Bima ya Afya ya Taifa (NIHF) ni wauaji wakubwa wa jamii ya Tanzania

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,386
73,983
1. Dawa muhimu kwa wazee wameziondoa eti ni bei ghali

2. Wazee wanalipa hela kubwa wakati wakijua fika kuw wazee wamestaafu, hawana nguvu za kufanya kazi etc.

Mfano mdogo ni huu:
Fastum gel ya maumivu ya mgongo kwa wazee, a very effect dawa kwa sababu with aging maumivu ya mgongo inakuwa tatizo kwa wazee, wameitoa na kuweka diclofenac gel ambayo ni rubbish! Fastum ni 12,000 Tsh per tube while diclofenac ni 2,000Tsh, quite rubbish!

Wauaji wakubwa! Mtakuja kulipa madhambi haya, Mungu anawaona
 
Pesa ya hiyo mifuko inachukuliwa na serikali ya CCM wanafanyia kampeni wanawalipa wale wasanii, halafu kuna machizi huku wanachekelea eti apewe mingine mitano.
 
Yan wale wazee ambao ndio wakati wao wa kuhitaji dawa eti ndio waseme hizo dawa ni ghali hawawapi. KWELI NHIF ni zaidi ya wauaji.

Mfano mdogo ni huu:

Fastum gel ya maumivu ya mgongo kwa wazee, a very effect dawa kwa sababu with aging maumivu ya mgongo inakuwa tatizo kwa wazee, wameitoa na kuweka diclofenac gel ambayo ni rubbish! Fastum ni 12,000 per tube while diclofenac ni 2,000 quite rubbish!
 
Yan wale wazee ambao ndio wakati wao wa kuhitaji dawa eti ndio waseme hizo dawa ni ghali hawawapi. KWELI NHIF ni zaidi ya wauaji.
NHIF ni wezi wakubwa. Na wanabebwa na Serikali yenyewe. Just imagine... Member una wategemezi 6 unalipia kila mwezi wakiwemo watoto wako wa kuwazaa 4. Ikitokea mtoto akifikisha miaka 18, NHIF wanamuondoa kwenye hiyo Bima ya Afya ilhali bado ni tegemezi.

Mbaya zaidi usipoumwa mwaka mzima pamoja na wategemezi wako wote hao NHIF wanakaa kimyaaa! Ukiumwa sasa, wanasema ongeza zaidi malipo (top up) kwa madai ya gharama za matibabu imezidi.

Swali la kujiuliza nini maana na umuhimu wa kuwa na Bima ya Afya?
 
NHIF ni wezi wakubwa. Na wanabebwa na Serikali yenyewe. Just imagine... Member una wategemezi 6 unalipia kila mwezi wakiwemo watoto wako wa kuwazaa 4. Kila mtoto akifikisha miaka 18 wanamuondoa ilhali bado ni tegemezi. Mbaya zaidi usipoumwa mwaka mzima pamoja na wategemezi wote wanakaa kimya. Ukiumwa sasa, wanasema ongeza zaidi malipo (top up) kwa madai ya gharama za matibabu imezidi.

Swali la kujiuliza nini maana na umuhimu wa kuwa na Bima ya Afya?
Babu usiangalie uliotangulia,angalia ulipojikwaa.
Fedha za mfuko wa bima afya ndizo zinazochukuliwa na serikali yetu pendwa na kujengea mabarabara,maji,umeme nk.

Kwa vile ninyi wazee hamna siku nyingi za kuishi basi muwe wapole,na mchague chama chetu cha mapinduzi ili mpate maendeleo,kwa sababu maendeleo hayana umri

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu Zangu Mjifunze Kuchagua.

Kosea Kuoa Lakini Siyo Kuchagua.

Ukikosea Kuoa/Kuolewa Mnaachana ,Lakini Ukikosea Kuchagua Ni Mpaka Baada Ya Miaka Mitano

Hili Jipu Halijatumbuliwa!!!
 
Kaka isifutwe. Irekebishwe tu kwani ni muhimu sana!
usihofu , kabla ya NHIF nchi hii bado watu walitibiwa na kupona , kwanza sasa hivi kwa upande wa dawa wamebakisha panadol na diclofenac tu , ukiongezea na pamba na plaster
 
Nakumbuka nikiwa mdogo ndio bima ilianzishwa hii ya NHIF basi tukakatiwa hyo bima ilikuwa msaada Sana hasa tuliokuwa tuna umwa umwa,na ilikuwa vizuri kihuduma na ili cover hata wengine ndugu kiurahisi.

Nimekua nikiitumia Ila Sasa nashangaa hii bima imekuja na Mambo ya ajabu Mara 18 usitumie wakati Mimi nimetumia hyo bima had nimemaliza bachelor Sasa 18 kibongo bongo bado Ni mwanafunzi wa advance na tegemezi kumtoa sio fair kabisa.

Pia wazee kutoa hizo dawa zao Ni uhuaji mtupu, na hii bima NHIF Ina cover dawa low quality, tofauti na bima ka jubilee ukiwa na jubilee dawa unapewa quality zaidi kuliko NHIF.
 
Na hii tabia ya kusema mtoto akifikisha miaka 18 wanamfyeka halafu hela wanaendelea kukata ile ile ni unyonyaji kabisa...sasa mtu ana miaka 50 au 60 huko mnataka aweke mtoto mchanga amtoe wapi?
 
mnalalamika nini, tutakwisha,mnachagua viongozi vilaza wa ccm wanachojali ni kutetea ccm na MWENYEKITI wake,wapiga kura wao wanawaona kama misukule.

CCM ni chama kinacholeta matatizo katika jamii,chama hichi kinapaswa kuondolewa madarakani,Serikali ya ccm imekuwa ikichota fedha za bima kama mchanga na kufanyia mambo mengine.Ameahidi kuongeza ndege 5 nyingine.wakati wazee wanakufa kwa kukosa dawa.

CCM ni ileile.....ileile
 
Back
Top Bottom