I am addicted to Single Mothers

Liverpool VPN

JF-Expert Member
Aug 29, 2020
1,006
2,000
1. Huyu nilimpa 2018. Nilimpata akiwa ananyonyesha. Alinipa sababu ya yeye kuachana na baba mtoto ni kwasababu alimuacha tu akaenda kuoa kwengine ila alinishangaza, maana nilimkuta na mtoto wa kunyonyesha.

Nilijiuliza, Sasa aliachwa lini na baba mtoto akaoa lini, HAYANIHUSU MI NACHOHITAJI NI GAME. Nikanyamaza tu, sikuhoji chochote.

Mwaka 2019 ukafika, nikawa nataka bodaboda anapiga simu inanifuata. Halafu ni bodaboda hiyo kila siku. Nikaja kugundua kumbe ile bodaboda ni ya baba mtoto kamnunulia, then mimi namlipa yeye yaani.

Anajenga nyumba, mi nilimpa tafu ya tiles kumbe baba mtoto ndio alipaua bati. Mpaka leo mimi sijawahi muuliza lolote, mi namchoraga tu.

Kumbe bana, Kuna kipindi kwao alikua na ugomvi na shangazi yake (alilelewa na shangazi yake). Kumbe ugomvi ni kwamba mwanamke aliyeolewa na baba mtoto wake alienda kwao huyu Singo maza kushitaki kwamba "Aachane na mumewe na kama mahitaji ya mtoto baba hela atakua anapeleka kwa mama wa baba, na Singo maza afate huko""

Baada ya ku spy nikagundua kumbe kweli walikua wanakulana bado yeye na baba mtoto. 2020 tukapotezana na kuwa marafiki wa kawaida.

Huyu Singo maza tokea nilivyomshindwa na kuachana imekua sijui niite friends for benefits, maana hunitafuta akiwa na shida ya pesa tu, na mimi hapo hapo humwambia "Nakuja kukuletea kwako". Nikifika ni game then asubuhi natoa pesa niliyobwa. Pia Hili lilinishinda NIKAPOTEZEA mazima.

Siku zikaendaa.

January 2021 akaomba turudiane. Nikagoma. Tokea January hiyo akawa kimyaa. Na Mimi namba nilishafuta. Eeeh eeeh bwana wiki kadhaa zilizopita kanitumia sms (kwakukosea haikua yangu) analalamika huyo kwamba ametoa mimba kwasababu kagundua simpendi (sms ilikua ya baba mtoto)

Aliandika jina "Ben .........""

Na baba mtoto ni Ben.

Juzi katuma nyengine kwamba alikua anaumwa, amekosa wa kumpeti, na mambo kibaoo then ameomba TURUDIANE. Asichokijua Mimi bana UKIJIFANYA MALAYA NA MIMI NAKUFANYA MALAYA" Hajui hata nikisema ndio itakua Nina shida ya Mbususu tu kwake.

2. Huyu kazalia kwa dada ake. Nilimjua tokea akiwa na Bwana ake. Bwana ake alikua ni kijana wa kitaa niliyekua nae japo hatukua karibu utotoni. Kumbe alipata mimba then haikua ya bwana ake (ilikua ya mjeshi wa sijui wapi huko)

Mjeshi ajulikani alipo, bi dada then akaamua kwenda kuzalia kwa sista ake. Maana mshkaji wa kitaa kagoma kulea mimba sio yake. Mimi na huyo Singo maza tunajuana na nilikua nammezea mate sema nilimuheshimu sanaa kijana mwenzangu wa mtaani.

Walivyoachana na alivyojifungua, nilimsubiri kidogo apumzike. Nikaomba game na kujiweka.

Nakaambiwa mpaka nimtolee mahari.
Jibu likawa:- "Yaani nitoe mahari bila kuvua hiyo chupi, sasa nikiuziwa mbuzi kwenye gunia?" Singo maza akanikazia then akalegeza siku MOJA tu, alikuja kunililia nimpe hela ya vikoba, elfu kumi tu, nikatoa na kupewa game. Sasa hivi najilia tu, akitaka hela ya vikoba anakuja gheto then anaondoka na marejesho yake.

3. Huyu ni school mate. Akaniomba urafiki FB. Tukaanza kuchat, then nikamtongoza. Akawa anagomaa, nikamuuliza au umeolewa?

Nikamuomba tuonane, tukapanga dinner ya kuonana, ndio kunielezea kwamba alizalishwa baba akahamia mkoa kikazi na mapenzi yakaishia hapo.

Dah nilimpa moyo, then nikaambiwa mapema sanaa. Nikabembeleza sipewi, nikaona to much nikachuna. Akaanza kunilalamikia sina uvumilivu, kwamba nimenyimwa mara MOJA na kususa.

Dah mara Ramadhan hiyooo, nikaona nimtumie 50k ya ramadhani. Jana akanibip, sikupiga Ila nikajipindaa (hatujawasiliana kama mwezi hivi, maana mi naomba game ye anapeta maringo, nika piga chini) nikatuma 50K, nikamwambia ya futari hiyo.

Nikanyamaza tu.

Mara usiku natumiwa sms ya samahani kwa usumbufu na siku ya sikukuu nimuandalie kuku anakuja asubuhi, tutakula, tutoke out then tuwe wote hizo siku mbili za sikukuu..!!!

4.
5.
6.
N.k

HAWA ACHANA NAO.

Nawapenda sanaa SINGO MAZA.

Ngoja niendelee kutafuta HELA ili nile MEMA YA NCHI.

#YNWA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom