bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. BRN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliacha kutazama hizi filamu za kitanzania kwa sababu ya makosa mengi ya dhahiri

    Niliacha kutazama hizi filamu za kitanzania kwa sababu ya makosa mengi ya dhahiri kuanzia uigizaji na matukio yanayoendana na filamu zao. Kuna mwigizaji hivi karibuni amejitokeza kwa filamu zenye misemo ya kiswahili hivyo kujizolea umaarufu. Alianza kunivutia kuangalia tena hizi movie zao ila...
  2. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Kwa uelewa wangu, duniani kote Vyama vya Siasa huwa na wasanii maalum kutumbuiza wakati wa kampeni

    Nimejaribu kuangalia ile mobilization iliyofanywa na wasanii kule nchini Nigeria kina Davido na wenzake wakiandamana kuomba kile kikosi maalum cha Polisi kinachotesa Raia kivunjwe na hatimaye mamlaka zimekivunja. Huku Bongo Wasanii wa kizazi kipya kina Diamond na kundi lake wanakata mauno kwenye...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya wasanii wa Bongo na wa Nigeria

    Nyota wa muziki nchini Nigeria, David Adeleke (Davido) akiongoza sehemu ya maandamano ya vijana nchini humo kutaka kufutwa kwa Kikosi Maalumu cha Polisi cha Kupambana na Uhalifu (SARS), kutokana na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu hasa dhidi ya vijana katika utendaji wake.
  4. Extrovert

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bongo ndio nchi pekee ambayo mapenzi ni ajira

    "Kwa hali ilivyo sasa viumbe esp. jinsia pinzani waishio katika Tized hasa maeneo ya mijini wamegeuza swala la mapenzi kuwa kama ajira kwa maana wanadai stahiki zote a.k.a house allowance, transport allowance bila kusahau invoice za kujikimu a.k.a per diem yani misosi, saluni, vocha vocha hizi...
  5. JOTO LA MOTO

    JamiiForums Tanzania Buriani John Nash na kiu ya kufahamu ni nini kinakosekana kwa Wasanii wetu hapa Bongo

    John Lester Nash-1940-2020 Nikiwa bado Bw mdogo nyumbani alifika Baba yangu mdogo mmoja akiwa na kaseti kadhaa alizotoka nazo ng'ambo..miongoni mwa nyimbo zilizonivutia kwenye moja ya kaseti ni ngoma ya "rock me baby" Sikujali sana ni nani aliyeimba kibao hicho ila baadae nilikuja kujua...
  6. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mziki wetu wa Bantu unafeli wapi vs Bongo fleva?

    Sikiliza kwa makini wimbo huu, namna maudhui, sauti na mpangilio wa vyombo ulivyofanyika. Je mziki huu wa kibantu unafeli wapi against Bongo fleva? Yaani mziki wa namna hii kwa nini unashindwa ku break into the music industry !! tatizo?
  7. CK Allan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TFF, Bodi ya Ligi na Azam TV wanahujumu soka la Bongo

    Kwa akili ya kawaida sana katika hali tuliyo nayo ya kiangazi na joto kali. Unalazimisha vipi timu zicheze saa 8 kamili mchana wakati wa jua kali, na wakati huo huo kuna timu zinakaa siku 6-8 bila kucheza. Ulazima huu wa saa 8 unatokea wapi? Kama ni suala la mechi zote kuonyeshwa kwanini...
  8. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Kupitisha airport cargo yenye nguo za mtu binafsi alizokuwa anazivaa akiwa nje ya nchi

    Kupitisha airport cargo yenye nguo za mtu binafsi alizokua anazivaa akiwa huko nje ya nchi alikokua anakaa sasa anarudi nazo bongo. Lakini kama cargo je customs analipia shs ngapi pale airport? Asante.
  9. Wacha1

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliopanga kwenda kula X-Mass Bongo kutoka UK

    Eurostar has announced it will launch its much-anticipated direct Amsterdam to London route on October 26. The route was originally slated to launch in April but was pushed back six months due to the coronavirus pandemic. Tickets for the service will go on sale from September 1, and will be...
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soka la Bongo linakosa ushindani wenye tija

    Soka la Bongo bhana, wakati Simba ikiwaza zaidi kushindana kimataifa na kupiga hatua flani kimataifa, timu nyingine zilizobaki za Ligi Kuu zinafikiria kushindana tu na Simba. Mfano Yanga, wao wako kushindana na Simba tu, hawana mipango yoyote ya kimataifa, wao kazi kuiga na kushindana na simba...
  11. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Mbuzi wa Bongo bwana akikuangalia ni kama alishakuona mahali

    🤣😅Hapo 👆 anajiuliza huyu nilishamuona wapi vile mbona kama nishamuona sehemu?
  12. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Hivi Kibongobongo ni msanii gani ni mbabe yaani 'Ngumi Jiwe' zaidi ya wote?

    Hivi tukiongelea ubabe, ununda, kiasi kwa akianzisha varangati hakuna msanii mwenzake atakayemuweza..yaani ukimchokoza tu anafunga mtaa. Huku mtaani kuna hawa jamaa wanatajwa sana Zola D Kalapina Nay wa Mitego Profesa Jay Chid Benz Dudu Baya bou nako p funky fido Vato lord eyes Wewe unahisi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Bongo kuna celebrities wanaostahili kufuatiliwa kweli?

    Wakati watu wanafuatilia na kujadili lile tukio la jana, mimi kwa kiasi fulani bado nashangaa kuona eti wale ndio miongoni mwa celebrities wa Bongo ambao watu wanatumia muda wao kuwafuatilia na kuwajadili kwa maana ya kuwaona ni watu wanaostahili kufuatiliwa sio tu kwa tukio la jana, bali...
  14. Lizharry

    JamiiForums Tanzania Je, ungependa kuanzisha biashara yako na kujikwamua kiuchumi na reseller program kutoka bongo live?

    Habari!! Je, ungependa kuanzisha biashara yako ya kujikwamua kiuchumi kupitia Bongo Live Reseller Program? Bongo Live ni kampuni inayotoa huduma ya mawasiliano kwa kutumia Bulk SMS yaani meseji za kutuma kwa watu wengi kwa wakati mmoja. Kupitia program hii unaweza ukaanzisha biashara yako ya...
  15. luangalila

    JamiiForums Tanzania Bongo vipi huko hapa Sydney ni saa tisa na dakika 11 najua hapo ndio mnakurupuka

    Sydney hii mchana huu. Pole ndugu zangu huko magu land nasikia jana mmepitiwa na katetemeko
  16. budebajr

    JamiiForums Tanzania Msimu Huu Baada ya Majanga ya Corona, Covid -19 unatumia kiasi gani kwa Siku?

    Gharama zako za matumizi kwa siku zimekaaje katika kipindi hiki? Mfano chakula, usafiri, matumizi ya simu, vinywaji na kadhalika. Tuchangie mada hii wana jf..
  17. Chivundu

    JamiiForums Tanzania Ni aibu sana mpaka leo Diaspora wanashindwa kupiga kura Bongo

    Wanabodi, Najiuliza sana, hivi mpaka leo pamoja na maendeleo yote ya teknolojia na sayansi yake, ni kweli tumeshindwa kuja na namna ya kuwawezesha Watanzania wanaoishi nje ya mipaka yetu kupiga kura kuchagua viongozi kama haki yao ya msingi japo ya urais? Kwamba na hili pia mpaka tulidai kama...
  18. Matope

    JamiiForums Tanzania Media za Bongo na Mwijaku ifike sehemu lazima wawe serious sasa tumemchoka huyu jamaa

    Huyu jamaa shida ni nini wadau tusaidiane kumdadavua?? Anaitwa Mwijaku binafsi sijawahi kuona lolote la maana kwake leo naona kawafomea waandishi wa habari still bado wanamuuliza maswali tu inashangaza Mara asambaze sijui picha za utupu duh yaani nakuwa hoves kabisa
  19. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tamthilia kali kuliko zote bongo. Hii ndiyo kiboko ya bongo movie, lazima uipende

    TAMTHILIA: CERTIFIED PERSON OF MY LIFE (CPL) (MTU ALIYETHIBITISHWA KWA MAISHA YANGU) MWANDISHI/MTUNZI: MANSHYNE Email address: manshinef@gmail.com instagram: @manshynee Sehemu ya 01. DARASANI: Ilikua ni muda wa kipindi cha ujasiriamali kwa Wanafunzi wanaosomea kozi ya biashara. Lecturer...
  20. DOCTOR UZI

    JamiiForums Tanzania Hivi bongo mambo kama ya wall street Marekani?

    Wakuu za muda huu Direct kwenye swali na hoja yenye kutaka kujua , kwa wale wapenzi wa movie kuna movie inaitwa wolf of wall street ya leonardo dicaprio na maggot robbie , ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kujua wall street kwa uchache Wall street ni nini?? Kwa knowledge yangu ndogo ni mtaa wa...
Back
Top Bottom