Habari wakuu, naomba kwa anayeweza kujua hili tatizo anisaidie.
Nataka kufanya application ya hizi nafasi za ualimu zilizotangazwa, nakutana na changamoto moja, kila nikijaribu Ku log in naaambiwa unauthorized user, nikafili nakosea password.
Nikataka kubadili password ikashindikana, coz ili...
Hii picha inasambaa kwenye magroup ya madereva. Kuna dereva mmoja kakutana na hii kitu akiwa safarini.
Mimi kuna siku natoka Tunduma kuja Mbeya nipo kwenye costa siti ya mbele SAA sita mchana jua Kali ghafla kwenye pori kaibuka mtoto miaka 5-7 kakatisha barabara dereva akamkwepa tukayumba sana...
Habari zenu wakuu,
Nataka kusafiri kwenda mkoani na tiketi ya basi nishazoea kukata manual lakini siku hizi ni mtandaoni, ila nilisikia madereva wakitaka kugomea huu utaratibu lakini sikusiukia iliishia wapi.
Je, bado wanakata tiketi za mtandaoni au baada ya ule muito wa mgomo ilisitishwa...
Kwa wakazi wa Temeke na maeneo yanayozunguka kumekuwa na shida ya usafiri kwa takribani mwezi sasa.
Ndugu wana jamvi kwa wale wanaoishi wilaya ya Temeke kumekuwa na shida kubwa ya foleni ya magari.
Kwa sasa kukaa barabarani kwa muda wa masaa 3 mpaka 4 ni kitu cha kawaida kabisa.
Tunaomba...
Ni mdogo wangu wa kike, anayoyapitia yananiumiza mimi kama kaka yake. Najiona mwenye hatia ndani ya nafsi.
Wazazi wetu walifariki na kutuacha tukiwa wawili, tukiwa wadogo.
Mimi kama kaka niliingia mtaani na nikaishi mtaani kama chokolaa, nilishuhudia na kujionea ni namna gani wanadamu walivyo...
Mbunge Juliana Shonza suala la maji limeendelea kuwa kilio kikubwa cha wananchi licha ya Wizara ya Maji kupelekewa fedha nyingi huku vilio vikitoka kwenye maeneo yale yale ambayo Serikali tayari imepeleka miradi mikubwa
Ameeleza hayo Bungeni wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Maji na...
Wanabodi...
Tunaelewa baada ya Mh Philip Mpango kupitiwa na lile tatizo la Upumuaji na hatimaye akavuka salama baada ya kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo Dodoma wakati akiwa bado Waziri wa Fedha na Mipango.
Ni hakika alishukuru kwa namna wafanyakazi wa Benjamin Mkapa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema, Serikali ya Awamu ya Sita imeanza kuzifanyia kazi changamoto za kiutumishi zinazowakabili Watumishi wa Umma kwa muda mrefu ili waweze kutoa huduma bora kwa umma.
Akizungumza wakati...
Habari za mda huu Wana JF,
Mimi mdogo wenu katika ujenzi wa Taifa lakini pia ni mgeni katika jukwaa Lini nimeandika ivi kuomba ushauri na kujua ni vipi ww ulikabiliana nalo ili tatizo!
Nipo chuo kikuu kwa Jina (naomba niifadhi) nasomea udaktari/MD lakini ivi juzi Kati Kuna mambo yalitokea...
Uki date na vi slay queen [emoji73] akili zao zote wamewekeza kwenye mitandao ya kijamii! Mama ya kijinga jinga ya kupostiana ndio changamoto kubwa sana aisee! Nilikuwa na tabia ya kupost ili aone yeye tu!
Sasa siku hizi na wao wamestukia anataka umpost kisha ufanye screenshoot watu wame view...
Habari zenu wanajamvi!
Kama mada inavyojieleza hapo juu. Nimehamia kwenye nyumba yangu maeneo ya Chanika. Sijapiga tiles bado chini nina rough floor (nilikimbia changamoto ya kodi nyumba za watu 🤣🤣🤣). Sasa recently naona nyumba inavamiwa na mchwa wale wakubwa na wanajenga vichuguu vya kufa mtu...
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema changamoto ambazo zimekuwa zilijitokeza mara kadhaa hazimaanishi Muungano sio imara au hauna manufaa kwa Wananchi.
Amesema, "Serikali zetu zimekuwa zikibainisha changamoto hizo na kufanya jitihada za dhati kwa pamoja kuzipatia ufumbuzi kwa wakati na...
Picha: Nissan Dualis
Wakuu nianze kwa kuwasalimu na kuendelea kukumbushana pia kuhusu namna ya kujikinga na hili gonjwa la sasa.. Corona
Naomba nije kwenye topic kuu sasa.
Nimekuwa nikitamani sana kumiliki gari lililo juu juu (wenyewe wanaita SUV), kutokana na mazingira niliyopo, gari la...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
UPDATES:
Rais Samia ameshaingia ndani ya jengo la bunge na sasa Spika wa Bunge Job Ndugai anafuata taratibu za kiitifaki kabla ya Rais kutoa hotuba yake.
HOTUBA YA RAIS...
ajira
atcl
bungeni
changamoto
haki
historia
hotuba
hukumu
kikuu
kufanya
madaktari
magufuli
mahaba
maji
mama samia
moyo
nchi
ndege
ngumu
rais
samia
samia suluhu
serikali
somo
viongozi
wabunge
wanawake
wengi
Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Rais Samia Suluhu Hassan atalihutubia Bunge Alhamisi Aprili 22 2021 jioni
Hiyo itakuwa mara ya kwanza kwa Mama Samia kulihutubia Bunge tangu alipoapishwa kuwa Rais Machi 19 mwaka huu.
===
Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
1. Huyu nilimpa 2018. Nilimpata akiwa ananyonyesha. Alinipa sababu ya yeye kuachana na baba mtoto ni kwasababu alimuacha tu akaenda kuoa kwengine ila alinishangaza, maana nilimkuta na mtoto wa kunyonyesha.
Nilijiuliza, Sasa aliachwa lini na baba mtoto akaoa lini, HAYANIHUSU MI NACHOHITAJI NI...
Nawasalimu katika jina la aliye juu wapendwa! As the topic is concerned, how do you handle changamoto za housemaid mwenye mtoto nawe una watoto?
Ni wiki mbili sasa niko na dada wa kazi mwenye mtoto tena mtoto mdogo guys mdogo sana. Ni baada ya connections zote kufeli so sikuwa na namna majukumu...
NHIF NI KILIO KINGINE CHA WATUMISHI
Kwanza nianze kwa kuishukuru serikali kwa kuanzisha huduma za bima kwa njia ya bima yaani NHIF ambapo watumishi umma kwa LAZIMA hukatwa bima ya afya bila chaguo la aina ya bima, nashukuru kwa sababu inatusaidia tofauti na kutoa hela zetu mfukoni hata kama...
Wanasema wajuzi, "Charity begins at home"
Mh. Ummy Mwalimu umebebeshwa majukumu mazito kuliko uliyokua nayo awali. Hongera sana
Changamoto ni nyingi hata mtangulizi wako anajua.
Umeanza vyema kwa kupaza sauti dhidi ya wabadhirifu walio ibuliwa na CAG.
Nimeona eti kuna mke wa kigogo mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.