Ukiangalia mikakati ya Harmonize baada ya kutoka WCB ...
Utagundua alipunguza Sana Kwanza safari na collaboration za nje. Sababu ilikuwa kutengeneza fanbase bongo Kwanza. Pia kuhakikisha kondegang inatambulika bongo vizuri. Kwakweli kwa hilo kafanikiwa. Kwa Sasa ukipita mitaani hakuna...
Nimeingia getto muda sio mrefu, nikaona ngoja niweke mawingu fm nisikilize michezo extra..Nakuta ndo kwanza kipindi kinaanza...Moja ya mechi walioiongelea ni game ya Namungo na Raja casablanca na Namungo amepigwa sijajua goli ngapi.
Hoja za wachambuzi wa mawingu fm wanasema NAMUNGO imebebwa na...
Wahenga walisema ujanja kupata...wakati wa mwendazake viongozi na wanachama wa CCM kwa
kuonesha utii walifanya kama tunavyoshuhudia kwenye hii picha hapa chini.
Walipigana vikumbo kukabidhi akili zao kwa bwana mkubwa lakini kwa bahati mbaya bongo
ziliwekwa kwenye ndoo bila kuwekewa alama...
Mimi ni shabiki wa mpira na mpira ninaujua kwa kuutazama na kuucheza uwanjani. Haiitaji elimu kubwa kugundua kuwa Chris Mugalu hafai na hastahili kuanza kikosi cha kwanza kulingana na kiwango chake hasa uwezo wake wa kufunga. Bahati nzuri kwake ni kuwa udhaifu wake unafichwa na ubora wa timu...
ATHARI MBAYA ZA BONGO MOVIE KUWA NA VILAZA WENGI NDANI YA JAMII
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
Wapo watu wataona nimewaandama hawa ndugu zetu, lakini lazima ukweli tuuseme. Hatuwezi sema kuwa hakuna athari chanya walizotupatia Bongo Movies ndani ya nchi yetu, zipo faida kadhaa, kama vile, kutoa...
BONGO MOVIE WENGI NI VILAZA, SIO AJABU WAMEILAZA SANAA YA UIGIZAJI
Anaandika, Robert Heriel
Hapana shaka sanaa ya Uigizaji kwa sasa imelala Usingizi wa Pono, imelala fofofo na waigizaji wake wanakoroma. Wapo kwenye ndoto za majinamizi wabaya wanaowakimbiza kwenye mitaro huko usingizini. Tangu...
Wakuu nataka kufahamu net worth za wasanii wa bongo.
Nikimtazama mwanamuziki jux naona msanii mkubwa ndani yake. mwenye kipaji.
Ana pesa kiasi gani na anazipata je, kwa kuimba tu au ana vyanzo vingine halali?
Karibuni.
Leo nataka kuizungumzia mamlaka inayosimamia mchezo wa miguu hapa nchini.
TFF ya karia kwa hakika imepata mafanikio kadhaa kama vile kushiriki Afcon Senior na junior, CHAN nk.Lakini pia kuboresha soka la wanawake.
Doa kubwa ambalo Rais Karia asipoangalia litamletea matatizo ni hii Issue ya...
Tundu Lissu Asema Atarejea Tanzania Iwapo Ataruhusiwa Kuanika ‘Maovu’ Ya Utawala Wa Magufuli
NA WANGU KANURI
MwanasiasaA mtajika wa Tanzania na mpinzani wa chama cha CHADEMA, Bw Tundu Antiphas Mughwai Lissu hivi sasa amesema kuwa yupo tayari kurejea nchini Tanzania lakini kwa sharti moja kuwa...
Habari wanajamvi,
Natumaini tunaendelea vizuri.
Kila mwaka sisi hutarajia matokeo ya mitihani. Hata kama sio ya kwako, mtoto/ shangazi/ mpwa/ mke/ mme nk wanahusika.
Naomba kujua kama kuna apps au systems au SMS shortcodes nk ambazo zimerahisisha hili, kiasi kwamba sina haja ya kwenda kwenye...
Tanzania ina wasanii wengi mno lakini cha kusikitisha ubinafsi umewapiga kiasi cha kuua kabisa ubunifu wao. Wazee wenzangu tunakumbuka tamthiliya ya tausi ilivyokuwa na mashiko wakati ule.
Hivi inaingi akilini nchi ya uchumi wa kati tunaangalia tamthiliya za wenzetu zilizofasiriwa kwa Kiswahili...
Kenya's little-known towns are turning into business hubs with accelerated infrastructure development by the government over the past years.
According to the Kenya National Highways Authority (KeNHA), there are 40 ongoing road projects in the country under the agency.
All these projects...
Salaaam wakuu,
Nimekuwa nikisikiliza mziki wa bongo flava kuanzia enzi za takeu ikaja kiduku, ikaja ngololo hadi kufikia mpelekee moto.
Ukweli ni kwamba hapo nyuma walianza vizuri kwa upande wa hiphop kina niger j na Mr.2 wakatengeneza njia wakaandika mashairi ya kuelimisha jamii na wengine...
Habari wanajamvi,
Naomba kuelezea kero yangu juu ya waandishi wa habari za michezo wa Bongo. Yaani mwandishi anamuhoji kocha wa kigeni kwa lugha ya kigeni tatizo ni kwamba hatafsiri na wala hafafanui walichozungumza wakati anajua wazi lugha ya taifa ya Bongo ni kiswahili.
Je, washibiki...
Mmegeuka kama watoto wadogo kwenye game la siasa za Bongo. Kila kukicha mnaleta stori za ajabu kuwa uchaguzi uliopita mlibagazwa sababu kulikuwa na faulo. Lakini hamtaki kuweka ukweli kuwa CHADEMA ilikuwa imekataliwa na Watanzania toka mwaka 2015 baada ya kufanya utapeli na kumpa ridhaa Edward...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.