bima

  1. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Peter Msigwa akosa watu wa kumfanyia kampeni na kumnadi amuomba binti yake wa Kwanza amnadi kwenye mkutano wa Kampeni Iringa

    Peter Msigwa akosa watu wa kumfanyia kampeni na kumnadi amuomba binti yake wa Kwanza amnadi kwenye mkutano wa Kampeni Iringa aliouandaa Hapa akimwita binti yake kuwa njoo uninadi kwa wapiga kura
  2. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Aache upotoshaji: Universal Health Care haimaanishi Bima ya Afya. 'Universal Health Care Coverage' kwa Tanzania tuko 100% tangia enzi za Mwl. Nyerere

    Huyu mgombea kila kukicha anawapotosha wananchi kwa kuwaeleza mambo ambayo si sahihi. Anaongea mambo ambayo hayajui na hana utalaamu nayo. Hana wataalamu wa kumshauri ukweli wa kile anachokusudia kuwaeleza wananchi. Moja ya upotoshaji anasema ni kuwa akichaguliwa atawaletea watanzania wote...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapaa kuelekea Bima ya Afya kwa wote chini ya Magufuli

    Serikali ya CCM imepiga hatua kubwa sana katika kuelekea lengo la Bima ya Afya kwa wote. Japo suala hili limeibuka kwa kasi katika kipindi cha kampeni mwaka huu natumaini Watanzania wenzangu mtakubaliana nami kwamba Serikali imekwisha piga hatua kubwa sana kuelekea katika bima ya Afya kwa wote...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya CHADEMA kuhusu Bima ya Afya ina ulaghai

    Katika uzi niliowasilisha awali nilizungumzia kuhusu athari ya ilani ya CHADEMA kwa ndoa na ajira; katika uzi wangu wa pili nilizungumzia kasoro za kiuchumi katika ilani za CHADEMA na ACT-Wazalendo. Katika uzi wangu huu wa tatu, nitazungumzia ulaghai kuhusu utekelezaji wa sera ya bima ya afya...
  5. Dam55

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kumbe sera ya Bima ya afya kwa watanzania wote Tundu Lissu ka copy kutoka Ilani ya CCM!

    Rais Magufuli leo akiwa mkoani Mara amezungumzia kuhusu sera ya kutoa Bima ya afya kwa watanzania wote. Ahadi hiyo ameitoa leo kwenye kampeni zake huko musoma mjini. Kuthibitisha kuwa sera hiyo ni yake amesoma Ilani ya ccm ya uchaguzi 2020 katika ukurasa wa 139 kipengele "e". Amesema ahadi hii...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania NHIF yakanusha kuondoa dawa 138 kwenye Orodha ya Dawa wanazolipia wateja wake

    Kanusho: Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (National Health Insurance Fund-NHIF) umekanusha habari zinazosambaa kwamba Wameondoa dawa 138 kwenye Orodha ya Dawa wanazolipia wateja wake.
  7. Victoire

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Lissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi. - Bima ya afya kwa Watanzania wote. - Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka. - Hakuna tena kukatwa asilimia 15 kisa mkopo. Tutakatwa asilimia tatu tu. - Elimu ya maarifa, kubadili...
  8. G Sam

    JamiiForums Tanzania NHIF yaja na makali zaidi kwa Watanzania, yaondoa dawa lukuki kwenye orodha ya dawa zinazonufaika na malipo ya bima

    NHIF imekanusha taarifa hizi: NHIF yakanusha kuondoa dawa 138 kwenye Orodha ya Dawa wanazolipia wateja wake Makali zaidi, kasi zaidi. Sasa makato yetu yana faida gani? Huu ni unyonyaji wa aina yake.
  9. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais wa CHADEMA, Lissu kaahidi Bima ya Afya kwa wote

    Kampeni za uchaguzi zishaanza. Wagombea wanakatiza nyika sehemu mbalimbali za nchi kuzinadi sera zao. Wanatoa kila aina ya ahadi. ‘Mimi nitafanya hivi, nitafanya vile, nitafanya haya, nitafanya yale’. Sasa mimi ni mmoja wa watu ambao huwa sitegemei mwanasiasa au mtu mwingine kuniboreshea...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya ya Taifa (NIHF) ni wauaji wakubwa wa jamii ya Tanzania

    1. Dawa muhimu kwa wazee wameziondoa eti ni bei ghali 2. Wazee wanalipa hela kubwa wakati wakijua fika kuw wazee wamestaafu, hawana nguvu za kufanya kazi etc. Mfano mdogo ni huu: Fastum gel ya maumivu ya mgongo kwa wazee, a very effect dawa kwa sababu with aging maumivu ya mgongo inakuwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Bima gani ni nzuri kwa bajaj

    Nataka ninunue bajaj kwa ajili ya biashara je bima gani ni nzuri. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  12. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania Mfuko wa bima ni shida

    NHIF mfuko wa Bima, umekuwa kero kubwa kwenye kuzilipa hospitali ili ziweze kujiendesha zenyewe, kutokana na hali mfuko huu una miezi karibu 7 haujazilipa hizi hospitali. Imekuwa mzigo kwa hospital kujiendesha, watu wanachangia lakini mfuko umekuwa na hali tete hasa kulipa hizi hospital...
  13. I

    JamiiForums Tanzania NHIF Kinondoni mnakera, Kadi za Bima hazitoki kwa wakati

    May mwaka huu kadi yangu ya NHIF ilisitishwa kwa kuwa nimezidi miaka 18, hivyo mwezi uliofuata nikaamua kujinyima na kulipia bima kutoka kwenye kipato changu. Baada ya malipo nikaambiwa nisubiri mwezi mmoja ndipo nichukue kadi yangu. Cha ajabu ni mara ya 3 sasa tokea mwezi uishe kila nikienda...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mambo ya Bima

    Wadau habari blue Monday. Naenda kwenye hoja. Nilikuwa na IST ya 11,500,000. Nilipigwa na Ice tarehe 10/10/2019. bima nilikata ya tarehe 08/07/2020-07/07/2020. Claim amount imesoma 15,800,000 na payable ni 9,000,000. Katika michakato hii, je, hii gari nimali ya bima au inabakai kuwa yangu?
  15. Mindi

    JamiiForums Tanzania Sekula mpya ya uchangiaji huduma za Bima ya Afya ni Mwiba kwa wafanyakazi

    Bila shaka kama mkakati wa kuongeza mapato ya serikali, bila kujali athari kwa wafanyakazi, hasa wastaafu, serikali ya Rais Magufuli imekuja na "uboreshaji" wauchangiaji huduma za Afya kwa njia ya Bima. Wafanyakazi wa serikali na mashirika yake, kwa mujibu wa sheria, hukatwa michango ya...
  16. Kilangi masanja

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Bima ya Afya

    Hello habari, Naomba kufahimishwa kuhusu hili. Iko hivi, nilimtengenezea Bima ya Afya mke wangu mwaka juzi. Kwa bahati mbaya maradhi yakamwondoa. Changamoto nilioipata ni kushindwa kuipata kadi ya bima ya afya baada ya umauti wake. Sasa ninajipanga kuoa tena soon nilikua nataka nitoe...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Mollel aziponda hospitali za Serikali kwa kushindwa hata kujaza fomu za Bima, azifagilia Hospital binafsi kuwa ziko makini

    Naibu waziri wa afya Dr Mollel ameliambia bunge kuwa kwa muda mfupi aliokaa wizsrani amegundua madudu kadhaa katika hospitali binafsi na MSD. Dkt. Mollel amesema MSD kulifanyika ufisadi wa kutisha na tayari Rais Magufuli alishamtumbua mkuu mkuu wa MSD na kuingiza damu mpya na faili la...
  18. Chiwaso

    JamiiForums Tanzania Barua ya kutoa taarifa ya ajali kwa kampuni za Bima

    Kama inavyoelezea hapo juu, Uwe na ama Comprehensive au Third part Insuarance, ama umegonga au umegongwa, kutoa taarifa kwa haraka Kwa Kampuni ya Bima ni jambo la msingi sana. Mfano wa Barua hiyo, ni kama hii niliyokuambatanishia. Unaweza kufuatilia jambo lako wewe mwenyewe, au ukatumia...
  19. Ngwanakilala

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini hakuna bima (Insurance) za kijamii kama Vikoba au Benki?

    Habari za mchana waungwana, Nimekua najiuliza hili swali labda kuna wataalamu watusaidie. Ni kwanini hakuna vijiji au marafiki au vikundi au taasisi zinazo anzisha bima ya kuwakinga wanachama wake na majanga - community based? zikasajiliwa na kufuata taratibu zote za TIRA Tumeona kuna taasisi...
  20. technically

    JamiiForums Tanzania Sera za Bima zina tija Tanzania?

    Watu walikuwa wamekopa bank halafu biashara zao zimeanguka je wanaweza kulipiwa mikopo yao na bima? Watu walikuwa na ajira na wakapoteza ajira kisa corona je kuna makampuni ya bima yana bima ya ajira Tanzania? Je, bima zetu zinaendana na uhalisia tunaopitia kwenye nchi zinazoendelea au ni...
Back
Top Bottom