TFF, Bodi ya Ligi na Azam TV wanahujumu soka la Bongo

Allan Clement

Verified Member
Aug 14, 2013
1,866
2,000
Kwa akili ya kawaida sana katika hali tuliyo nayo ya kiangazi na joto kali.

Unalazimisha vipi timu zicheze saa 8 kamili mchana wakati wa jua kali, na wakati huo huo kuna timu zinakaa siku 6-8 bila kucheza. Ulazima huu wa saa 8 unatokea wapi?

Kama ni suala la mechi zote kuonyeshwa kwanini tusirudishe mechi za kati kati ya wiki yaani Jumatano? lakini suala la kufungia viwanja baada ya mechi kuchezwa huu ni ujinga wa kiwango cha lami! ina maana hakuna ukaguzi unaofanyika kabla ya kuidhinisha viwanja hivi?

Haya kwa sasa timu zinacheza weekend hadi wekeend lakini michuano ya kimataifa ikifika kwa Simba na Namungo ndipo tutaona maajabu ya kucheza baada ya siku moja.

Kwa maoni yangu hapa kuna hujuma isiyo ya kawaida inafanyika.

Saa 8 muda wa kazi mnamuwekea nani mechi? Kumfurahisha nani?
 
Trebla84

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
290
500

Sijawah kuona Wala kusikia Simba na Yanga wakicheza saa nane😰😰😰
Siku wakicheza saa nane sijui Mana naona timu za mikoani tu ndio Mara zote saa nane zinacheza.
Bodi ya ligi kufungua viwanja Ni kuonyesha kuwa TFF hakuna kitu Ni madudu tu.
Bado nalia na TFF ambayo haina umuhimu katika soka la bongo zaidi ya kupanga ratiba tu.
 
Shambaboy jogoli

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
817
1,000
Kwa akili ya kawaida sana katika hali tuliyo nayo ya kiangazi na joto kali.

Unalazimisha vipi timu zicheze saa 8 kamili mchana wakati wa jua kali, na wakati huo huo kuna timu zinakaa siku 6-8 bila kucheza. Ulazima huu wa saa 8 unatokea wapi?

Kama ni suala la mechi zote kuonyeshwa kwanini tusirudishe mechi za kati kati ya wiki yaani Jumatano? lakini suala la kufungia viwanja baada ya mechi kuchezwa huu ni ujinga wa kiwango cha lami! ina maana hakuna ukaguzi unaofanyika kabla ya kuidhinisha viwanja hivi?

Haya kwa sasa timu zinacheza weekend hadi wekeend lakini michuano ya kimataifa ikifika kwa Simba na Namungo ndipo tutaona maajabu ya kucheza baada ya siku moja.

Kwa maoni yangu hapa kuna hujuma isiyo ya kawaida inafanyika.

Saa 8 muda wa kazi mnamuwekea nani mechi? Kumfurahisha nani?
Tifua wote in mikia tu!
 
mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
3,254
2,000
Acheni ulalamishi kwa kila jambo, nendeni mkapime Vidonda vya tumbo najua wengi mnajikuta tu mmekuwa walalamishi na hamaki nawambieni Vidonda vya tumbo hizo ndio dalili zake kuu. Kama hamtaki ushauri huuu mtaishia kupatwa Kansa ya Utumbo.
 
Akili 2

JF-Expert Member
Jul 2, 2018
731

Hawawezi kukupa majibu yoyote ya kueleweka zaidi utaitwa wewe siyo mzarendo
 
Akili 2

JF-Expert Member
Jul 2, 2018
731
1,000
Acheni ulalamishi kwa kila jambo, nendeni mkapime Vidonda vya tumbo najua wengi mnajikuta tu mmekuwa walalamishi na hamaki nawambieni Vidonda vya tumbo hizo ndio dalili zake kuu. Kama hamtaki ushauri huuu mtaishia kupatwa Kansa ya Utumbo.
😂😂😂Hizi bangi mnazovutia magetho Ni hatari sana
 
Trebla84

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
290
500
Kwa akili ya kawaida sana katika hali tuliyo nayo ya kiangazi na joto kali.

Unalazimisha vipi timu zicheze saa 8 kamili mchana wakati wa jua kali, na wakati huo huo kuna timu zinakaa siku 6-8 bila kucheza. Ulazima huu wa saa 8 unatokea wapi?

Kama ni suala la mechi zote kuonyeshwa kwanini tusirudishe mechi za kati kati ya wiki yaani Jumatano? lakini suala la kufungia viwanja baada ya mechi kuchezwa huu ni ujinga wa kiwango cha lami! ina maana hakuna ukaguzi unaofanyika kabla ya kuidhinisha viwanja hivi?

Haya kwa sasa timu zinacheza weekend hadi wekeend lakini michuano ya kimataifa ikifika kwa Simba na Namungo ndipo tutaona maajabu ya kucheza baada ya siku moja.

Kwa maoni yangu hapa kuna hujuma isiyo ya kawaida inafanyika.

Saa 8 muda wa kazi mnamuwekea nani mechi? Kumfurahisha nani?

Timu kongwe Simba na Yanga zote hazina mechi hata moja ya mchana, huku Azam ikiwa na mechi mbili za saa 8 mchana dhidi ya Mbeya City Septemba 20 na Ihefu Oktoba 17

Hata hivyo timu za majeshi ndio zimeonekana kuathirika zaidi na ratiba ya kucheza juani kwenye mzunguko wa kwanza wa ligi msimu huu.

Timu kama JKT Tanzania, Tanzania Prisons na Ruvu Shooting ndizo zimeonekana zitacheza mechi nyingi mchana kwenye mzunguko huo wa kwanza wa ligi kuliko timu nying yoyote.
Mwanaspoti
 
rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
7,899
2,000
Hizi timu viongozi wake wapumbavu sababu wanaonewa wanakaa kimya hii ratiba ya kucheza wiki hadi wiki kwanza inawaongezea gharama mfano mbeya city na prison zilikaa Dar es salaam wiki nzima zinahudumia wachezaji wake posho na malazi wakati zingeweza kupunguza gharama kama zingecheza jumatano ukichukulia mapato ya mechi wanachukua wenyej.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom