bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. T

    JamiiForums Maisha ya bongo!

    Wazee waliposema usiku mrefu waliwaza vingi bwana, leo katika harakati nimejikuta nakosa msosi na kulala pakavu tumboni, sahizi nipo natapa tapa hapakuchi!! Nimeingia kitandani toka saa nne hadi sahizi saa tisa sipati usingizi nasinzia nikishtuka nakuta nimesinzia dakika kumi au kumi tano tu...
  2. sky soldier

    JamiiForums Kwenye game linda sana brand yako, IT wa bongo mnakubali vp kupiga window kwa elf 5?

    Elfu 5, Yes! wala sijakosea ni 5,000. Nimeenda sehemu namkuta graduate wa computer science anapiga window kwa elf 5, like seriously guys? Mtu kasoma chuo kwa mamilioni halafu atoe huduma kwa elfu 5? Ni wazi hatambui hata uzito wa CV yake ya kusomea taaluma yake kwa miaka mitatu chuoni.
  3. LorenzoA

    JamiiForums Hawa hapa 30 bora,(Top Bongo Music Beast) watoto wa mjini, bila hawa Bongoflava isingekuwepo

    Hii hapa ni list ya wasanii wa bongo hiphop, kizazi cha zamani kilichoshine wakati wote.. waasisi wa Bongoflava. Kipindi hicho Tanzania kukiwa na radio tatu tu na TV moja ya burdani, yes *EATV Credits to MJRecords, Bongo Records.... Mambo yalikuwa sawa sana mpaka pale muovu alipoingia...
  4. nzalendo

    JamiiForums Bongo ukifa na stress,umejitakia

    Sherehe ya kurudi kwa mkewe. Mtaa wa Nd ege....Hananasif Bongo ukifa na stress.............
  5. matunduizi

    JamiiForums Je, hii ni moja ya sababu kwa nini vijana wengi wa Tanzania hawatoboi?

    Kutokuwa tayari kula na watu. Kuna dogo mmoja anafufua na kuuza PC kwa bei rahisi. Alinifuata anaomba mtaji na hataki kukopa benk. Nikamwambia sasa mimi nitawekeza kiasi kadhaa alafu katika hiyo faida na mimi nipata kiasi flani, hata pesa ya marketing ntashiriki. Hii ingemsaidia kukua kwa...
  6. badison

    JamiiForums Baada ya kuona video hii nimemdharau sana Ali Bongo Ondimba

    Wakuu nimetumiwa video moja ya aliyekuwa Raisi wa Gabon Ali Bongo kwa sasa kapinduliwa nikajua ukweli kwanini Nchi za kiafrika ni maskini sana na nimeshapata majibu kwanini na dokta, maprofesa waliosoma Nchi za ulaya hawana msaada wowote kwa wa Afrika wenzao kumbe tatizo ni imani zao za...
  7. Webabu

    JamiiForums Aliyepindua Gabon hafai, ni fisadi kama akina Bongo

    Mapinduzi ya Gabon yana mfanano na mapinduzi mengine yaliyofanyika nchi za Afrika Magharibi. Hata hivyo kuna vitu muhimu vinavyoyatafautisha mapinduzi hayo na wenzao. Brice Oligui Nguema ni mjomba wa raisi aliyempindua ambaye alichaguliwa kuwa kiongozi wa kikosi cha kumlinda raisi huyo. Tofauti...
  8. M

    JamiiForums Course gani inayohusiana na biashara ambayo itakuwa na mashiko Kwa hapa Tanzania

    Course Gani inayohusiana na biashara ambayo itakuwa na mashiko Kwa apa bongo. Naomba ushauri
  9. sky soldier

    JamiiForums Kucheza Mpira V/s Bongo Flava, wapi angalau kuna uhakika wa maokoto ya kuendesha maisha kwa sasa?

    Diamond naomba tumuwekee exception asiwepo, hata kwa sasa pesa anavuna zaidi kwenye uwekezaji Binafsi nachoona ni wasanii ni wachache sana wanaoingiza hela kwa mziki pekee, kinachoumiza wasanii wengi ni kulazimika kuishi maisha ya juu kwajili ya brand, mfano kuishi nyumba za milioni 3 kwa...
  10. R-K-O

    JamiiForums Mashairi: Khaligraph hajatukana Wasanii wa Bongo Bali anawakumbusha tu kuwa wamepooza sana kwenye Game ya Rap wamekimbilia Kwenye Amapiano

    KHALIGRAPH - Bongo Favour Lyrics 𝐓𝐀𝐅𝐒𝐈𝐑𝐈 𝐙𝐀 𝐊𝐈𝐒𝐖𝐀𝐇𝐈𝐋𝐈 𝐙𝐈𝐏𝐎 Tusahishane kama kuna makosa+nyongeza Yeah nafanya TZ mbogi ipaniki ᴍʙᴏɢɪ = ᴋᴜɴᴅɪ, ᴍꜰᴀɴᴏ ᴡᴀɴᴀᴏᴢᴜɴɢᴜᴍᴢɪᴡᴀ ʜᴜᴍᴜ Wakiona OG amejam, zogo! ᴡᴀᴍᴇᴀᴏɴᴀ ɴᴀᴡᴀᴘᴀ ᴍᴀᴋᴀᴠᴜ, ᴡᴀᴍᴇᴀɴᴢᴀ ᴋᴇʟᴇʟᴇ Big rappers na mbona mnaplans ndogo? Na sitafuti kiki...
  11. B

    JamiiForums Chemsha Bongo

    Kama macho yako yanaona vizuri, nioneshe watu saba na paka katika picha hii.
  12. Mediaty

    JamiiForums Hivi ni kweli Amazon KDP inalipa, hasa hapa Bongo?

    Guys, mimi ni mwandishi wa Novel (riwaya), nataka kuwekeza kwenye Amazon Kdp. Lakini naona ni kama changamoto kwangu kama beginner. Maana hapa ntatakiwa kulipa some amount for ads, pia kupata reviews (rates) ni ngumu. Na wateja wengi wanependa sana kucheki reviews kabla kununua kitabu...
  13. T

    JamiiForums Kwa kweli Bongo bado sana

    Baada ya kukaa nje ya nchi bila kutembelea nyumbani kwa takbirani miaka 10, juzi nimetua bongo kwa matarajio mengi ya kuona yake mapichapicha ya mitandaoni, lakini nilichokikuta ni hakina tofauti yeyote kuonyesha miji wa Dar es Salaam kuwa umejengeka Kwanza nimechoshwa na uwingi wa watu bila...
  14. King Kong III

    JamiiForums TANZIA G RICO - Msanii wa Bongo Fleva wa Mwanza afariki Dunia

    Umuofia kwenu wana JF, Msanii wa Bongo fleva aliyetikisa kanda ya Ziwa G RICO amefariki dunia leo ,G Rico alitamba na nyimbo kama Pole ya moyo, kesho etc. Poleni ndugu, jamaa na marafiki.
  15. UtdProfile_

    JamiiForums Kwanini Soka letu la bongo bado lipo nyuma Sana???

    TFF yatoa tena List ya Yanga wachezaji wenye vibali.. Kucheza Ngao ✍️✍️✍️
  16. Area 56

    JamiiForums Tuwakumbuke wanamuziki wa Bongo Fleva waliotangulia mbele ya haki

    Wiki iliyoisha kulikuwa na kifo cha DJ Steve B ambaye alikuwa na jina kubwa sana katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya (bongo fleva) mwanzoni mwa miaka ya 2000. Leo nimeona tuwakumbuke wanamuziki wa bongo fleva ambao wamefariki. Hii itasaidia pia kujua baadhi ya wana muziki wa bongo fleva...
  17. Mto Songwe

    JamiiForums Amapiano waachiwe wa Afrika Kusini ndio wanaziweza Bongo na Naija wanapiga makelele tu!

    Hizi Amapiano toka zilipo anza kuvuma South Africa na wasanii wengi wa Afrika kuanza kuzifanya Wasauzi wamebaki kuwa watabe wa huu mziki. Wasanii wengi wa nje ya South Africa wanaofanya na wanao jaribu kufanya Amapiano ni kama wanapiga makelele tu hapa nawazungumzia hasa wabongo na Wapopo...
  18. aka2030

    JamiiForums Tujikumbushe ma Dj's walioinyanyua Bongo Fleva

    Dj Mars Dj Venture Dj Skills Dj D White Dj Juice Dj Nelly Dj Kessy Dj Muli Bring Bring Dj Majizo Di Sam Dj Cutter Dj Jongo Dj D7 Ongezea wengne ambao walikuwa bora kuliko hawa kina AllyB
  19. M

    JamiiForums Uingereza: Waandamamaji wapanda juu ya paa la nyumba ya Waziri Mkuu. Hapa Tanzania hata Dp world wauziwe nchi hamuwezi kuthubutu

    Wanaharakati wamefunika sehemu ya mbele ya jengo hilo kwa kitambaa cheusi Wanaharakati wamepanda juu ya paa la nyumba ya waziri mkuu katika eneo bunge lake la NorthYorkshire kupinga vibali vipya 100 vya mafuta na gesi ya Bahari ya Kaskazini. Wanaharakati hao wa Greenpeaceiwalisema walikuwa...
  20. W

    JamiiForums Hivi kuna nchi ina majina mengi ya mitindo ya kujamiiana na kujamiiana kwenyewe kuzidi Bongo?!!!!

    Aisee ni hatari sana hii nchi! Tukamuulize mama Maria Nyerere kwani ilikuaje inawezekana akawa na majibu ya uhovyo wetu. Tukianza na majina ya mitindo; 1. Kifo cha mende 2. Chuma mboga 3. Mbuzi kagoma 4. Wezele kwio 5. Popo kanyea mbingu 6. Mtambuka 7. Tepetesha sambwanda 8. Kaokokokorobo 9. FM...
Back
Top Bottom