bima

  1. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa Pamba Simiyu kupata huduma ya Bima ya Mazao msimu wa 2019/2020

    Shirika la Bima la Taifa (NIC)linatarajia kuanza kutoa huduma za bima ya mazao kwa wakulima wa pamba katika Wilaya ya Meatu na Maswa Mkoani Simiyu, ambapo wakulima watakuwa na uwezo wa kukata bima katika zao la pamba itakayomkinga dhidi ya majanga ukame,mvua zilizozidi kiasi , mafuriko, moto...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Tambua aina za bima na faida zake

    Bima ni mkataba wa kulipa fedha katika shirika la fedha ili kupata fidia wakati mlipaji anapofikwa na ajali au hasara fulani au kurejeshewa fedha zake pamoja na faida baada ya muda maalumu. Bima ya gari hutosheleza gharama ya gari lako kama likiharibika au likiibiwa. Bima ya nyumba (bima ya...
  3. Informer

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya Tanzania: Kampuni bora na zenye changamoto katika kuhudumia wateja wake

    Wakuu, Zipo kampuni nyingi zinazotoa huduma za Bima ya Afya nchini lakini zote zina mazuri na kasoro zake. Mjadala huu unalenga kuzichambua kampuni hizo na kuangalia packages walizo nazo, benefits na changamoto za bima/kampuni husika. Nawakaribisha kwa mjadala ili tuwasaidie wale wanaotafuta...
  4. BASIASI

    JamiiForums Tanzania TRA tokeni maofisini kakagueni magari, mengi Mjini hayajalipiwa na mengine yana sticker za bima fake

    Wakati muafaka kuendelea kumsaidia Mh. Rais atimize yale aliyopàngiwa na Mungu. Ndugu zangu TRA tokeni maofisini nenden mitaan mkakague magari mengi yako mtaani yamekwepa kulipa kodi tena wakishirikiana na baadhi ya wafanyakazi wenu wasio waaminifu. Tuamke sasa kumsaidia Rais. La pili, kuna...
  5. Fya-fyafya

    JamiiForums Tanzania Afya: NHIF kuondoa dawa nyingi kwenye Bima ya Afya, dawa muhimu kwa jamii ya Kitanzania, kulikoni?

    Hsgskw Bajaj hahaha
  6. PAN OCEANIC INSURANCE

    JamiiForums Tanzania PAN OCEANIC INSURANCE BROKERS IS LOOKING FOR AGENTS ALL OVER #TANZANIA

    OPPORTUNITIES PAN OCEANIC INSURANCE BROKERS IS LOOKING FOR AGENTS ALL OVER #TANZANIA We are an established business with a rich 18-year history, focus on modernizing insurance sales and customer service by providing our team with the best and most up to date technologies Be your own boss and...
Back
Top Bottom