Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Mollel aziponda hospitali za Serikali kwa kushindwa hata kujaza fomu za Bima, azifagilia Hospital binafsi kuwa ziko makini

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
31,196
2,000
Naibu waziri wa afya Dr Mollel ameliambia bunge kuwa kwa muda mfupi aliokaa wizsrani amegundua madudu kadhaa katika hospitali binafsi na MSD.

Dkt. Mollel amesema MSD kulifanyika ufisadi wa kutisha na tayari Rais Magufuli alishamtumbua mkuu mkuu wa MSD na kuingiza damu mpya na faili la wabadhirifu liko Takukuru.

Kuhusu goverment hospitals Dr Mollel amesema madaktari wake wanawaandikia dawa za kichocho wagonjwa wa malaria na hivyo kuzusha sintofahamu kwenye taasisi za Bima.

Kwa sababu wanalipwa mishahara na serikali watendaji wa hospitali zetu wanavurunda tu hata kujaza fomu za Bima ya afya hawawezi ndio maana fedha nyingi za Bima zinaenda hospitali binafsi kwa sababu madaktari na watumishi wao ni watu makini na waliojipanga ambao wanajua mishahara yao inatoka kwenye Bima, amesisitiza Dr Mollel.

Chanzo: Star tv

Maendeleo hayana vyama!

chagu wa malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
4,054
2,000
Naibu waziri wa afya Dr Mollel ameliambia bunge kuwa kwa muda mfupi aliokaa wizsrani amegundua madudu kadhaa katika hospitali binafsi na MSD.

Dr Mollel amesema MSD kulifanyika ufisadi wa kutisha na tayari Rais Magufuli alishamtumbua mkuu mkuu wa MSD na kuingiza damu mpya na faili la wabadhirifu liko Takukuru.

Kuhusu goverment hospitals Dr Mollel amesema madaktari wake wanawaandikia dawa za kichocho wagonjwa wa malaria na hivyo kuzusha sintofahamu kwenye taasisi za Bima. Kwa sababu wanalipwa mishahara na serikali watendaji wa hospitali zetu wanavurunda tu hata kujaza fomu za Bima ya afya hawawezi ndio maana fedha nyingi za Bima zinaenda hospitali binafsi kwa sababu madaktari na watumishi wao ni watu makini na waliojipanga ambao wanajua mishahara yao inatoka kwenye Bima, amesisitiza Dr Mollel.

Source Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Huyu jamaa atakuwa makini. Ndio maana hata waliopiga Tundu Lissu aliwafichua. Litakuwa jembe. Sasa Faustine Muda wote alikuwa hajui hata wagonjwa wa malaria wanaandikiwa dawa za kichocho?
 
Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
3,228
2,000
Naibu waziri wa afya Dr Mollel ameliambia bunge kuwa kwa muda mfupi aliokaa wizsrani amegundua madudu kadhaa katika hospitali binafsi na MSD.

Dkt. Mollel amesema MSD kulifanyika ufisadi wa kutisha na tayari Rais Magufuli alishamtumbua mkuu mkuu wa MSD na kuingiza damu mpya na faili la wabadhirifu liko Takukuru.

Kuhusu goverment hospitals Dr Mollel amesema madaktari wake wanawaandikia dawa za kichocho wagonjwa wa malaria na hivyo kuzusha sintofahamu kwenye taasisi za Bima.

Kwa sababu wanalipwa mishahara na serikali watendaji wa hospitali zetu wanavurunda tu hata kujaza fomu za Bima ya afya hawawezi ndio maana fedha nyingi za Bima zinaenda hospitali binafsi kwa sababu madaktari na watumishi wao ni watu makini na waliojipanga ambao wanajua mishahara yao inatoka kwenye Bima, amesisitiza Dr Mollel.

Chanzo: Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Twende na Dr G Mollel katika kuibua ufisadi wa Bwanakunu. Ila awe makini TAKUKURU wamekula sana RUSHWA na huyu aliyekuwa CEO wa MSD kwa kuwa UFISADI ni wa muda mrefu. Kila wakipewa taarifa alikuwa na watu wake wanamtonya anawapa hela.
 
Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
14,107
2,000
Mbona analalamika badala ya kuleta ushahidi wa anachosema na kuiambia nchi kwamba yy amewafanya nini wahusika.....
Nachukulia hayo ni maneno ya mtu mhuni tu........
Kazi ya waziri sio kutuambia malalamiko yake bali kutuambia ametenda nn
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
32,277
2,000
Kilichomfanya akimbie Manyara Regional Referral Hospital nini kama siyo hicho anachowaponda wenzake?
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
32,277
2,000
Mbona analalamika badala ya kuleta ushahidi wa anachosema na kuiambia nchi kwamba yy amewafanya nini wahusika.....
Nachukulia hayo ni maneno ya mtu mhuni tu........
Kazi ya waziri sio kutuambia malalamiko yake bali kutuambia ametenda nn
Yeye mwenyewe kipindi yupo Manyara alikuwa anashinda TAKUKURU yeye, Katibu wa Afya(Marehemu now) na Mfamasia
 
DURACEF

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
635
1,000
Mbona analalamika badala ya kuleta ushahidi wa anachosema na kuiambia nchi kwamba yy amewafanya nini wahusika.....
Nachukulia hayo ni maneno ya mtu mhuni tu........
Kazi ya waziri sio kutuambia malalamiko yake bali kutuambia ametenda nn
Kabisa...approach anayotumia ni ileile ambayo inakwamisha mambo....hana jipya aweke ushahidi wa madai yake na pia aseme amechukuwa hatua gani sio porojo tu.
Anaongea mambo juu juu tu.
 
Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
14,107
2,000
Kabisa...approach anayotumia ni ileile ambayo inakwamisha mambo....hana jipya aweke ushahidi wa madai yake na pia aseme amechukuwa hatua gani sio porojo tu.
Anaongea mambo juu juu tu.
Sure👍👍💯
 
Bana likasi

JF-Expert Member
Jan 7, 2020
6,058
2,000
Naibu waziri wa afya Dr Mollel ameliambia bunge kuwa kwa muda mfupi aliokaa wizsrani amegundua madudu kadhaa katika hospitali binafsi na MSD.

Dkt. Mollel amesema MSD kulifanyika ufisadi wa kutisha na tayari Rais Magufuli alishamtumbua mkuu mkuu wa MSD na kuingiza damu mpya na faili la wabadhirifu liko Takukuru.

Kuhusu goverment hospitals Dr Mollel amesema madaktari wake wanawaandikia dawa za kichocho wagonjwa wa malaria na hivyo kuzusha sintofahamu kwenye taasisi za Bima.

Kwa sababu wanalipwa mishahara na serikali watendaji wa hospitali zetu wanavurunda tu hata kujaza fomu za Bima ya afya hawawezi ndio maana fedha nyingi za Bima zinaenda hospitali binafsi kwa sababu madaktari na watumishi wao ni watu makini na waliojipanga ambao wanajua mishahara yao inatoka kwenye Bima, amesisitiza Dr Mollel.

Chanzo: Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Soon atatumbuliwa inakuaje anakosoa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom