Changamoto zilizokuwa zimeibuliwa na wanainchi na kubebwa na upinzani kama agenda, zimetatuliwa sawa sawia na serikali ya awamu ya 6 ya CCM

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
8,195
11,626
Changamoto zilizokua zimeibuliwa na wanainchi na kubebwa na upinzani kama agenda, zimetatuliwa sawa sawia na serikali ya awamu ya 6 ya CCM.

Kiu, matamanio na matarajio ya waTz yamefikiwa na kutekelezwa.

serikali sikivu ina zingatia sana sauti, mitazamo na maoni ya waTanzania kuhusu masuala mbalimbali wanayohitaji, ina ya chukua, inayachakata na kufanyiwa kazi sawasawa na matamanio ya wanainchi.

kwa ujumla matarajio ya wanainchi yametimizwa kwa kiasi cha kuridhisha, na Imani na matumaini ya waTanzania kwa serikali iliyopo madarakani, chini ya kiongozi imara sana, mwana Mama shupavu, madhubuti, mahiri na makini na mwenye maono ya mbali sana kwaajili ya waTz, Rais, comrade, Dr. Samia Suluhu Hassan ni kubwa mno 🐒

Tupo pazuri, tunaelekea pazuri zaidi uchaguzi serikali za mitaa baadae mwaka huu 2024. Nawasifu sana upinzani, kuiunga mkono na kuipongeza serikali kwa sehemu kubwa, inatia moyo, huo ndio ungwana na hiyo ndio Demokrasia komavu. Twendeni pamoja sasa 2025 na Dr SSH...

God bless Tanzania
 
Ukimtukana mwehu na wewe utaonekana mwehu mwehu muache tu ajifurahishe. Na serikali inavyowapenda wehu utakuta anauvaa uDC. I alishawahi kusema Roma mkatoliki msije mkashangaa Amba Ruti kachaguliwa waziri.
uwezo wa kufikiri na kujenga hoja ukiishia kwenye matusi ni uraibu na utumwa mbaya wa kiwango cha juu sana 🐒

hebu jijengee tabia ya ustahimilivu, hekima na busara tangu moyoni ili kusudi uwe mfano wa fikra njema mpya, na muungwana 🐒

viongozi wakuu upinzani ni watulivu sana, wanafurahi kazi inayofanywa na Dr SSH kiongozi wa nchi, na wanamuunga mkono,
wewe ni nani, usichelewe 2025 twendeni pamoja na mama 🐒
 
Watu mnapenda kutukanwa bila ya sababu!
jitahidi uwe mustaarabu, mihemko na matusi sio deal 🐒

Kufikiri na kuwaza matusi kwa mawazo, maneno na matendo ni uharbifu na chukizo kwako mwenyewe, kwa jamii na kwa Mungu 🐒

Jitahidi kuwaza vizur na kusema yalio mema, sio mihemko, matukano na matusi 🐒

kumbuka upinzani 2025, unaungana na Dr SSH kiongozi wetu katika kusukuma gurudumu la maendeleo Tz 🐒
 
Changamoto zilizokua zimeibuliwa na wanainchi na kubebwa na upinzani kama agenda, zimetatuliwa sawa sawia na serikali ya awamu ya 6 ya CCM.
Kiu, matamanio na matarajio ya waTz yamefikiwa na kutekelezwa.

serikali sikivu ina zingatia sana sauti, mitazamo na maoni ya waTanzania kuhusu masuala mbalimbali wanayohitaji, ina ya chukua, inayachakata na kufanyiwa kazi sawasawa na matamanio ya wanainchi.

kwa ujumla matarajio ya wanainchi yametimizwa kwa kiasi cha kuridhisha, na Imani na matumaini ya waTanzania kwa serikali iliyopo madarakani, chini ya kiongozi imara sana, mwana Mama shupavu, madhubuti, mahiri na makini na mwenye maono ya mbali sana kwaajili ya waTz, Rais, comrade, Dr. Samia Suluhu Hassan ni kubwa mno 🐒

Tupo pazuri, tunaelekea pazuri zaidi uchaguzi serikali za mitaa baadae mwaka huu2024. Nawasifu sana upinzani, kuiunga mkono na kuipongeza serikali kwa sehemu kubwa, inatia moyo, huo ndio ungwana na hiyo ndio Demokrasia komavu. Twendeni pamoja sasa 2025 na Dr SSH...

God bless Tanzania
Wacha uzuzu wewe embu jiulize
*Ajira (vijana nikubeti)
*Elimu (bado walimu/mashule hali nimbaya sana anzia msingi)
*Maji (hali nimbaya)
*Kilimo na ufugaji (njaa nikali)
*Ardhi (wananchi wanalia eti mtu mmoja anajitwisha umwamba kusolve badala ya taasisi imara
  • Rushwa (rais analalamika pesa kunamifumo miwili/tunaibiwa)
  • Afya (madawa shida na NHIF wanafeli)
  • Dola tabu maana hatuexport
  • Madini (wachimbaji wanalia serikali inalala)
  • Biashara mabenk,makampuni hoiii
Kila idara tuko vibaya yet anatokea mwehu anakwambia MATATIZO yamekwisha kisa nyimbo zinazoimbwa kwenye vyombo vya habari kukaririsha wajinga kuwa tuko vizuri.

Hali yetu sinzuri tunahitaji uongozi Bora tutoke hapa tulipo. Kutokujijua unashinda wakati ukohoi nishida kuu inayoanzia akilini
 
Wacha uzuzu wewe embu jiulize
*Ajira (vijana nikubeti)
*Elimu (bado walimu/mashule hali nimbaya sana anzia msingi)
*Maji (hali nimbaya)
*Kilimo na ufugaji (njaa nikali)
*Ardhi (wananchi wanalia eti mtu mmoja anajitwisha umwamba kusolve badala ya taasisi imara
  • Rushwa (rais analalamika pesa kunamifumo miwili/tunaibiwa)
  • Afya (madawa shida na NHIF wanafeli)
  • Dola tabu maana hatuexport
  • Madini (wachimbaji wanalia serikali inalala)
  • Biashara mabenk,makampuni hoiii
Kila idara tuko vibaya yet anatokea mwehu anakwambia MATATIZO yamekwisha kisa nyimbo zinazoimbwa kwenye vyombo vya habari kukaririsha wajinga kuwa tuko vizuri
yote hayo yamefanyiwa kazi na yanaendelea kusghulikiwa na matokeo yanaonekana bayana mchana kweupe 🐒

upinzani kuwa watulivu kiasi hiki, ni ishara njema na kwamba wana muunga mkono Dr.SSH katika azma yake ya kuhakikisha matarajio na matamanio wanainchi yanafikiwa na kwakweli mpaka sasa, yamefikiwa vyema kwa kiasi kikubwa sana 🐒

nyingine ni changamoto na kasoro ndogo ndogo tu ambazo nazo zinarekebishwa🐒

usijifungie sana ndani kutwa kucha toka nje uyaone mambo 🐒
 
Ungekuwa unaenda hata nchi nyingine ungejifunza kitu,Inaonesha hutembei mtoto wamama
 
Ungekuwa unaenda hata nchi nyingine ungejifunza kitu,Inaonesha hutembei mtoto wamama
Bongo sihami bana🐒

na nimekuako maeneo mengi Africa Asia, Ulaya na America ni fujo tupu, yapo machache mazuri, Lakini mengi si ya maana wala si ya kujifunza, labda kwa tamaa na kujidharau kwako 🐒
 
Back
Top Bottom