Changamoto mbalimbali za maisha ya ndoa. Hii ni changamoto inayonikabili, karibu na wewe utueleze yako tuzitatue

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
58,974
2,000
Mke wangu amepata nafasi ya kujiendeleza kimasomo nchini Uingereza ambako sasa ana miezi miwili tangu aondoke.

Alipoondoka alimleta mama yake mzazi kutoka huko kwao, Kaskazini mwa nchi ili aje hapa nyumbani (sikuelewa haswa dhumuni la ujio wake) maana dada wa kazi yupo, house boy yupo, na mtoto Yuko darasa la saba hivyo kwa kiasi fulani anaweza kujisimamia.

Tangu mke wangu amekndoka huyu mkwe amekuwa kama kiranja, ikifika tu saa kumi na moja anapiga simu uko wapi? Usichelewe kurudi.
Ikifika saa tatu hujarudi anaanza kukusumbua na simu.

Nikaongea na wife, nikamweleza kuwa mama arudi tu nyumbani, ameacha mji wake na hapa hamna cha muhimu anachofanya na pia sipendi anavyonibugudhi kwa kunichunga.

Wife akasema mama yupo kwa ajili ya ulinzi, nikastaajabu kidogo, mbona mlinzi tunaye? Au ndio kunilinda mimi?
Nikayeyusha.
Sasa jana ijumaa nimerudi kazini nikaoga Kisha nikawa najiandaa kwa ajili ya kutoka nikalambe gambe kidogo.

Mkwe akaniita, akauliza unaenda wapi? Nikamwambia naenda 777 nikafurahie weekend, akasema twende wote. Sikuona ubaya, tukaongozana.

Tukala na kunywa na kunywa zaidi. Ila kadiri muda unavyokwenda nikaona mama mkwe ananyegeka, mara anisogelee, anishike kimahaba na utata mwingi.

Akaomba nimsindikize chooni, yaani alikuwa anajibebisha utadhani mwanamke wangu.
Tukarudi nyumbani, akiwa amelewa taabani, akawa analazimisha aje kulala chumbani kwangu.

Kesho yake asubuhi (Jana jumamosi) wife akanipigia simu, akiulizia outing ilikuwaje?
Nikamsimulia kila kitu, akasema nimsikilize mama yake atakachoniambia, maana ni bora nitembee na mama yake kuliko michepuko na hilo ndio kusudi haswa la huyu mama kuwepo hapo.
Umri wa mama Ni 48yrs.

Hi changamoto naishindaje?
 
Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
3,074
2,000
Upumbavu grade 1 huu.

Mama na mwanaye ni mataahira grade A, yani utaahira uliotukuka.

Na wewe jichanganye kumgegeda ujichotee laana itakayoharibu maisha yako hapa duniani.

Unaweza kuona kama ni kitu cha kawaida, lkn imagine mwanao wa kike siku anaolewa, then unakuja kusikia huyo alomuoa anamla mkeo pia!
 
jerrybanks

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
2,851

Duh no comment
 
Dickson mwaipopo

JF-Expert Member
Mar 3, 2015
483
500

Usilale nae kaka, hiyo ni Laana kubwa sana. Usijaribu kabisa. Bora uchepuke huko nje kimya kimya ila usijaribu kabisa kulala na mama mkwe wako.
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
58,974
2,000
Upumbavu grade 1 huu.

Mama na mwanaye ni mataahira grade A, yani utaahira uliotukuka.

Na wewe jichanganye kumgegeda ujichotee laana itakayoharibu maisha yako hapa duniani.

Unaweza kuona kama ni kitu cha kawaida, lkn imagine mwanao wa kike siku anaolewa, then unakuja kusikia huyo alomuoa anamla mkeo pia!
Nimeliona hili lina athari kubwa sio tu leo ila na kwa vizazi vijavyo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom