Tanzania Inakabiliwa na Changamoto ya Maudhui Haramu kwenye Facebook

TJM255

Member
Aug 20, 2015
7
2
Tanzania inakabiliana na ongezeko la maudhui haramu kama vile picha za ngono kwenye mtandao wa Facebook. Hii inaleta wasiwasi miongoni mwa watumiaji ambao wanahisi kutoweza kulinda faragha zao na heshima mtandaoni.

Nawahasisha watumiaji kushiriki kwenye mjadala huu muhimu. Je, una maoni gani kuhusu jinsi ya kukabiliana na changamoto hii?

Tushirikiane kuleta mabadiliko chanya kwenye matumizi ya mtandao.
 
Kuna wahuni wana-tag watu picha/link za ngono. Sio vizuri ukawaachia watoto Simu kuangalia Facebook au hata kwenye halaiki kama vile kwenye daladala.
 
Kuna wahuni wana-tag watu picha/link za ngono. Sio vizuri ukawaachia watoto Simu kuangalia Facebook au hata kwenye halaiki kama vile kwenye daladala.
Nenda setting alafu enable reviewing, hapo mtu aki kutag haitaingia kwenye timeline yako hadi ukubali mwenyewe.

Screenshot_20240328_185436_Facebook.jpg
 
Back
Top Bottom