changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Kuna changamoto ipo

    Habari za wakati huu Kwa mujibu wa mwenendo wa maisha ya leo, ambapo athari nyingi hasa za kimfumo wa uzazi zinamwangukia mwanamke, ni vyema kuona anapata watoto mapema. Ni nadra kwa mwanamke wa miaka 35 ambaye hajawahi kuzaa, apate ujauzito kirahisi. "Kuzaa ni afya" kwa mujibu wa daktari...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Changamoto gani umewahi kutana nayo sehemu umejitolea kufanya kazi?

    Wakuu habari, Embu tujadili hili swala hapa. Mimi baada ya kumaliza form 6 niliamua kujitolea kwenye shule fulani hivi ya sekondari nikisubiri kujiunga na chuo kikuu. Sasa bwana pale kuna changamoto nilikutana nayo kwamba kuna supervisor wangu alinielewa. Mimi nikamkatia bwana kwa sababu...
  3. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Kero na changamoto za kwenye magroup ya WhatsApp

    Habari za mida hiii wadau. Maendeleo ya kiteknolojia yameleta unafuu wa maisha na kuyafurahia maisha hasa kwenye mawasiliano. Lakini maendeleo hayo kwa upande mwingine yameleta usumbufu na kero hasa yakikutana ndugu zetu ambao hawana nidhamu kwenye kutumia. Kumekuwa na makundi ya kupiga soga...
  4. Chris makini

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kichwa kuwa kizito sehemu ya nyuma na kuhisi kizunguzungu inaweza kuwa ni dalili ya changamoto gani?

    Habari ndugu Wana jf. Natumaini nyie wazima wa afya Tena,niko hapa kuwaomba ushauri na uelewa juu ya tatizo hili la kichwa kuwa kizito sehemu ya nyuma bila kupoteza wakati Moja kwa Moja niende kwenye tatizo nina mdogo wangu wa kiume ana umri wa miaka 26 anasumbuliwa na kichwa kuuma na kuwa...
  5. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Jumuiya ya Ahmadiyya wakutana Dar kujadili changamoto za maadili na amani

    Viongozi wa Jumuiya ya Ahmadiyya Kusini kutoka Kusini mwa Jangwa la Sahara wamekutana Nchini Tanzani katika Semina ya siku mbili (Aprili 20 na 21, 2024) Nchini Tanzania na kushirikisha washiriki 120 kutoka Nchi 15. Semina hiyo imefanyia Jijini Dar es Salaam na mada kubwa iliyowakutanisha...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto katika utoaji huduma ofisi za Bima ya Afya ya Taifa (NHIF)

    Utoaji huduma kwa jamii unatakiwa kuwa rafiki ili kufikia malengo yaliyowekwa kwa manufaa ya TAIFA letu. Mimi kama mchangiaji wa NHIF kuna changamoto nimeziona katika ofisi za NHIF (Chache kama sio zote). 1. Utashi mdogo kwa baadhi ya watoa huduma. Mteja anapohitaji kujisajili/kuendelea na...
  7. Yofav

    JamiiForums Tanzania Tunaiomba serikali utatuzi wa changamoto ya Daraja Lililopo Tabata Mwananchi/Kisiwani

    Hizo ni baadhi ya picha za kabla ya mvua. Baada ya mvua kidogo tuu matokeo ni haya hapa⬇️ Kinachouma na kusikitisha kabisa ni kwamba hili Daraja lipo karibu kabisa na office ya serikali za mitaa lakini viongozi wa hapo hawaoneshi kabisa kuoina issue hiyo kama changamoto licha ya kuwa imekuwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hakika changamoto ya ajira imekuwa kubwa na Maisha yanazidi kunibana

    Nipo katika kipindi kigumu cha Maisha kwa sasa ambapo changamoto zimekuwa kubwa sana na zinanibana. Nina degree ya utawala, pamoja na uzoefu na ujuzi katika mauzo, masoko, ukusanyaji wa data, na uandishi wa miradi. Aidha, nina ujuzi kompyuta, na uzoefu wa miaka 7 kwenye kazi na rekodi nzuri...
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Polisi, Kibamba CCM ni changamoto, hali ni mbaya

    Wakazi wa Kibamba CCM, kuhusu "Barabara ya Police" imekuwa changamoto, yaani gari haziwezi kupanda kabisa tunaambiwa Mkandarasi ameshasaini Mkataba lakini hatuoni kinachoendele na mvua ikinyesha hali ndio inakuwa mbaya zaidi. Tumekuwa tunaripoti lakini wanachofanya ni kuleta michanga, mvua...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wasimamizi Millennium Tower 2 wakiri changamoto ya lifti, waomba watumiaji kuwa wavumilivu marekebisho yakiendelea

    Siku chache baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai 'lifti' tano kati ya sita kwenye jengo la Millennium Tower 2 hazifanyi kazi, wasimamizi wa jengo hilo wamekiri uwepo wa changamoto hiyo na kuwaomba watumiaji ikiwemo wapangaji kuwavumilia kidogo wakati wakifanya marekebisho ambayo wamedai...
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Gharama za nauli, chakula, maji, bundle, pamoja na kodi zinafanya biashara nyingi ziwe changamoto

    Tuseme una duka lako mahali pengine mjini na una kijana mzuri tu mwaminifu anakuuzia ila cheki utitiri wa gharama za uendeshaji. 1. Assume mnakaa mbali na duka na kijana anatakiwa alipe Hela ya usafiri mfano 1000 ya bajaji au boda kwenda na kurudi Kwa siku ni 2000 Kwa mwezi ni 60000/= 2...
  12. Walt white

    JamiiForums Tanzania Nina changamoto ya usikivu hafifu. Natafuta kazi; ikiwa ya kutengeza sofa itanifaa zaidi

    Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana wamiaka 24 kwasasa, elimu yangu ni kidato cha nne ambapo nilifaulu vizuri ila nilishindwa kuendelea na masomo kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo kutosikia vizuri. Baada ya kumaliza shule mwakav2015, kuanzia 2017 nilianza rasmi kujifunza kutengeneza sofa...
  13. jumamwaki

    JamiiForums Tanzania KERO Soko la SIDO mkoani Mbeya na changamoto zilizopo

    Habari wapendwa. Tukiwa tupo mbioni kumsaidia mh rais samia kwenye kuleta maendeleo kuna baadhi ya mambo ambayo huenda yanasababishwa na viongozi kwa kujua yaani makusudi au kwa kutojua. Nianzie kwenye mambo yafuatayo kwenye jiji letu la mbeya ambayo kwa kweli yanakera sana . #soko la sido ni...
  14. nyaggad

    JamiiForums Tanzania Ijue biashara ya nywele bandia faida na changamoto zake

    Habari wadau! Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,ijue biashara ya nywele faida na changamoto zake,kwanza kabisa naweza kusema biashara ya kuuza nywele za bandia ni kama biashara zingine,inakuhitaji ufanye tafiti kabla ya kuingia kwenye biashara hiyo ili uweze kujifunza namna ya kuifanya kwa...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania Inakabiliwa na Changamoto ya Maudhui Haramu kwenye Facebook

    Tanzania inakabiliana na ongezeko la maudhui haramu kama vile picha za ngono kwenye mtandao wa Facebook. Hii inaleta wasiwasi miongoni mwa watumiaji ambao wanahisi kutoweza kulinda faragha zao na heshima mtandaoni. Nawahasisha watumiaji kushiriki kwenye mjadala huu muhimu. Je, una maoni gani...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Changamoto zilizokuwa zimeibuliwa na wanainchi na kubebwa na upinzani kama agenda, zimetatuliwa sawa sawia na serikali ya awamu ya 6 ya CCM

    Changamoto zilizokua zimeibuliwa na wanainchi na kubebwa na upinzani kama agenda, zimetatuliwa sawa sawia na serikali ya awamu ya 6 ya CCM. Kiu, matamanio na matarajio ya waTz yamefikiwa na kutekelezwa. serikali sikivu ina zingatia sana sauti, mitazamo na maoni ya waTanzania kuhusu masuala...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kuingia utu uzima nimeanza kukabiliana nazo

    CHANGAMOTO ZA KUINGIA UTU UZIMA NIMEANZA KUKABILIANA NAZO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nikiwa bado nipo kwenye sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa na kuingia katika utu uzima, hata masaa 24 hayajaisha nimeanza kupata joto la jiwe. Nahisi moyo unapanuka, nahisi kichwa kinapasuka, nahisi pua...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Nane ya pamoja ya Biashara (JTC) Kenya na Tanzania zakutana kutatua changamoto za Kibiashara

    JUMUIYA YA MKUTANO WA KAMATI YA NANE YA PAMOJA YA BIASHARA (JTC) KATI YA JAMHURI YA KENYA NA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUSHUGHULIKIA MASUALA YANAYOATHIRI BIASHARA TAREHE 18 - 22 MACHI 2024, KISUMU, KENYA. 1. Mheshimiwa Dkt William Samoei Ruto, Rais wa Jamhuri ya Kenya na Mheshimiwa Dkt...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando: Lifti zetu hazina Changamoto kama inavyodaiwa

    Siku chache baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto ya lifti katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando iliyopo Jijini Mwanza, hoja hiyo imejibiwa na uongozi wa Bugando. Kusoma zaidi kuhusu Hoja ya Mdau Bonyeza hapa - Uongozi wa Hospitali ya Bugando chukueni hatua za...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Kila Changamoto ni Fursa, Dalali mkuu nakurahisishia mahitaji yako

    SHALLOM WANABODI Ajira imekuwa changamoto sana kupatikana bila kuwa na Connection au Bahati kama ilivyo kwa wengi. Niliamua kufanya kazi ya udalali ambayo naona kwa kiasi kikubwa inalipa Japo unaweza kukaa mwezi mzima hujapiga dili la maana zaidi ya kupata dili ndogo ndogo za Elfu kumi...
Back
Top Bottom