TANZIA G RICO - Msanii wa Bongo Fleva wa Mwanza afariki Dunia

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,685
68,671
Umuofia kwenu wana JF,

Msanii wa Bongo fleva aliyetikisa kanda ya Ziwa G RICO amefariki dunia leo ,G Rico alitamba na nyimbo kama Pole ya moyo, kesho etc. Poleni ndugu, jamaa na marafiki.

Mara ya kwanza kumfahamu best naso ukipanda gari za mkoani ndio ana hiti kwenye mabasi kuliko redioni na youtube.
RIP
Best Naso ni maarufu sana kupitia redio tbc fm. Kuna mtangazaji mmoja wa huko kanda ya ziwa nadhani anaitwa Arungu hua anapiga sana ngoma zao hao underground.

Tbc fm ni maarufu sana huko vijijini kuliko radio station yoyote nchini.

Pia Radio Free Afrika hua inawapa sana promotion hao wasanii.

Best naso ni mkongwe, ana ngoma zake 2 ama 3 kali za huko nyuma zimewahi kupigwa karibu radio station zote nchini.
 
🤣🤣🤣🤣🤣
mbona best naso ni maarufu TZ
 
Jamaa kapata umaarufu baada ya kufa maana kabla ya uzi huu sidhani kama kuna mtu alikuwa anamjua.

Anyways apumzike kwa amani, aende kuchana kwa malaika mbinguni huko.
 
Back
Top Bottom