Hivi ni kweli Amazon KDP inalipa, hasa hapa Bongo?

Mediaty

Member
Aug 10, 2023
23
24
Guys, mimi ni mwandishi wa Novel (riwaya), nataka kuwekeza kwenye Amazon Kdp.

Lakini naona ni kama changamoto kwangu kama beginner.

Maana hapa ntatakiwa kulipa some amount for ads, pia kupata reviews (rates) ni ngumu.

Na wateja wengi wanependa sana kucheki reviews kabla kununua kitabu.

Mwenye uzoefu🙏 anipe comfort au wapi naweza uza novel.
 
Unaandika Riwaya za kiingereza? Maana hawasupport kazi za kiswahili.
 
Kwanza kiswahili hawaruhusu ila tatizo lengine ni kwamba ukiandika riwaya wabongo wanaanza ku share kwenye magroup.

Nimeona Amazon kdp inalipa sana kwa wenzetu wa majuu vijana wanakunja vibunda kila mwezi kutengeneza vitabu havina maudhui mfano vitabu vya ratiba, katuni za kuchora rangi, chemsha bongo, diary, n.k. hapa inabidi uwe mbunifu wa kujua kutumia Microsoft publisher ama Adobe Illustrator, canva ilikiwa rahisi ila naskia sikuhizi wameiwekea vikwazo vya haki miliki.

competition nayo ni kali inabidi uwe na ujuzi wa kutangaza kazi zako (promotion) kwa matangazo ya kulipia amazon kama ilivyo kwa fb,

By the way, hivi kwa hapa bongo umepata njia ya kupokea pesa ?
 
Tunahitaji kuwa na Kindle ya kibongo.
 
Yeah njia ya kupokea pesa ni kupitia dollar card (foreign account). Nishaipata tayari
 
tunaweza kuipata vipi watanzania wengin
Hapo ni ujuzi wa Internet. Cha kwanza mkuu, jua bank ambazo zinatoa dollar account. Nazo ni kama; Payoneer, Payday(hii ni best kwa Nigeria) nyingine ni Grey. Mimi nilijaribu Payoneer wakaninyima account sababu ambazo zilikua nje ya uwezo.

Ila kupata Grey account ni simple. Ingia YouTube angalia tutorial za kutengeneza Grey account.
NB: Grey account ina offer dollar account, euro account na pound account plus Tsh account.
Sishauri mtu atengeneze Payoneer account. Wale jamaa wanakata makato kila mwezi, bila kujali unaingiza kiasi gani.
 
Kuhusu Payoneer ni nzuri na iko trusted duniani kote, hawana makato ya kila mwezi ila kuna makato ya mwaka 29.5$ kama kwa mwaka mzima hujapitisha dola 2000 na kuendelea utalipia.

Lakini kama payonerr yako iko active hakuna makato yeyote. Kutoa pesa ni 15$ kuanzia dola50-750. Zinaingia banki ndani ya siku 1-2. CRDB, NMB, BACLAYS, ... Zote zinaingia ata kama akounti yako ni ya Tsh. Ni vizuri ukiwa na akaunti ya dola

Grey ni wachanga sina maoni juu yao, kuhusu changamoto za kdp ni kawaida hakuna pesa rahisi kuandika kitabu na kuuza ni uwekezaji kama biashara zingine zina input cost hakuna Zero inputs matangazo ni miongoni mwa input cost so ni kujipanga tu.
 
Asante sana kiongozi.
 
Back
Top Bottom