Bongo Movies vs Kenyan Movies

mwaswast

JF-Expert Member
May 12, 2014
12,780
6,461
Movie industry in East Africa inaendelea kupiga hatua sana haswa kwenye quality ya picha, creativity, graphics na storyline.

Kenya Kama kawaida ndio kinaara ifikapo quality in terms of production and creativity ukilinganisha na Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla.

Kenyan Movie

Bongo Movies
 
Movie kutoka nchi jirani ya Kenya binafsi zinanionesha wapo serious kidogo na kazi zao.Kibongo bongo nitabaki na hii chini

Pengine sababu walioigiza ni watu niwapendao kimuziki hasa EAST COAST TEAM.

Bila kuwasahau hawa ndugu. (Honourable mention)
na nyinginenzo kama
tatu chafu
wahuni wakubwa
ndoto za kitaa
ishu za simu
msala wa beki tatu nk.
 
Link ya trailer zake?
 
hiyo ya kenya ni takataka mbele ya movie za Agent bavo tafuta movie zifuatazo uone Tz inawaacha kila kona

Agent bavo
ulingo wa moto
mnyampala
 
Filamu za Kenya zimekuwa nominated mara kadhaa kuwania tuzo kwenye Oscars kule Hollwood, U.S. Hapa nyumbani huwa zinajishindia tuzo za ubora karibia zote kila mwaka barani Afrika(AMVCA). Kwenye Zanzibar Film Festival pia filamu za Kenya huwa zinang'aa kila mwaka. Usizifananishe na hivi vituko vya Bangi Movie.
71e93ee3d397b2a82ac553edf839e34e.jpg
mwaswast jiburudishe kidogo na hizi subtitles matata.
a339d5914880060db8ddce75a91a61f7.jpg
 
Movie industry in East Africa inaendelea kupiga hatua sana haswa kwenye quality ya picha, creativity, graphics na storyline.

Kenya Kama kawaida ndio kinaara ifikapo quality in terms of production and creativity ukilinganisha na Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla.

Kenyan Movie

Bongo Movies

Wakenya bhana. Yaani ndio muvi yenu ya kwanza mnayoiita nzuri ya action basi hatunywi maji. Muvi ya action ya dizaini hii hapa tz tuliifanya 2009
 
Ulijuaje?
Filamu ya shumileta ni maarufu kenya kuzidi baadhi ya celebrities wa kenya

Kule pwani ya kenya mombasani nk asilimia kubwa huwa wanapendelea bongo movies ila wewe wa humu utabisha,
Aah wapi, labda kama comedy maanake Gongo Movie huwa mnafanya maigizo tu hadi kwenye kuigiza.
img_btgya63l33v-jpg.498848
fb_img_1492713063393-jpg.498832
Citizen tv huwa wanaonesha filamu za bongo movies mara kibao tu.
 
Filamu ya shumileta ni maarufu kenya kuzidi baadhi ya celebrities wa kenya

Kule pwani ya kenya mombasani nk asilimia kubwa huwa wanapendelea bongo movies ila wewe wa humu utabisha, Citizen tv huwa wanaonesha filamu za bongo movies mara kibao tu.
Citizen Tv kama tu stesheni zingine maarufu za Kenya huwa inatizamwa kote AM, sanasana na watz ndio maana lazima wajumuishe content za AM. Eti Shumileta, seriously? Mbona unalazimisha sana? Hiyo nayo ni filamu ya kutizamwa au uhuni flani tu?
 
Citizen Tv kama tu stesheni zingine maarufu za Kenya zinatizamwa kote AM, sanasana na watz ndio maana lazima wajumuishe content za AM. Eti Shumileta, seriously? Mbona unalazimisha sana? Hiyo nayo ni filamu ya kutizamwa au uhuni flani tu?
Ona unavyo jitetea kupingana na ukweli,

Hiyo citizen tv inatazamwa na Watanzania wachache sana unaweza kuta ni wakenya wanaoishi Tanzania tena siku hizi haipatikani kwenye kisimbuzi cha startimes,

Ooh kumbe unaifahamu shumileta...hii ni ya kitambo lakini kama nilivyo kuambia ni maarufu kenya kuzidi baadhi ya celebrities wa kenya.
 
hiyo ya kenya ni takataka mbele ya movie za Agent bavo tafuta movie zifuatazo uone Tz inawaacha kila kona

Agent bavo
ulingo wa moto
mnyampala
Nimeingia YouTube kucheki agent Bavo kumbe comedy ya 70s.
 
Ona unavyo jitetea kupingana na ukweli,

Hiyo citizen tv inatazamwa na Watanzania wachache sana unaweza kuta ni wakenya wanaoishi Tanzania tena siku hizi haipatikani kwenye kisimbuzi cha startimes,

Ooh kumbe unaifahamu shumileta...hii ni ya kitambo lakini kama nilivyo kuambia ni maarufu kenya kuzidi baadhi ya celebrities wa kenya.
Hapo napingana na wewe vibaya sana, wapo watanzania wanaangalia citizwn tv karibia kila siku huko bongo..eti wakenya
 
Back
Top Bottom