NHIF yakanusha kuondoa dawa 138 kwenye Orodha ya Dawa wanazolipia wateja wake

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,796
11,959
Kanusho:

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (National Health Insurance Fund-NHIF) umekanusha habari zinazosambaa kwamba Wameondoa dawa 138 kwenye Orodha ya Dawa wanazolipia wateja wake.

20DA155D-46CC-4453-A606-613D78B4D219.jpeg
 
Kuna aina tofauti za Bima NHIF ushawahi ona wabunge wanakosa dawa, au hawapokelewi baadhi ya hospitals? Je, wafanyakazi wa BoT? Ila wote hao wametumia NHIF. Hili libima ni basi tu limelazimishwa but is the worst ever!! Optical wana cover Tsh. 20,000/- dawa labda panadol etc forget about supplimentaries!
 
NHIF ni waongo supplementary medicine wameziondoa zote,nenda hospitali uone kama utapewa,hawatoi wanasema bima hawalipi

Sio hizo dawa tu, Tundu Lissu kawasuta Kuwa hiyo bima yao ni danganya toto kwani inawabagua wale ambao wanahitaji msaada wa bima zaidi hasa wazee!!! Yaani ukiwa na miaka zaidi ya 60 hawakubali/ bima yao inakuwa ya gharama kubwa Sana!!! Hili wanalizungumzaje hawa wateule wa JIWE?
 
Wáache usanii Mimi Nina green card lakini hospital nzuri za private zinatukataa.
 
Hawa NHIF kwanini wanaudanganya umma wa Watanzania?

Watakuwa wameambiwa watoe tamko la kukanusha haraka hali ya "mgombea" wetu isizidi kuwa mbaya kule field.
 
NHIF malalamiko hata hayajaanza leo, siku zote ilikuwa wapi kukanusha? Au mnaogopa kuambiwa mnataka wananchi waichukie CCM? Ukweli uko mahospitalini.
 
NHIF malalamiko hata hayajaanza leo, siku zote ilikuwa wapi kukanusha? Au mnaogopa kuambiwa mnataka wananchi waichukie CCM? Ukweli uko mahospitalini.
Hapo bado ufafanuzi wao ,unahitaji maelezo zaidi, ya he no mabadiliko gani yaliyotokea kwenye huduma zao hivi karibuni?
 
Sio hizo dawa tu, Tundu Lissu kawasuta Kuwa hiyo bima yao ni danganya toto kwani inawabagua wale ambao wanahitaji msaada wa bima zaidi hasa wazee! Yaani ukiwa na miaka zaidi ya 60 hawakubali/ bima yao inakuwa ya gharama kubwa Sana!!! Hili wanalizungumzaje hawa wateule wa JIWE?
Bima ina hesabu zake... Sio charity. Tunaweka kwenye chungu kimoja resources zitusaidie.. yule ambaye yupo kwenye risk kubwa ya kuugua na matibabu yake Ni makubwa mchango wake lazima uwe significantly higher maana insurer anachukua risk kubwa..
 
Hapa Ni kama tulivyombiwa kwa mama mjamzito bure kujifungua ila nenda amana palestina uone gharama zake
 
Back
Top Bottom