Napata changamoto ya kuomba kuhitimu baada ya kuwa na carryover mwaka wa mwisho

Mkuu mwakani tena hiyo hakuna maombi ya kusali yatakusaidia au ya barua ili upewe marks
 
Unataka uhitimu ili uende wapi?Hicho cheti hakitakusaidia kitu chochote.Cheti cha ukweli ni akili yako,kujiamini kwako pamoja na elimu kidogo iliyojaa hasara za herd mentality ambayo tayari umeshaipata hapo chuo.
 
Sasa mkuu huoni utatunukiwa shahada/stashahada/astashahada ambayo haustahili kuipata.
Kwa nijuavyo mimi hakuna chuo watakutunuku hicho ulichosomea mpaka ufanye clearance ya hiyo kozi uliyo carry.
 
Sasa mkuu huoni utatunukiwa shahada/stashahada/astashahada ambayo haustahili kuipata.
Kwa nijuavyo mimi hakuna chuo watakutunuku hicho ulichosomea mpaka ufanye clearance ya hiyo kozi uliyo carry.
Nmefanya na nmeshaclear
 
Back
Top Bottom