Waziri Jerry Slaa una dhamira ya kutatua changamoto za ardhi, lakini unakiacha chanzo cha tatizo ambacho ni watumishi Idara ya ardhi utakwama

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,754
74,770
Idara y ardhi matatizo wanayoyasababisha ni haya
1. Double allocation hii inafanywa makususdi na maafisa wa ardhi waandamizi
2.Vishoka ambao wanashirikiana na watumishi waandamizi wa Idara ya ardhi. Kwa kushirikiana na vishoka wanavamia eneo la mtu, wanapima kinyemela kwa kumtumia kishoka, idara ya ardhi wanaweka kwenye ramani za mipango miji, wanaanza kuuza viwanja.

Solution:
1. Jerry Slaa, usipoifumua idaraya Ardhi unapoteza muda bure maana hutatembea nchi nzima kufanya kama ulivyofanya Mbezi Beach. Watumishi wanaosababisha migogoro wanafahamika kila idara ya ardhi mkoani na wilayani

2.Weka utaratibu ambao unaweza kuwa unapata majina ya watumishi wanaosababisha migogoro ya ardhi idara ya ardhi na hao ndio una deal nao. pata majina yao toka kwa waathirika, chunguza , pata ukweli act promptly
 
Anayeenda kumshawishi mwenzake ni nani mtumishi au anayetaka kumilikishwa?

Wamilikishwaji wakitiwa hasara ndiyo watakoma na kuacha kwenda kwa watumishi kuwashawishi wawamikishe ardhi

Sent from my SH-52C using JamiiForums mobile app
 
Idara y ardhi matatizo wanayoyasababisha ni haya
1. Double allocation hii inafanywa makususdi na maafisa wa ardhi waandamizi
2.Vishoka ambao wanashirikiana na watumishi waandamizi wa Idara ya ardhi. Kwa kushirikiana na vishoka wanavamia eneo la mtu, wanapima kinyemela kwa kumtumia kishoka, idara ya ardhi wanaweka kwenye ramani za mipango miji, wanaanza kuuza viwanja.

Solution:
1. Jerry Slaa, usipoifumua idaraya Ardhi unapoteza muda bure maana hutatembea nchi nzima kufanya kama ulivyofanya Mbezi Beach. Watumishi wanaosababisha migogoro wanafahamika kila idara ya ardhi mkoani na wilayani

2.Weka utaratibu ambao unaweza kuwa unapata majina ya watumishi wanaosababisha migogoro ya ardhi idara ya ardhi na hao ndio una deal nao. pata majina yao toka kwa waathirika, chunguza , pata ukweli act promptly
WATUMISHI WANAKAA KITUO KIMOJA MIAKA 20 UTADHANI NI MADIWANI HILO NALO NI TATIZO KUBWA
 
Idara y ardhi matatizo wanayoyasababisha ni haya
1. Double allocation hii inafanywa makususdi na maafisa wa ardhi waandamizi
2.Vishoka ambao wanashirikiana na watumishi waandamizi wa Idara ya ardhi. Kwa kushirikiana na vishoka wanavamia eneo la mtu, wanapima kinyemela kwa kumtumia kishoka, idara ya ardhi wanaweka kwenye ramani za mipango miji, wanaanza kuuza viwanja.

Solution:
1. Jerry Slaa, usipoifumua idaraya Ardhi unapoteza muda bure maana hutatembea nchi nzima kufanya kama ulivyofanya Mbezi Beach. Watumishi wanaosababisha migogoro wanafahamika kila idara ya ardhi mkoani na wilayani

2.Weka utaratibu ambao unaweza kuwa unapata majina ya watumishi wanaosababisha migogoro ya ardhi idara ya ardhi na hao ndio una deal nao. pata majina yao toka kwa waathirika, chunguza , pata ukweli act promptly
Angefungua sehemu ya wazi ya kuwasilishia malalamiko ili wananci wamfikie kirahisi
 
Back
Top Bottom