KERO Mbagala na Chamazi kumekuwa na umeme wa mgao usio na kipimo siku ya tatu sasa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

QIT

Member
Mar 7, 2024
67
115
Mbagala na Chamanz Dar es salaam kumekuwa na umeme wa mgao usio na kipimo siku ya TATU sasa umeme Changamoto.

Hii nchi tatizo la umeme hautoisha wapigaji ni wengi.
 
kama huwezi kuishi hama nchi...sisi tumezoea tangia tunazaliwa mpka leo tuna watoto...umeme hukatika..na kufurahia ukirudi....uooooooh
 
Lakini Watanzania tulivyo mazuzu, utakuta hao hao wanaotudanganya kuhusu umeme, ndio hata kesho tunawapigia kura wawe viongozi wetu, halafu tunaendelea kulalamika wanapotudanganya kuhusu umeme. Huu ni umbuzi.
 
Back
Top Bottom