changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Njeteni, Kata ya Kwembe (Ubungo) ni changamoto kwa watumiaji kutokana na ubovu

    Mimi ni mkazi wa Njeteni, Kata ya Kwembe (Ubungo, Dar es Salaam) huku kwetu kuna kero ya barabara kuwa mbovu. Changamoto hiyo inasababisha ajali na usumbufu mkubwa hasa kwa watoto wa shule, Barabara hiyo haijawahi sawazishwa kwa miaka karibu miwili sasa. Tunaomba Serikali ya Mkoa iangalie hali...
  2. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Kuna faida na changamoto zipi ukijenga nyumba ya muundo huu?

    SIO YA MBAO, MUUNDO KAMA HUU ILA TOFALI ZA BLOCK KAMA KAWAIDA
  3. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Changamoto ni sehemu ya maisha, bila changamoto hakuna radha ya maisha

    Wakuu habari za uzima? Najua wengi tulishapitia katika hali fulani kwenye maisha tukaona kwamba hatuwezi kuendelea na hapo ndio mwisho wetu. Watu wengi wakiwa kwenye maumivu huwa wanachelewa kuchukua hatua muhimu za maisha. Unakuta sababu ya maumivu anakuwa ameganda na hafanyi chochote, yaani...
  4. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Vijana Katika Ujasiriamali

    Ajira imekuwa changamoto kubwa kwa vijana katika siku hizi, Serikali inaendelea kuhamasisha vijana kujiajiri kwa kuanzisha biashara zao wenyewe ili kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira. Hata hivyo, licha ya juhudi hizi, vikwazo vya kifedha vinavyowakabili vijana hawa vimekuwa kikwazo kikubwa...
  5. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania KWELI Unywaji wa pombe kwa mjamzito unaweza kupelekea changamoto kwa mtoto atakayezaliwa

    Bado nipo njiapanda, nimesikia kuwa mwanamke mjamzito akinywa pombe kwa kiwango kikubwa wakati wa ujauzito basi huweza kusababisha changamoto kubwa sana kwa mtoto. Kuna wajawazito kadhaa nimepata kuwaona wakinywa pombe tena kali sana lakini hizo changamoto kwa watoto wao sijaziona. Baadhi ya...
  6. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Uliwezaje kuzivuka changamoto na magumu uliyopitia maishani?

    Habari za muda huu ndugu zanguni. Maishani mwetu wakati mwingine hutokeza changamoto na magumu mbali mbali yanayotukabili na kukabiliana nayo. Changamoto za kimaisha na magumu kwenye harakati za maisha wakati fulani hutufanya kuvunjika mioyo na kuona kama dunia imekuelemea. Lakini nyakati...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Vivuko Kigamboni kwa sasa kunafanya kazi kivuko kimoja tu

    Wasaaaalamu Hali ya usafiri Kigamboni imekuwa mbaya sana wananchi wanahaha na kuhangaika,kwa sasa ni kivuko kimoja tu MV KAZI ndio kinatoa huduma hii inasababisha mrundikano wa raia wanaosubiri kupata huduma ya kivuko na kuleta kero kubwa sana Mpaka sasa hakuna kiongozi yeyote alietolea...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya rushwa ya ngono vyuoni tuaniomba TAKUKURU ifanye uchunguzi

    Kumekuwa na changamoto kubwa ya Rushwa ya ngono kwa baadhi ya vyuo vikuu na vyuo vya kati Tanzania hususani kwa watoto wanaomaliza kidato cha nne na kujiunga na vyuo kwa ngazi ya Certificate na diploma. Wengi wao wanakua ni wadogo kiumri na kushindwa kuhimili changamoto hiyo kutoka kwa baadhi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kujifunza UDSM

    Naitwa Abdul-Aziz Ally Carter mwanafunzi wa mwaka wa 3 chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM), nasomea historia na sayansi ya siasa, Namba yangu ya usajili 2021-04-01016. UDSM tunafundishwa kwa namna 2, lectures za Darasani na seminar presentation, Kwenye seminar presentation ndiyo sehemu pekee ya...
  10. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yakabiliwa na changamoto ya madeni huku ukomo wa muda wa kulipa deni la bilioni 25 za IMF ukiwadia

    Kulingana na ripoti ya jukwaa la habari za biashara nchini Kenya, BusinessDaily, IMF ilifichua kuwa Kenya ni miongoni mwa wakusanyaji wakuu wa mapato yake kwani benki hiyo inapanga kupata takribani asilimia 2 ya mapato yake ya mkopo kutoka nchini Kenya. "Income kutoka Kenya inatabiriwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kilimo Cha mahindi

    Naitaji kifahamu jinsi ya kutatua changamoto ya mahindi kuwa na rangi ya kijivu Nini suluhisho?
  12. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kuomba ushauri mitandaoni ukilinganisha na ushauri wa kuomba unayemjua ana kwa ana

    1. Wakati unasumbuka na tatizo la ndoa, kumbe robo tatu ya watoa ushauri hawajawahi kuishi na ndoa zaidi ya kudanda danda tu hapa na pale.Kwa kifupi hawajawahi saini mkataba mbele ya mashahidi na viongozi wa dini kwamba changamoto na furaha atazikabili. Mikataba alosaini ya kisela tu. Robo tatu...
  13. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tanga: Serikali kutumia Tsh Bilioni 3 kutoa maji yanayotoka Mto Zigi hadi Muheza

    📌📌 WAZIRI AWESO AMTHIBITISHIA MWENEZI MAKONDA KUWA CHANGAMOTO YA MAJI MUHEZA INAKWENDA KUISHA HIVI KARIBUNI Waziri wa Maji Ndugu. Juma Aweso amthibitishia Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda kuwa Serikali kupitia Wizara ya Maji anayoiongoza...
  14. fimbo ya mpera

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam ina changamoto za Mafanikio

    BANDARI YA DSM NA CHANGAMOTO ZA MAFANIKIO Ni baada ya ukamilishaji wa mradi wa DMGP, uimarishaji wa mifumo na utekelezaji wa maelekezo na matamanio ya Rais Dkt. Samia katika mapinduzi ya Bandari Sasa meli zinamiminika kila siku, wateja wameongezeka, mapato juu, mfungamano wa ajira umeimarika...
  15. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Changamoto zifuatazo zipo Ofisi za uhamiaji Arusha

    Hapo vipi, Kwanza niseme ngozi nyeusi chini ya hii sayari ndio race inayongoza kufanya vibaya Duniani kwa sababu kadha wa kadha. Nije kwenye mada husika, kiukweli Migration ya Arusha inatia aibu kubwa sana. Kwanza, wale watu wa mapokezi wana kauli chafu sana kwa watu wanaokuja kushughilikia...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Kubalehe changamoto sana

    Tuna zaliwa vizuri tunacheza na jinsia tofauti vizuri kabisa ila ikifika kipindi huwezi tena jumuika nao tena. Matamanio ya haraka nimeyatatua kwa style hii 👇👇👇 ili kutoweka mshangao kwa watu. Share na ya kwako ulitatua swala la mashine kudinda mahali usipo tegemea.
  17. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Duka la rejareja

    Huu ni uzi maalumu wa kuelezea changamoto wanazopitia wafanyabiashara wa Maduka ya Rejareja almaarufu "Maduka ya Mangi". Kama una Changamoto yoyote unayopitia andika hapa, hata kama wateja wanakukosea pia ongea hapa. Asante.
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuanza biashara ya maharage. Mwenye uzoefu wa masoko na changamoto zake anijuze

    Natumai mko vema nilikuwa nahitaji kuanza biashara ya maharage mwenye uzoefu wa masoko na changamoto zake. Mwenye uzoefu karibu.
  19. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu kuu 3 kwanini mfuko wa NHIF unapitia changamoto nyingi katika kuhudumia wananchi

    Habari JF ,Binafsi nimefanya kazi na NHIF kwa zaidi ya miaka 5, kumekuwa na Changamoto nyingi ambazo zinapelekea huduma kupitia huu mfuko kudolola. Mambo haya nimefuatilia ndio chanzo kikubwa ya Changamoto :- 1. ELIMU DUNI KUHUSU MFUKO WA NHIF (hupelekea matumizi yasiyo sahihi na kudhohofisha...
  20. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mikasa iliyotokea kipindi wanaigiza filamu za Yesu

    Haikuwa kazi nyepesi kuigiza movie za Yesu. Songombingo lilianza katika ile scene ya msalabani. Scenes zote ilikuwa rahisi sana isipokuwa ile ya msalabani. Kwenye ile movie ya mwaka 1979 ya Yesu iliyoigizwa na Decon, Brian Deacon anasimulia kwenye interview kuwa wakati wa scene ya msalabani...
Back
Top Bottom