Najua kila kabila lina sifa zake nzuri na zisizofurahisha.
Mfano Wanyaturu wengi ni warefu na weupe. Pia wana changamoto kwenye dental fomula zao yaani mpangilio wa meno haujakaa vizuri.
Njoni mie mie nimeanzisha tu.
Ni ukweli usopingika Tanzania kwa sasa tuna wimbi kubwa la vijana wasio na ajira kutokana na mfumo wa elimu kutokuwa rafiki sana kwa vijana kujiajiri, hivyo kupelekea vijana wengi kukata tamaa na kupoteza kabisa malengo yao walojipangia katika maisha.
Laikini ukweli ni kwamba kuna njia nyingi...
Kwa watarajali, intern doctors, intern pharmacists na kadhalika.
Nakumbuka tunapokuwa shuleni sekondari kunakuwa na zile fikra kwamba zipo kada ambazo ukizisomea uwapo chuoni basi ajira ni nje nje, hivyo watu wanaenda kusomea kada hizo akiwa na wazo kwamba hatopata shida ya ajira baada ya...
Vijana ndio nguvu kazi ya jamii na taifa kwa ujumla, kundi hili la vijana ndilo linategemewa katika uzalishaji mali na nguvu kazi katika jamii.
Ni kwanini tunasema vijana ndio nguvu kazi namba moja katika jamii ?'
- Ni kundi lenye watu wengi zaidi ukilinganisha na makundi mengine ambayo ni...
Katika familia kuna changamoto mbalimbali na katika maisha pia je kuna changamoto gani wanapitia watoto wa kwanza katika familia.
Tupeane uzoefu unaweza kuona una changamoto kubwa kumbe yako ya kawaida sana kuna watu wanapita changamoto ngumu kuliko yako hebu tuongee kidogo na usimbee uwe mtoto...
WABABA: CHANGAMOTO ZA MALEZI YA WATOTO & SABABU ZA KUFA MAPEMA. JE, WAMAMA WANAHUSIKA?!!
Wanaume ee,
Mnajionaje na hali wapambanaji wenzangu?!! Poleni na hongereni kwa siku nyingine tena. Ni matumaini yangu mko poa sana, mkiendelea na majukumu ya kila siku ya hapa na pale katika kuhakikisha...
Uhali gani mwanafamilia wa JF
Karibu katika makara maalumu leo naomba nikuelekeze katika Maendeleo ya kijamii na kwa kuanza makara hii naomba nitangulize shukurani kwa mda wako wewe msomaji.
Kabula ya yote ni vyema tujue maendeleo ya kijamii ni nini? kwa ufupi tu maendeleo ya kijamii ni hali...
Habari,
Kufuatia wimbi jingine la ugonjwa huu na maambukizi mapya ya covid19 delta.
Baadhi ya Nchi zimeingia kwenye travelling ban , mfano nchi kadhaa zimeiban India , Kenya na nyinginezo kusafiri...
Karibu uwasilishe changamoto zozote ulizokutana nazo hivi karibuni kama ulisafari kutoka tz...
Hawa jamaa unawachukuliaje hapo ofisini kwako? unawaona kama Viranja wanoko?
wanakufuatilia saana maisha yako?
Ila kumbuka kazi zao sometimes zinawafunga kwa kuwa mambo mengine ni maagizo ya Mwajiri. Kama ilivyokuwa kwa Mahakama na Polisi enzi za awamu ya 5
tupe uzoefu wa kazini kwako kuhusu...
Sina takwimu zozote lakini hali ya vifo vinavyotokea sasa hivi, siyo ya kawaida.
Inatia hofu kuona harakati za shughuli nzima ya msiba ni zile zile za kawaida.
Hata Viongozi wa Dini wameamua kumjaribu Mungu kwa kushindwa kutoa tahadhari ili kuwalinda baadhi ya watu.
Natoa rai kwa Serikali...
Hakuna watu wabaya kama Wanasiasa, nina ushahidi wa kutosha wa rafiki zangu wawili mmoja yupo kada ya mifugo ni daktari wa kata na mwingine ni msimamizi wa jumuiya za watumia maji CWBOS'C Mkoani Manyara huko Babati. Sasa kuna siku nilimtembelea Kijijini huyu wa maji nikakuta anateseka sana na...
Ndugu zanguni ni wasalimu na niende moja Kwa moja kwenye mada. Mada yangu nikuhusu vyeti vya kuzaliwa. Mwanangu alizaliwa Mkoani Arusha mwezi wa 7 mwaka 2002, Leo ni miongoni mwa wale wanaosubiri matokeo ya kidato sita. Baada ya kuwa amezaliwa nilifuata taritibu zote za kupata Cheti ndani ya...
Habari zenu wadau,
Naomba kuuliza namna ya kupima chakula cha biahara mfano wali na nyama au ugali na mboga zake ili kupata faida Pia juice ya parachichi na embe au embe na passion huniletea hasara sijajua kuna kitu cha nyongeza cha kuweka ili kuifanya iwe nyingi au labda natengeneza nzito...
Habari JF.
Kwenye jamii zetu kuna changamoto nyingi sana ikiwemo uchawi . Kama vitabu Vingi vitakatifu vinavyosema uchawi upo.
Direct kwenye mada nakumbuka way back nipo form 3 , huku kijijini kwetu nilikuwa naumwa sana kiasi ambacho nilikuwa siwezi kusoma kabisa.
Hali hii iliendelea kwa muda...
Habari wakuu.
Hivi karibuni nimeanza kutangaza biashara instagram. Kwa kweli kuna tofauti kubwa kati ya biashara inayotangazwa na isiyotangazwa ila changamoto ni nyingi sana. Mara hela usikatwe na wasilipromote. Mara waseme hawawezi kutangaza, wanafungia account nk. Changamoto ni nyingi na...
Haka kajamaa kakajengewa hata sanamu DSM kule city centre ama hata Dom. Yupo vizuri, sema nimegundua sio muandishi mzuri lakini ana vision. Halafu ukute ni jobless hahahahahaha ndio atajua hajui. Am joking guys!
Ametoa madini si mchezo yaani. Kila mtu ajisomee PDF hapo down.
Nina wasiwasi...
Wajuvi wa JF
Katika kufikiria namna ya kutoka kimaisha hapa mjini kujiajiri hakuepukiki maana ajira hakuna. Naombeni mnisaidie mchanganuo wa nini kinahitajika katika biashara hii.
Location nipo Dar es Salaam, mtaa ninaoishi naona bucha za nyama ya ngombe samaki na mbuzi lakini mdudu pemdwa...
Ni takribani mwezi Sasa malipo ya serikali hayafanyiki kwenye taasisi mbalimbali baada ya kile kinachodaiwa mfumo wa hazina unaotoa control number kushindwa kufanya hivyo. Kutokana na changamoto ya control number fedha lazima zitakuwa zinapigwa kwa sababu huduma zinatolewa manually kitu ambacho...
Mi ni mtu mwenye aibu saana na sio muongeaji, home walishanizoea nikisalimia naingia rum kwangu nafanya yangu, iwe kuchati au kusoma au chochote but I like being alone.
Changamoto ni kukaa na watu wengi hasa wageni huwa sina cha kuchangia kwenye mazungumzo yao.
Turudi kwenye Mada nipo Doma...
Wana jamvi,
Ni miongo kadhaa sasa kwa mjibu wa sheria kila anayepata ajali ili apokelewe na kutibiwa na hospitali/zahanati au vituo vya afya ni sharti mgonjwa awe na Fomu iliyotolewa na kituo cha polisi alikoenda au kupelekwa kabla.
Utaratibu huu umesababisha madhara makubwa ikiwemo vifo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.