Shuhuda: Ni changamoto gani ulikumbana nayo wakati unaanza biashara yako?

Morg

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
1,301
1,767
Habari za leo Ndugu zanguni.

Natumaini wote wazima kabisa wa afya na buheri. Leo katika mada yetu tungependa kupata wasaa moja mbili kutoka kwa wahusika wa humu walio tayari na experience katika Biashara yeyote ile.

Ningependa tushare shuhuda mbalimbali walizokutana nazo pindi mnaanza kufungua Biashara zenu ilikuwaje katika siku za kwanza .Ili iwe motisha kwa wale tunaoanza ugumu wa pale mwanzoni. JE ILIKUWAJE SIKU YAKO YA KWANZA KATIKA BIASHARA YAKO TOA USHUHUDA UWE MOTISHA.

Uzi wa kutiana moyo hasa kwa wale matured kwenye Biashara.
 
Bia kama bia, Kila mteja akinywa ya Kwanza mpaka ya tatu ya mwisho anataka ya mkopo,
mwisho wa siku nilijikuta Kila mteja namdai dadeki
 
Siku ya kwanza nilitembelewa na yale mainzi makubwa ya chooni, nikashtuka, kesho yake nikasaga chumvi ile ya mabonge nikachanganya na magadi nikamwaga kuzunguka eneo la biashara, mainzi yote yalitokomea . Hiyo ndio changamoto niliyokumbana nayo.
 
Butcher bila shaka
 
Bia kama bia, Kila mteja akinywa ya Kwanza mpaka ya tatu ya mwisho anataka ya mkopo,
mwisho wa siku nilijikuta Kila mteja namdai dadeki
Dhaaaa hili halikwepek yani bia ya mwisho lazma walev tukope
 
Back
Top Bottom