bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. CK Allan

    JamiiForums Tanzania TFF, Bodi ya Ligi na Azam TV wanahujumu soka la Bongo

    Kwa akili ya kawaida sana katika hali tuliyo nayo ya kiangazi na joto kali. Unalazimisha vipi timu zicheze saa 8 kamili mchana wakati wa jua kali, na wakati huo huo kuna timu zinakaa siku 6-8 bila kucheza. Ulazima huu wa saa 8 unatokea wapi? Kama ni suala la mechi zote kuonyeshwa kwanini...
  2. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Kupitisha airport cargo yenye nguo za mtu binafsi alizokuwa anazivaa akiwa nje ya nchi

    Kupitisha airport cargo yenye nguo za mtu binafsi alizokua anazivaa akiwa huko nje ya nchi alikokua anakaa sasa anarudi nazo bongo. Lakini kama cargo je customs analipia shs ngapi pale airport? Asante.
  3. Wacha1

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliopanga kwenda kula X-Mass Bongo kutoka UK

    Eurostar has announced it will launch its much-anticipated direct Amsterdam to London route on October 26. The route was originally slated to launch in April but was pushed back six months due to the coronavirus pandemic. Tickets for the service will go on sale from September 1, and will be...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Soka la Bongo linakosa ushindani wenye tija

    Soka la Bongo bhana, wakati Simba ikiwaza zaidi kushindana kimataifa na kupiga hatua flani kimataifa, timu nyingine zilizobaki za Ligi Kuu zinafikiria kushindana tu na Simba. Mfano Yanga, wao wako kushindana na Simba tu, hawana mipango yoyote ya kimataifa, wao kazi kuiga na kushindana na simba...
  5. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Mbuzi wa Bongo bwana akikuangalia ni kama alishakuona mahali

    🤣😅Hapo 👆 anajiuliza huyu nilishamuona wapi vile mbona kama nishamuona sehemu?
  6. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Hivi Kibongobongo ni msanii gani ni mbabe yaani 'Ngumi Jiwe' zaidi ya wote?

    Hivi tukiongelea ubabe, ununda, kiasi kwa akianzisha varangati hakuna msanii mwenzake atakayemuweza..yaani ukimchokoza tu anafunga mtaa. Huku mtaani kuna hawa jamaa wanatajwa sana Zola D Kalapina Nay wa Mitego Profesa Jay Chid Benz Dudu Baya bou nako p funky fido Vato lord eyes Wewe unahisi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Bongo kuna celebrities wanaostahili kufuatiliwa kweli?

    Wakati watu wanafuatilia na kujadili lile tukio la jana, mimi kwa kiasi fulani bado nashangaa kuona eti wale ndio miongoni mwa celebrities wa Bongo ambao watu wanatumia muda wao kuwafuatilia na kuwajadili kwa maana ya kuwaona ni watu wanaostahili kufuatiliwa sio tu kwa tukio la jana, bali...
  8. Lizharry

    JamiiForums Tanzania Je, ungependa kuanzisha biashara yako na kujikwamua kiuchumi na reseller program kutoka bongo live?

    Habari!! Je, ungependa kuanzisha biashara yako ya kujikwamua kiuchumi kupitia Bongo Live Reseller Program? Bongo Live ni kampuni inayotoa huduma ya mawasiliano kwa kutumia Bulk SMS yaani meseji za kutuma kwa watu wengi kwa wakati mmoja. Kupitia program hii unaweza ukaanzisha biashara yako ya...
  9. luangalila

    JamiiForums Tanzania Bongo vipi huko hapa Sydney ni saa tisa na dakika 11 najua hapo ndio mnakurupuka

    Sydney hii mchana huu. Pole ndugu zangu huko magu land nasikia jana mmepitiwa na katetemeko
  10. budebajr

    JamiiForums Tanzania Msimu Huu Baada ya Majanga ya Corona, Covid -19 unatumia kiasi gani kwa Siku?

    Gharama zako za matumizi kwa siku zimekaaje katika kipindi hiki? Mfano chakula, usafiri, matumizi ya simu, vinywaji na kadhalika. Tuchangie mada hii wana jf..
  11. Chivundu

    JamiiForums Tanzania Ni aibu sana mpaka leo Diaspora wanashindwa kupiga kura Bongo

    Wanabodi, Najiuliza sana, hivi mpaka leo pamoja na maendeleo yote ya teknolojia na sayansi yake, ni kweli tumeshindwa kuja na namna ya kuwawezesha Watanzania wanaoishi nje ya mipaka yetu kupiga kura kuchagua viongozi kama haki yao ya msingi japo ya urais? Kwamba na hili pia mpaka tulidai kama...
  12. Matope

    JamiiForums Tanzania Media za Bongo na Mwijaku ifike sehemu lazima wawe serious sasa tumemchoka huyu jamaa

    Huyu jamaa shida ni nini wadau tusaidiane kumdadavua?? Anaitwa Mwijaku binafsi sijawahi kuona lolote la maana kwake leo naona kawafomea waandishi wa habari still bado wanamuuliza maswali tu inashangaza Mara asambaze sijui picha za utupu duh yaani nakuwa hoves kabisa
  13. F

    JamiiForums Tanzania Tamthilia kali kuliko zote bongo. Hii ndiyo kiboko ya bongo movie, lazima uipende

    TAMTHILIA: CERTIFIED PERSON OF MY LIFE (CPL) (MTU ALIYETHIBITISHWA KWA MAISHA YANGU) MWANDISHI/MTUNZI: MANSHYNE Email address: manshinef@gmail.com instagram: @manshynee Sehemu ya 01. DARASANI: Ilikua ni muda wa kipindi cha ujasiriamali kwa Wanafunzi wanaosomea kozi ya biashara. Lecturer...
  14. DOCTOR UZI

    JamiiForums Tanzania Hivi bongo mambo kama ya wall street Marekani?

    Wakuu za muda huu Direct kwenye swali na hoja yenye kutaka kujua , kwa wale wapenzi wa movie kuna movie inaitwa wolf of wall street ya leonardo dicaprio na maggot robbie , ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kujua wall street kwa uchache Wall street ni nini?? Kwa knowledge yangu ndogo ni mtaa wa...
  15. mwaswast

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bongo Movies vs Kenyan Movies

    Movie industry in East Africa inaendelea kupiga hatua sana haswa kwenye quality ya picha, creativity, graphics na storyline. Kenya Kama kawaida ndio kinaara ifikapo quality in terms of production and creativity ukilinganisha na Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Kenyan Movie Bongo Movies
  16. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Tetesi kuhusu usajili Bongo kuelekea msimu 2020/21

    Karibuni tuelezane Tetesi za usajili VPL na FDL. Taja jina la mchezaji anatoka timu gani, anaenda wapi Naanza na Charles Ilanfya (KMC) kwenda Simba Mwamnyeto (Coastal Union) kwenda Yanga/Simba/Azam Awesu Juma (Kagera) kwenda Yanga Kigi Makasi (Ndanda) kwenda Dodoma Jiji
  17. Kapepo

    JamiiForums Tanzania Napata wapi saa model hizi na kwa bei hii hapa Bongo

    Habari wakuu nataka saa model hiyo vje bongo wanauza wapi kwa bei ya range hizo, naogopa kuagiza aliexpress kutokana na kuchelewa kufika mzigo kwa sababu ya maradhi haya ya korona je kuna duka gani zinapatikana hapa bongo Dar?
  18. King Loto

    JamiiForums Tanzania Bongo ya sasa inakwenda kasi sana. Huna pesa na huna penzi

    Wakuu wa jamvi hali ni gani uko kwenu kitaa. Yaani hawa kina hawa wanatanguliza pesa mbele kama tai. Kama huna pesa utaishia kula wale wa short time kule Sinza na Manzese wa buku 3 na buku mbili mbili buku ya mlinzi 😂😂😂😂 wewe hujiulizi kwani nini wanaume tukiwa na kojo tunakimbilia hawa wa...
  19. victor moshi

    JamiiForums Tanzania Dulla Planet wa East Africa akabidhiwa gari kali

    Wakuu pita pita zangu kule Instagram nimekutana na post ya Dulla wa planet bongo akishukuru uongozi wa East Afrca kwa kumkabidhi gari aina ya marcediz benz hii ni baada ya kukitumikia kituo hicho miaka 12. Je, hii ni mbinu mpya East Africa redio wamekujanayo baada yakuuona watangazaji wao wana...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Hii nyimbo ya zamani inayoitwa "Supastaa wa Bongo" nitaipataje?

    Iliimbwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 kwenye TV, ilikua inaimbwa hivi, "Superstar superstar, superstar wa bongo, superstar superstar kuwa na usongo".
Back
Top Bottom