Kwa kweli Bongo bado sana

Teknocrat

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
3,816
8,470
Baada ya kukaa nje ya nchi bila kutembelea nyumbani kwa takbirani miaka 10, juzi nimetua bongo kwa matarajio mengi ya kuona yake mapichapicha ya mitandaoni, lakini nilichokikuta ni hakina tofauti yeyote kuonyesha miji wa Dar es Salaam kuwa umejengeka

Kwanza nimechoshwa na uwingi wa watu bila mpangilio, yaani watu wapowapo tu wamekaa na kusimama kila sehemu ya Mji bila shughuli, hata kama baadhi ya barabara zimejengwa lakini watu wakaakaa pembezoni na kazi Yao kuvuka upande huu na ule wa barabara kutwa nzima na wachuuzi wametanda barabara nzima mpaka barabara zinakosa mvuto.

Ile mitaa ilikuwaga ya utulivu na kishua sio tena hivyo ni makelele ya bodaboda na wapiga debe usiku kucha.

Katikati mjini uhindini kila nyumba imegeuzwa restaurant viti vimejaa maeneo ya watembea kwa mguu.

Halafu pia mji umejaa wazungu choka mbaya sijui wanatokea nchi gani?

Yaani nimesikitishwa na nimetapeliwa na mapicha ya mtandaoni
Kwa kweli Bongo bado sana na Tena sana.

Povu ruksa!
 
Baada ya kukaa nje ya nchi bila kutembelea nyumbani kwa takbirani miaka 10, juzi nimetua bongo kwa matarajio mengi ya kuona yake mapichapicha ya mitandaoni, lakini nilichokikuta ni hakina tofauti yeyote kuonyesha miji wa Dar es Salaam kuwa umejengeka

Kwanza nimechoshwa na uwingi wa watu bila mpangilio, yaani watu wapowapo tu wamekaa na kusimama kila sehemu ya Mji bila shughuli, hata kama baadhi ya barabara zimejengwa lakini watu wakaakaa pembezoni na kazi Yao kuvuka upande huu na ule wa barabara kutwa nzima na wachuuzi wametanda barabara nzima mpaka barabara zinakosa mvuto.

Ile mitaa ilikuwaga ya utulivu na kishua sio tena hivyo ni makelele ya bodaboda na wapiga debe usiku kucha.

Katikakati mjini uhindini kila nyumba imegeuzwa restaurant viti vimejaa maeneo ya watembea kwa mguu.

Wengi ni majini nchi hii.
 
Hujui utamu wa bongo....kwa sasa jiji lipo pembezoni mjini kati watu weshapakimbia
 
Back
Top Bottom