Jamaa wana wasanii wakali mnoo wanaimba muziki mmoja classic sanaaa
Na unadumu hauchoshi kabisa.
Sio takataka za jamaa wetu wa bongo zinaeleweka club tu..
Kuna wale
Ambassador of Jesus Christ walitamba sana na gospel zao
Meddy - huyu haina haja ya kumuelezea sana alivyo fundi ,anajua kutumia...