Naomba msaada wa namna ya kuendana na mwanaume mwenye changamoto za kiuchumi

Panga nae muda muonane physically then jaribu kumuelezea jinsi ambavyo unamuhitaji, lkn pia jaribu kumuelezea jinsi ambavyo yeye ni muhimu kwako licha ya kwamba bado hana ajira.

NB: Maongezi yote hayo ongea na kwa upole na unyenyekevu, maana mara nyingi watu wenye matatizo ya kisaikolojia huwa wanapenda kutiwa faraja hapo huwa wanaonakana kama watu wanaotaka kujitenga...
 
Una akili ya kutambua athali za changamoto ya ajira.. safi sana..

Upande wa mwenzako.. huwezi kubadili hali hii kamwee.. suluhisho ni yeye kufanikiwa katika harakati zake lakini siyo kwa wewe kufanya chochote.. labda muombee tu afanikiwe huku ukijitahidi kuwa karibu naye kama unavyofanya.

Sema wasiwasi wangu ni kwake.. kama akifanikiwa.. anaweza kukuacha maana ameshajenga uhasama flani kuwa unamchukulia poa!
 
Kwanza kabisa, niseme wewe ni mwanamke bora sana, yaani sana!! Watu tunatafuta mtu kama wewe ambaye hata likitokea tatizo unajaribu kuangalia wapi limeanzia ili lirekebishwe!! Nadhani hapo shida ni jamaa yako ameanza kuhisi unamdharau sababu yeye hana kazi kwa muda mrefu, na hana kipato cha kukuhudumia, wanaume tukishindwa kuhudumia wapenzi wetu huwa inatuathiri sana! Fanya hivi....mtafute, kaeni mahali mkiwa wawili tu, muelezee namna unavyojisikia, na umruhusu na yeye aseme yanayomkwaza....mtaenda vizuri.

NB: kuwa makini, huenda mwenzio yuko na wewe kwa ajili ya support yako tu! (Japo ni nadra sana hii kwa mwanaume)

All the best
 
Nachoweza kusema wewe Ni mmoja Kati ya wanawake Bora Sana na unajielewa,huyo jamaa anakupenda amepata tu low self esteem sababu ya kushindwa kuchangia kwenye mahusiano yenu financially..hii Hali ni Ni ngumu Sana na wakati mwingine anaona solution Ni kukuavoid but trust me deep inside anakuhitaji..I have been there...kaa nae mweleze unaielewa Hali yake na haijapunguza upendo wako,always be humble usiibue debates sisizo na Mashiko au ambazo zitamuumiza hasa za finance,I hope Hana matumizi ya hovyo endelea kumsupport.Ila Solution ya kudumu Ni apate tu Helaaa
 
hiyo kauli ya kama una kitu unataka kuniambia niambie..inatia shaka kuna mawili la anaona kama anakuzingua like hakupi unachostahili anaogopa utamuacha so anajihami mapema kama unataka kuniacha niache thou anakupenda na anakuhitaji. Ila pia yaweza kuwa hakuhitaji so anakupa gepu ujiongeze wewe mwenyewe..otherwise u are good wengine sie mtu aso jambo mmmm mtihani
 
Back
Top Bottom