bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Mafundi wengi Bongo wanashindwa kufanya Overhaul ya Engine ya 1ZZ

    Ningependa tu kutoa ushauri, kufanya overhaul ni mara mia ununue mswaki ufunge. Mafundi tulionao wanaweza kukushawishi ufanye overhaul lakini tambua engine haiwez kuwa na the same performance+Life span ya engine is shortned.(Hapa unakua kama upo kwenye limp mode,Gari haina uwakika kwa safari...
  2. Thailand

    JamiiForums Tanzania Kwa mnaotaka kusoma course za nje mkiwa hapa hapa bongo chekini hii scholarship ya Commonwealth Distance Learning (MA)

    Hii scholarship mwisho wa kufanya application ni 28/ 03/ 2023. Bado hujachelewa ku apply. https://cscuk.fcdo.gov.uk/scholarships/commonwealth-distance-learning-scholarships-candidates/
  3. M

    JamiiForums Tanzania Marefa wa bongo hovyo sana

    Refa amekataa goli halali kabisa la singida big stars dhidi ya coastal union. TFF fungieni hawa marefa wanaharibu sana ligi.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Bongo Dah!!! 🤣 🤣 🤣 🤣

  5. D

    JamiiForums Tanzania Karibu asilimia 70% ya maswali ya baadhi ya waandishi wa habari Bongo ni ya ovyo; nina wasiwasi na ubora wa vyuo vya habari

    Nimefuatilia mahojiano (interview) nyingi za waandishi wa habari Tanzania! Wengi wao wanamaswali ya hovyo na kipuuzi kuliko mahitaji ya jamii inachohitaji kujulishwa! Maswali yao mengi yapo kwenye mlengo wa taharuki kwamba Flani kasema vile na vile almradi tu jambo lionekane la kuishangaza...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Nyota wa zamani wa Yanga afungua kijiwe cha mishkaki

    Mchezaji wa zamani wa Yanga SC na Singida United Kipanya Malapa amefungua biashara ya mishikaki na kachori maeneo ya nyumbani kwao Buguruni. Kipanya anamshukuru sana mchezaji mwenzie wa Yanga Said Maulidi Kalikula kwa kumuunga mkono na kuomba wadau wengi wapite maeneo ya Buguruni Kona kupata...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Msanii wa bongo movie akiwa ametokelezea na mwenzake. Ila sasa🙄

  8. Breaking bad

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani wa kuwekeza katika mpira bongo?

    Singida united ilikuwa timu kubwa na uwezo wa kusajili wachezaji wakubwa bwana yule alipokuwa madarakani. Ila alipotumbuliwa tu timu ikaparanganyika mpaka kupotea kabisa kwenye ramani ya soka bongo. Baada ya kurudishwa tena madarakani wameibuka tena na timu singida big stars na inafanya...
  9. Kang

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa hatari kwa startups za Bongo zilizopata funds kutoka kwa VCs wa nje

    Startup kadhaa za Bongo katika miaka ya karibuni zilianzishwa kwa kupata funding kutoka kampuni za Venture Capital (VC) Marekani, kabla ya mfumuko wa bei (inflation) iliyotokea hivi karibuni interest rate ya banki Marekani ilikuwa karibia 0% hii ilikuwa na effect mbili, kwanza kukopa ilikuwa...
  10. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Mabondia wanaokuja Bongo wanafanyiwa Vetting?

    Huyu dogo anayepambana na Tony Rashid mbona sifa zilikuwa nyingi na anaonekana anakwenda kupoteza pambano. Hizi trends za wabongo kushinda , je ni wako bora sana Africa au tunamdanganya nani? Ni wakati sasa na wao kutoka kwenda S.Africa na sehemu nyingine kututhibitishia lakini si kwa hii...
  11. pantheraleo

    JamiiForums Tanzania Dar: Show ya Heshima kwa Wakongwe wa Bongo Fleva si ya Kukosa

    Deiwaka World chini ya Joseph Mbilinyi “SUGU” kwa kushirikiana na Alliance Francaise (Kituo cha Utamaduni cha Ufaransa), imeandaa “Bongo Flava Honors” Concerts ambalo ni Jukwaa mahsusi kwa Wakongwe wa Bongo Flava. Concerts hizi zitafanyika Alliance Francaise, Upanga, Dar Es Salaam. Kila mwezi...
  12. Zombie S2KIZZY

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Bongo badilikeni, jifunzeni kwa wenzenu namna nzuri ya kufanya show

    Wakuu hii shoo ya badgirl Riri ni noma kwanza mipangilio imepangika mavazi, madensa sound, lights. Yaan ni noma shoo imetulia ina ladha huumii masikio na wala huchoki tazama. Wasanii badilikeni sio kutupigia kelele stejini. Kushoto kulia mara washa light ya simu yako Mara tuimbe woote hata...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kufunza hesabu bongo

    Tafakari ya babu na Swaleh Mdoe "Nikiangalia kopo langu la mkono, lasema ni saa moja na dakika takribani kumi na kenda." Tafakari ya babu... "Mtoto mmoja alianza kujipaka mate kichwani katika darasa la hesabu. Mwalimu akamuuliza, "kwa nini wewe mjinga unajipaka mate? "mtoto akamjibu,"jana...
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Bongo Nyoso: Lori la mradi wa SGR lamakatwa likitafutiwa mteja ili liizwe

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekamata gari aina ya HOWO tani 12 lenye thamani ya Sh180 milioni likiwa katika harakati za kutafutiwa mteja ili liuzwe mkoani Tabora. Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Blasius Chatanda aliyoitoa kwa waandishi wa habari leo Februari 6, 2023, inaeleza...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya ajali ya Tanga vifo 17 naiona Aljazeera, TV za bongo zinaonesha miziki tu

    Nimeikuta ALJAZEERA wanaionyesha muda wote kwenye kimstari kinachopita chini, scrolling ticker. Yani wameipa umuhimu. nikaenda kutafuta details kwenye TV za bongo, zote zinaonyesha vipindi vya miziki... Ndio aina ya media ambayo inaruhusiwa. Serikali kwa makusudi inalea taifa la watu wasio...
  16. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Lissu ukirudi Tanzania zingatia hili, kumkashifu Baba wa Taifa ni off limits

    Tundu Lissu karibu Bongo. Nchi hii imeundwa, na walioiunda wengi wametangulia mbele za haki. Lakini sera, misimamo na misingi yao ya haki na maendeleo kiuchumi, kijamii kwa ujumla mustakabali kitaifa iko pale pale. Misingi ya umoja wa kitaifa ndio umeijenga nchi inayoitwa Tanzania. Kinara wa...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kibongobongo haya ni Mafanikio Makubwa kwako Kijana ukiwa nayo. Furahia Maisha

    KIBONGOBONGO HAYA NI MAFANIKIO MAKUBWA KWAKO KIJANA UKIWA NAYO. Anaandika, Robert Heriel Siandiki kukusifia, au kukufanya uridhike. Najaribu kukueleza kuwa lazima ukubali kuwa umepambana na ufurahie matunda ya Kazi ya mikono yako. Usiposhukuru Kwa hayo uliyonayo hutokuja kushukuru Kwa Yale...
  18. kali linux

    JamiiForums Tanzania Dizasta Vina ndo "Rap god" wa bongo kwa sasa

    Hello bosses... Nlidhan sitokuja kusikiliza tena rap kutoka bongo, kwa wale tunaopenda rap kutoka kwa veterans iwe wa humu tz au nnje basi natumaini mtanielewa. Dizasta ni complete package ya msanii, hata videos zake ni simple ila zinatell story kama miaka ile ya kina professor Jay, Juma...
  19. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Tukiachana na wachezaji Kapombe na Mwenda kupigana na kupangua vipapai, ni wachezaji gani wengine waliowahi kuhusika katika mazingira haya ?

    Ni uzi maalum kwa kumbukumbu Kwa vile sayansi haithibitishi kila kitu ikiwemo uchawi inakuwa ngumu kupata ushahidi ila wataalam wa mambo wanakwambia kwamba haya mambo ya kupigana vipapai yapo katika soka la bongo. Hadi sasa tumeweza shuhudia wachezaji hawa wawili Mwenda na Kapombe wakihusishwa...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Marehemu Kanumba uliondoka na Bongo Movie yako japo ndiyo ulianza kuichangamsha

    Leo nimekukumbuka baada kuona wasanii wa bongo hawana tofauti wanachama wa CCM baada ya maigizo yao au kazi zao. Japo ndio ulikuwa mwanzo mgumu ila ulitendea haki tukupe shukrani. Huku umetuachia wajinga wengi mpaka wengine wamekuwa wanyekiti wa misiba na mbwembwe.wapo wachache wenye kutimiza...
Back
Top Bottom