Ni aibu sana mpaka leo Diaspora wanashindwa kupiga kura Bongo

Chivundu

JF-Expert Member
Dec 17, 2012
7,198
5,363
Wanabodi,

Najiuliza sana, hivi mpaka leo pamoja na maendeleo yote ya teknolojia na sayansi yake, ni kweli tumeshindwa kuja na namna ya kuwawezesha Watanzania wanaoishi nje ya mipaka yetu kupiga kura kuchagua viongozi kama haki yao ya msingi japo ya urais?

Kwamba na hili pia mpaka tulidai kama tunavyodai haki zetu zingine za kiraia?

Tunakwama wapi?
 
Bia yetu,

Hebu taja mkataba hata mmoja ambao Lissu kasaini kwa niaba ya serikali na hao mabeberu.

Mikataba yote mibovu unayoijua wewe kwenye nchi tokea tupate uhuru wamesaini CCM.

Kama Mnawashwa 28 oct Tutawakuna vizuri tulieni dawa iwaingie.
 
huyu rais wenu wa jf jukwaa la siasa hana hadhi ya kutumikia wananchi ngazi ya taifa.
 
Back
Top Bottom