Soka la Bongo linakosa ushindani wenye tija

The Initiator huru

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
1,114
2,000
Soka la Bongo bhana, wakati Simba ikiwaza zaidi kushindana kimataifa na kupiga hatua flani kimataifa, timu nyingine zilizobaki za Ligi Kuu zinafikiria kushindana tu na Simba.

Mfano Yanga, wao wako kushindana na Simba tu, hawana mipango yoyote ya kimataifa, wao kazi kuiga na kushindana na simba tu, mfano Simba kuwa na tamasha lao kila mwaka, uto kaiga, juzi wamemleta Daimond apige show uwanjani Uto wameiga wanamleta Harmonize na Harmorapa.

Uto badilikeni kuweni creative
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
4,645
2,000
Nyinyi ndiyo maana mnaitwa mbumbumbu! Yaani timu imesajili wachezaji wake kwa ajili ya msimu mpya wa ligi, halafu unasema eti wanawaiga simba! Kwa hiyo ndiyo mwaka huu Yanga imeanza kusajili hao wachezaji?

Halafu wewe ni nani wa kuwapangia Wananchi mwanamuziki wa kuipamba siku yao? Mbona Azam walitumbuizwa na Ali Kiba, lakini husemi chochote!! Na unataka uniambie Simba ndiyo timu ya kwanza duniani kuanzisha hilo tamasha la mwanzo wa msimu? Mbona na wenyewe wamecopy tu na kupaste kutoka kwa wenye mpira wao!!

Hoja zako karibia zote ni za kufikirisha tu! Huna ushahidi wowote ule zaidi tu ya kuweweseka maana mpaka muda huu, mbumbumbu wengi mmepigwa na butwaa kutokana na usajili makini uliofanywa na timu ya Wananchi.
 
Tokomeza Zero

Member
Oct 7, 2019
16
45
Sometimes sio mbaya kuficha UJINGA ulionao! Yanga ndio timu ya kwanza kuadhimisha siku yake ya kuanzishwa na ili kuonesha kuwa ni timu ya Ushindani iliwaalika Asante Kotoko miongo kadhaa iliyopita.... SIJUI NANI kamuiga MWENZAKE
 
kidunula1

JF-Expert Member
Apr 2, 2016
4,745
2,000
Soka la Bongo bhana, wakati Simba ikiwaza zaidi kushindana kimataifa na kupiga hatua flani kimataifa, timu nyingine zilizobaki za Ligi Kuu zinafikiria kushindana tu na Simba.

Mfano Yanga, wao wako kushindana na Simba tu, hawana mipango yoyote ya kimataifa, wao kazi kuiga na kushindana na simba tu, mfano Simba kuwa na tamasha lao kila mwaka, uto kaiga, juzi wamemleta Daimond apige show uwanjani Uto wameiga wanamleta Harmonize na Harmorapa.

Uto badilikeni kuweni creative
Pole sana kwa sindano ndefu sana zinazokuingia. Vumilia ndio hali ya dunia
 
kimbendengu

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
4,216
2,000
Timu hizo hazitaendelea kwa miaka 1000 naona CCM wamewateka yaani Simba na Yanga mnapoteza muda kwenda uwanja wa ache Mkapa kutazama ujinga
 
NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
6,273
2,000
Simba wamemleta Senzo,Yanga wakamuiba tenakwa mbwembwe nyiingi utadhani anacheza ndani ya uwanja.
Sasa Simba wamemleta Diamond kwa helkopta igeni hiyo sasa.
 
kipanta

JF-Expert Member
Sep 2, 2014
471
500
Wamecopy kwa wenye mpira sawa, je wewe nyani fc unacopy wapi, afu nitajie hiyo timu tuliko copy mtumwa fc wewe
Nyinyi ndiyo maana mnaitwa mbumbumbu! Yaani timu imesajili wachezaji wake kwa ajili ya msimu mpya wa ligi, halafu unasema eti wanawaiga simba! Kwa hiyo ndiyo mwaka huu Yanga imeanza kusajili hao wachezaji?

Halafu wewe ni nani wa kuwapangia Wananchi mwanamuziki wa kuipamba siku yao? Mbona Azam walitumbuizwa na Ali Kiba, lakini husemi chochote!! Na unataka uniambie Simba ndiyo timu ya kwanza duniani kuanzisha hilo tamasha la mwanzo wa msimu? Mbona na wenyewe wamecopy tu na kupaste kutoka kwa wenye mpira wao!!

Hoja zako karibia zote ni za kufikirisha tu! Huna ushahidi wowote ule zaidi tu ya kuweweseka maana mpaka muda huu, mbumbumbu wengi mmepigwa na butwaa kutokana na usajili makini uliofanywa na timu ya Wananchi.
 
kipanta

JF-Expert Member
Sep 2, 2014
471
500
Sometimes sio mbaya kuficha UJINGA ulionao! Yanga ndio timu ya kwanza kuadhimisha siku yake ya kuanzishwa na ili kuonesha kuwa ni timu ya Ushindani iliwaalika Asante Kotoko miongo kadhaa iliyopita.... SIJUI NANI kamuiga MWENZAKE
Lini hiyo, ?
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
4,645
2,000
Wamecopy kwa wenye mpira sawa, je wewe nyani fc unacopy wapi, afu nitajie hiyo timu tuliko copy mtumwa fc wewe

Kujibizana na shabiki aliyetambuliwa na Mwenyekiti wake mstaafu kama mbumbumbu, kutanifanya na mimi shabiki wa Timu ya Wananchi kuonekana ni mbumbumbu pia.

Jiongeze mwenyewe kwa ku Google ili uone kama huo utaratibu wa timu kutambulisha wachezaji wake wa msimu mpya wa ligi pamoja na jezi zao za msimu mpya, umeanzishwa na bodaboda fc/mo fc/mbumbumbu fc, au upo duniani kote?

Ungeniambia kwa Tanzania, mbumbumbu fc ndiyo timu ya kwanza kuiga kutoka kwa wenzetu, walau ningekuona ni mbumbumbu mwenye kaulewa kuliko mbumbumbu wenzako wengine.
 
The Initiator huru

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
1,114
2,000
weww
Nyinyi ndiyo maana mnaitwa mbumbumbu! Yaani timu imesajili wachezaji wake kwa ajili ya msimu mpya wa ligi, halafu unasema eti wanawaiga simba! Kwa hiyo ndiyo mwaka huu Yanga imeanza kusajili hao wachezaji?

Halafu wewe ni nani wa kuwapangia Wananchi mwanamuziki wa kuipamba siku yao? Mbona Azam walitumbuizwa na Ali Kiba, lakini husemi chochote!! Na unataka uniambie Simba ndiyo timu ya kwanza duniani kuanzisha hilo tamasha la mwanzo wa msimu? Mbona na wenyewe wamecopy tu na kupaste kutoka kwa wenye mpira wao!!

Hoja zako karibia zote ni za kufikirisha tu! Huna ushahidi wowote ule zaidi tu ya kuweweseka maana mpaka muda huu, mbumbumbu wengi mmepigwa na butwaa kutokana na usajili makini uliofanywa na timu ya Wananchi.
wewe unafikiria kwa kutumia nini?? mimi sijasema eti wasisajili, hapana wawe na ubunifu na sio kuiga iga tuu
 
The Initiator huru

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
1,114
2,000
Soka la Bongo bhana, wakati Simba ikiwaza zaidi kushindana kimataifa na kupiga hatua flani kimataifa, timu nyingine zilizobaki za Ligi Kuu zinafikiria kushindana tu na Simba.

Mfano Yanga, wao wako kushindana na Simba tu, hawana mipango yoyote ya kimataifa, wao kazi kuiga na kushindana na simba tu, mfano Simba kuwa na tamasha lao kila mwaka, uto kaiga, juzi wamemleta Daimond apige show uwanjani Uto wameiga wanamleta Harmonize na Harmorapa.

Uto badilikeni kuweni creative
simba ilimtumia mpoki, utopolo nao wameiga na kumtumia babu levo
 
Nikupa

Member
Mar 15, 2018
61
125
Kujibizana na shabiki aliyetambuliwa na Mwenyekiti wake mstaafu kama mbumbumbu, kutanifanya na mimi shabiki wa Timu ya Wananchi kuonekana ni mbumbumbu pia.

Jiongeze mwenyewe kwa ku Google ili uone kama huo utaratibu wa timu kutambulisha wachezaji wake wa msimu mpya wa ligi pamoja na jezi zao za msimu mpya, umeanzishwa na bodaboda fc/mo fc/mbumbumbu fc, au upo duniani kote?

Ungeniambia kwa Tanzania, mbumbumbu fc ndiyo timu ya kwanza kuiga kutoka kwa wenzetu, walau ningekuona ni mbumbumbu mwenye kaulewa kuliko mbumbumbu wenzako wengine.
Niambie iyo timu inayofanya kama simba niende YouTube
 
Chancellor

Senior Member
Jun 22, 2013
118
250
Nyinyi ndiyo maana mnaitwa mbumbumbu! Yaani timu imesajili wachezaji wake kwa ajili ya msimu mpya wa ligi, halafu unasema eti wanawaiga simba! Kwa hiyo ndiyo mwaka huu Yanga imeanza kusajili hao wachezaji?

Halafu wewe ni nani wa kuwapangia Wananchi mwanamuziki wa kuipamba siku yao? Mbona Azam walitumbuizwa na Ali Kiba, lakini husemi chochote!! Na unataka uniambie Simba ndiyo timu ya kwanza duniani kuanzisha hilo tamasha la mwanzo wa msimu? Mbona na wenyewe wamecopy tu na kupaste kutoka kwa wenye mpira wao!!

Hoja zako karibia zote ni za kufikirisha tu! Huna ushahidi wowote ule zaidi tu ya kuweweseka maana mpaka muda huu, mbumbumbu wengi mmepigwa na butwaa kutokana na usajili makini uliofanywa na timu ya Wananchi.
Relax budah..mbona unatumia ATP's nyingi sana..kwani umepanic budah?
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
4,645
2,000
weww

wewe unafikiria kwa kutumia nini?? mimi sijasema eti wasisajili, hapana wawe na ubunifu na sio kuiga iga tuu

Yaani unaumiza kichwa kwa Yanga na Simba kuigana!! Yanga na Simba ni mtu na kaka yake, hivyo ni jambo la kawaida sana kuigana au kufanya mambo yanayofanana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom