changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kupatanisha changamoto ya ziada katika ndoa ambayo haina mtoto/watoto? Hii inahitaji hekima na busara nyingi sana

    Habari za muda huu waungwana wa jamiiforums Kupatanisha changamoto ya ziada katika ndoa ambayo haina mtoto hata mmoja, kunahitaji hekima na busara nyingi sana. Hakuna ndoa yoyote hapa duniani ambayo ni rahisi kuipatanisha kwa maana kila ndoa ina changamoto zake, lakini ukweli wa mambo ni...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Anaomba ushauri, tabia za mumewe zinamchanganya

    Mdau (ke) yupo ndani ya ndoa kwa mwaka 1 Ila tabia ya mme wake inampa shida sana. 1). Jamaa mkimya sana akiamka asubuhi salamu anaaga anaenda kazini akirudi salamu anakaa kimya anakula ataangalia mpira kimya badae kulala ata bidada akimsemesha anajibu tu short then kimya Ila akija mgeni...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Napata changamoto kuingia kwenye mfumo kwasababu nilisahau nywila (password)

    Habari wakuu, Tangu kutangazwa kwa hizi ajira za ualimu, napata changamoto kuingia kwenye mfumo kwasababu nilisahau nywila ya kuingilia (password). Nimejaribu mara kadhaa kubadili inaleta ujumbe "Failed to change password" naombeni msaada namna ya kulitatua hilo. Pia na wengine wenye...
  4. Morg

    JamiiForums Tanzania Shuhuda: Ni changamoto gani ulikumbana nayo wakati unaanza biashara yako?

    Habari za leo Ndugu zanguni. Natumaini wote wazima kabisa wa afya na buheri. Leo katika mada yetu tungependa kupata wasaa moja mbili kutoka kwa wahusika wa humu walio tayari na experience katika Biashara yeyote ile. Ningependa tushare shuhuda mbalimbali walizokutana nazo pindi mnaanza kufungua...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

    Habari wakuu, naomba kwa anayeweza kujua hili tatizo anisaidie. Nataka kufanya application ya hizi nafasi za ualimu zilizotangazwa, nakutana na changamoto moja, kila nikijaribu Ku log in naaambiwa unauthorized user, nikafili nakosea password. Nikataka kubadili password ikashindikana, coz ili...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Changamoto za barabarani usiku mkubwa

    Hii picha inasambaa kwenye magroup ya madereva. Kuna dereva mmoja kakutana na hii kitu akiwa safarini. Mimi kuna siku natoka Tunduma kuja Mbeya nipo kwenye costa siti ya mbele SAA sita mchana jua Kali ghafla kwenye pori kaibuka mtoto miaka 5-7 kakatisha barabara dereva akamkwepa tukayumba sana...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Je, ukataji tiketi wa mabasi ya mkoani kupitia mtandao una changamoto zozote?

    Habari zenu wakuu, Nataka kusafiri kwenda mkoani na tiketi ya basi nishazoea kukata manual lakini siku hizi ni mtandaoni, ila nilisikia madereva wakitaka kugomea huu utaratibu lakini sikusiukia iliishia wapi. Je, bado wanakata tiketi za mtandaoni au baada ya ule muito wa mgomo ilisitishwa...
  8. Iwensanto

    JamiiForums Tanzania Serikali atafute ufumbuzi wa foleni ya Temeke

    Kwa wakazi wa Temeke na maeneo yanayozunguka kumekuwa na shida ya usafiri kwa takribani mwezi sasa. Ndugu wana jamvi kwa wale wanaoishi wilaya ya Temeke kumekuwa na shida kubwa ya foleni ya magari. Kwa sasa kukaa barabarani kwa muda wa masaa 3 mpaka 4 ni kitu cha kawaida kabisa. Tunaomba...
  9. aise

    JamiiForums Tanzania Anayopitia mdogo wangu wa kike siyo sawa na umri wake, inaniumiza sana...

    Ni mdogo wangu wa kike, anayoyapitia yananiumiza mimi kama kaka yake. Najiona mwenye hatia ndani ya nafsi. Wazazi wetu walifariki na kutuacha tukiwa wawili, tukiwa wadogo. Mimi kama kaka niliingia mtaani na nikaishi mtaani kama chokolaa, nilishuhudia na kujionea ni namna gani wanadamu walivyo...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza: Maji bado ni kilio kikubwa licha ya miradi kuwepo

    Mbunge Juliana Shonza suala la maji limeendelea kuwa kilio kikubwa cha wananchi licha ya Wizara ya Maji kupelekewa fedha nyingi huku vilio vikitoka kwenye maeneo yale yale ambayo Serikali tayari imepeleka miradi mikubwa Ameeleza hayo Bungeni wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Maji na...
  11. D

    JamiiForums Tanzania M-Pesa kulikoni haifanyi kazi?

    Tangu asubuhi najaribu kununua muda na bundle sipati inagoma tu, na hatujaambiwa chochote, na mzigo wote upo humo, leo mipango hakuna yani.
  12. chakii

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango, kuna Hospitali nyingine zaidi ya Benjamin Mkapa zinazohitaji kusikilizwa changamoto

    Wanabodi... Tunaelewa baada ya Mh Philip Mpango kupitiwa na lile tatizo la Upumuaji na hatimaye akavuka salama baada ya kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo Dodoma wakati akiwa bado Waziri wa Fedha na Mipango. Ni hakika alishukuru kwa namna wafanyakazi wa Benjamin Mkapa...
  13. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanza kuzifanyia kazi changamoto za Kiutumishi zinazowakabili Watumishi wa Umma

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema, Serikali ya Awamu ya Sita imeanza kuzifanyia kazi changamoto za kiutumishi zinazowakabili Watumishi wa Umma kwa muda mrefu ili waweze kutoa huduma bora kwa umma. Akizungumza wakati...
  14. billioner

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kupitia changamoto kama hii?

    Habari za mda huu Wana JF, Mimi mdogo wenu katika ujenzi wa Taifa lakini pia ni mgeni katika jukwaa Lini nimeandika ivi kuomba ushauri na kujua ni vipi ww ulikabiliana nalo ili tatizo! Nipo chuo kikuu kwa Jina (naomba niifadhi) nasomea udaktari/MD lakini ivi juzi Kati Kuna mambo yalitokea...
  15. Muuza simu used

    JamiiForums Tanzania Hivi mnatatua vipi changamoto za wapenzi wanaotaka kuwekwa status?

    Uki date na vi slay queen [emoji73] akili zao zote wamewekeza kwenye mitandao ya kijamii! Mama ya kijinga jinga ya kupostiana ndio changamoto kubwa sana aisee! Nilikuwa na tabia ya kupost ili aone yeye tu! Sasa siku hizi na wao wamestukia anataka umpost kisha ufanye screenshoot watu wame view...
  16. Prince Nadheem

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya mchwa kwenye nyumba

    Habari zenu wanajamvi! Kama mada inavyojieleza hapo juu. Nimehamia kwenye nyumba yangu maeneo ya Chanika. Sijapiga tiles bado chini nina rough floor (nilikimbia changamoto ya kodi nyumba za watu 🤣🤣🤣). Sasa recently naona nyumba inavamiwa na mchwa wale wakubwa na wanajenga vichuguu vya kufa mtu...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Mpango: Changamoto hazimaanishi Muungano sio imara au hauna manufaa kwa wananchi

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema changamoto ambazo zimekuwa zilijitokeza mara kadhaa hazimaanishi Muungano sio imara au hauna manufaa kwa Wananchi. Amesema, "Serikali zetu zimekuwa zikibainisha changamoto hizo na kufanya jitihada za dhati kwa pamoja kuzipatia ufumbuzi kwa wakati na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nissan Dualis: Msaada mwenye uzoefu na hili gari naomba ufafanuzi

    Picha: Nissan Dualis Wakuu nianze kwa kuwasalimu na kuendelea kukumbushana pia kuhusu namna ya kujikinga na hili gonjwa la sasa.. Corona Naomba nije kwenye topic kuu sasa. Nimekuwa nikitamani sana kumiliki gari lililo juu juu (wenyewe wanaita SUV), kutokana na mazingira niliyopo, gari la...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. UPDATES: Rais Samia ameshaingia ndani ya jengo la bunge na sasa Spika wa Bunge Job Ndugai anafuata taratibu za kiitifaki kabla ya Rais kutoa hotuba yake. HOTUBA YA RAIS...
  20. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu kuhutubia Bunge Alhamisi Aprili 22, 2021

    Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Rais Samia Suluhu Hassan atalihutubia Bunge Alhamisi Aprili 22 2021 jioni Hiyo itakuwa mara ya kwanza kwa Mama Samia kulihutubia Bunge tangu alipoapishwa kuwa Rais Machi 19 mwaka huu. === Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
Back
Top Bottom