya Makadirio ya ukubwa wa changamoto ya upumuaji ukiiweka kitakwimu ili uone ukubwa wa tatizo uchukue hatua

    Wakati mwingine Saikolojia inashauri kwamba! Ili ufanikiwe kujikinga na jambo lazima ulikadirie ukubwa wake! (Assuming and assumption theory) Mtu anaekata mti ili abaki salama ni lazima awe anafahamu vyema kukadiria madhara ya mti au tawi analokata litakavyoanguka! Kumekuwepo na ongezeko...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wakili Musa Rajabu Mfinanga afariki dunia baada ya kupata Changamoto ya Upumuaji

    By Mchambuzi kupitia Twitter: TANZIA 👉Wapendwa nasikitika kutangaza kwamba rafiki yangu wakili msomi Musa Rajabu Mfinanga ameaga dunia leo kwa changamoto ileile Tafadhali tuchukueni hatua. Poleni wanasheria wote na mhimili wa mahakama.
  8. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kama taifa tunaweza kuishi na hili janga la kupata changamoto za kupumua?

    Nimekaa nakutafakari sana juu ya hii changamoto inayotukabili kama taifa. Maana mwaka jana mkuu wa nchi alitoa hofu wananchi kwa kutuambia tujiandae kuishi na huu ugonjwa kama magonjwa mengine. Na alitolea mfano Hiv kipindi inaingia nchini watu walikuwa na hofu hata kushika mikono wagonjwa, leo...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hii ndio hatari na tishio linalotokana na changamoto ya upumuaji

    By Boniface Jacob kupitia Twitter: Tumuombe Sana Mungu Ndugu zangu,Wiki hii nimeona Mambo ya Kutisha. Sikuwahi Kujua Ipo Siku sisi Binadamu tutagombea "Oxygen" wenyewe kwa Wenyewe INATISHA. Mbaya Zaidi unakuwa Upo Tayari Kumpandia "Dau" Mgonjwa asiye wako anyofolewe kwenye "Oxygen" ili...
  10. dubu

    JamiiForums Tanzania Thomas: Baba yangu Arcado Ntagazwa, alikuwa akisumbuliwa na tatizo la changamoto ya kupumua na alipata matibabu mbalimbali

    Dar es Salaam, aliyekuwa Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Chadema, Arcado Ntagazwa amezikwa nyumbani kwake Kimara jijini Dar es Salaam huku sababu ya kifo chake ikielezwa kuwa ni changamoto ya upumuaji. Waziri huyo wa zamani aliyehamia Chadema mwaka 2010 akitokea CCM, alifariki dunia Jumatano...
  11. Ryzen

    JamiiForums Tanzania Unakutana na Changamoto gani unapofanya kazi na Dada/Mama zetu!

    Nina uzoefu wa miaka takribani Mitano ya Kufanya kazi na wanawake, asilimia kubwa ya kazi zangu ni kazi za site! Kwa kawaida kazi za site hasa za ujenzi zinahitaji motisha, kupush kwa nguvu na haraka hata sometimes kutumia lugha za matusi ilimradi kazi zisonge sometimes pia maamuzi ya chap...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa. Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa. Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na Covid na kamwe hazitangazi kuwa zimeshashinda vita tayari, bali zinakuwa cautious na zinaendelea na...
  13. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini wana-michezo hawafi kwa changamoto za upumuaji?

    Tangu kuanza kwa sakata la Corona mwaka jana, tumeshuhudia wazee na hata baadhi ya wasio wazee sana wakifariki kwa kile kinachohisiwa kuwa ni ‘changamoto ya upumuaji ’. Hivyo basi, kama kinga ya changamoto hizi ni kufanya mazoezi, nadhani badala ya kung’ang’ania serikali ichukue hatua za kiweka...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Dkt. Chaya: Elimu ya nadharia kwenye vyuo ndio inaleta changamoto ya ajira kwa Vijana

    Mbunge wa Manyoni Mashariki, Dk Pius Chaya (CCM) alisema tatizo la ajira kwa vijana wanaohitimu vyuo vya kati na vikuu nchini katika ngazi za cheti, stashahada na shahada ni kubwa. Dk Chaya alisema tatizo lipo si kwa sababu elimu ni mbovu, ila kutokana na mfumo wa elimu ambao mwanachuo...
  15. Darucha

    JamiiForums Tanzania Wale ambao tulidekezwa na wakina mama na mwisho wa siku mama zetu wakafariki ghafla, hebu tuambiane changamoto tulizopitia

    Aisee jamani hakuna kitu kinauma kama kuondokewa na mama ghafla ambaye alikuwa ni msaada kwako kwa kila kitu. kiufupi katika familia yetu wote tumezaliwa wote boys na tuko sita hatukuwa na dada hata mmoja. Mama yetu ndo alikuwa dada kwetu rafiki kwetu na kila kitu katika maisha yetu ya sisi...
  16. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Naona kama mabinti waliohitimu vyuo wanakabiliana vizuri na changamoto ya ajira kuliko vijana wa kiume

    Hii ni kitu nimeiona baada ya kufanya utafiti wa kijuu juu. Nimeona mabinti wengi wanachakarika na ujasiriamali. Ninekutana na wahitimu wa vyuo ambao ni mama ntilie. Wanapiga umachinga mdogomdogo wa nguo za kike, juice, viatu nk. Pia wamekuwa mstari wa mbele kuhudhuria mafunzo ya ujasiriamali...
  17. Stiffler88

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu na udereva wa Uber na Bolt, naomba kujua faida, hasara na changamoto zake

    Baada ya chuo, kama kijana naona wakati nikiendelea kutafuta kazi nifanye biashara ya Uber/ Bolt. Sasa wenye uzoefu Naomba wanijuze nn cha kufanya ukiwa unaanza, faida na hasara na pia changamoto za hii kazi. Maana nmeskia kuna ambao wana-make na ambao wanakua loss.. Pia namna nzuri ya ku...
  18. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Balozi Richard Mariki, Katibu Mkuu mstaafu KKKT Afariki dunia

    Balozi Richard Mariki amefariki Jumapili iliyopita. Amesumbuliwa na changamoto ya kupumua kwa muda mfupi. Anakumbukwa kwa ustaarabu wake na alikuwa muumini pale Mbezi Beach KKKT.
  19. moneymakerman

    JamiiForums Tanzania Changamoto za madereva na abiria wa Uber na Bolt. Tupia yako

    Habari za leo wanajamvii, natumai wote mko salama. Kuna vituko na visa vingi tunapitia kama abiria na madereva wa taxi mtandao yaani huduma za uber, bolt na nyinginezo. Hebu tutoeni ushuhuda wa matukio mbali mbali yaliyowahi kutupata na kutufurahisha ama kutukasorisha. Hii ilitokea kama dereva...
  20. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA Padre Ireneus Mbahulira amelala usingizi wa umauti akipatiwa matibabu Hospitali ya Mugana

    Ni huzuni Ni majonzi Mpendwa wetu ametutoka akipatiwa matibabu Hospitali Mugana wilayani Misenyi Mtumishi huyu wa Bwana amehitimisha safari yake ya Utume katika Parokia ya Mtakatifu Yohana Maria Muzeyi - Minziro Jimbo Katoliki la Bukoba Mwili wa Mwendazake huyo utapumzishwa Jumatatu kwenye...
Back
Top Bottom