bima

  1. funaku

    JamiiForums Tanzania Mojawapo ya Agenda muhimu kwa Bunge kujadili ni bima ya Afya kwa wote

    Iwapo bunge letu litajikita kwenye kujadili hoja basi tunayo hoja ya msingi sana ya kuijadili.Hoja hiyo inahusu bima ya afya kwa watanzania wote yaani universal health insuarance coverage. Tanzania lazima ijikomboe na kujitegemea katika sekta ya afya. mfumo bora wa afya unategemea matofali ya...
  2. Kategele

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu Bima ya mtoto wa mtumishi kutibiwa Taasisi Moyo Jakaya

    Habari wana JF Baada ya kupata rufaa ya JAKAYA kutoka Bugando nilifika Jakaya na kuendelea na vipimo pamoja na matibabu. Vipimo vimeonesha anatakiwa kufanyiwa operation na Bima inacover gharama zote, changamoto umeonekana kuwa tatizo limechelewa kugundulika hivyo kwa operation hii ingefanywa...
  3. Kategele

    JamiiForums Tanzania Bima ya mtoto wa mtumishi wa umma itasaidia matibu ya Moyo Taasisi ya Jakaya Kikwete?

    Habari wana JF, na poleni kwa msiba pia. Mwanangu mwenye miezi 10 kaonekana ana shida ya moyo na madakitari wa BUGANDO wamesema suala lake lipo serious inabidi kupewa rufaa ya Taasisi ya Moyo ya JAKAYA. Hivi Bima ya mtoto itasaidia gharama zote za matibabu na Operation?
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wanawake Shinyanga walalamikia watoto wasio na bima kukosa matibabu

    BAADHI ya wanawake wenye watoto chini ya miaka mitano wilayani Shinyanga, Mkoani Shinyanga, wasio na bima ya afya ya CHF, wamelalamika kunyimwa matibabu ya watoto wao kwa kukosa kadi hizo. Wamepaza kilio hicho kwa nyakati tofauti kwenye sherehe wanawake wilayani Shinyanga iliyokuwa na lengo la...
  5. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania MAPENDEKEZO: Bima ya nyumba iwe lazima kama ilivyo bima ya gari/vyombo vya moto

    Ukweli ni kwamba majanga ya moto kwenye makazi ya watu ni janga ambalo linagharimu sana maisha ya watu hapa nchini kwetu. Ajali za moto zimekuwa zikitokea na kugharimu maisha si tu ya wanafamilia lakini pia kusababisha uharibifu wa mali ya mhusika aliepata ajali na majirani zake. Mwisho wa siku...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Muswada wa sheria ya Bima ya Afya kwa wote kufikishwa bungeni hivi karibuni!

    Waziri wa afya mh Gwajima amesema muswada wa Bima ya afya kwa wote utawasilishwa bungeni hivi karibuni. Waziri Gwajima amesema baada ya sheria ya Bima ya afya kupitishwa basi wananchi wote wataingizwa katika utaratibu huo na hivyo kuwapa uhakika wa tiba. Source TBC Maendeleo hayana vyama...
  7. SEASON 5

    JamiiForums Tanzania Msidharau BIMA za watoto wapendwa, ni muhimu sana kwa watoto zetu

    Sijui niseme nini kwa wale wazazi mlio na watoto wa chini ya 18yrs na hamjawakatia BIMA bei ya bima ya mtoto ni 50,400 tu kwa mwaka mzima,mtoto anatibiwa kwa BIMA ugonjwa wowote utakaokatiza mbele yake. Kwann nasema hivi, nina mwanangu wa kiume umri wake wa kwenda mfanyia...
  8. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Bima ya gari imekuwa anasa!

    Kwa Mambo yanavyokwenda imefikia hatua hata bima ikiisha, kukata nyingine msala (hapa nazungumzia 'Third party'). Maisha haya aisee itafika wakati hata haya magari tutauza tu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Bima ya NSSF haihudumii mimba ya miezi sita kushuka chini?

    BIMA YA NSSF HAIHUDUMII MIMBA YA MIEZI SITA KUSHUKA CHINI. Habari zenu ndugu zangu! Kuna ukweli au milolongo tu ya hpa na pale, nilimpeleka mke wangu hospital ya DAR GROUP pale tazara kwa matibabu ya tumbo yaliyodumu kwa siku mbili akiwa kwenye hali ya ujauzito, lakini cha kushangaza...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Shirika la Taifa la Bima ya maisha (NIC) lipeni fedha za wateja wenu

    Shirika hili linakiuka kwa kiasi kikubwa mikataba na makubaliano walioafikiana na wateja wao hasa ihusuyo malipo ya fedha za bima zilizoiva. Jambo hili si zuri na halikubalikiki hata kidogo maana linatengeneza taswira ya ulaghai kwa wateja wenu ukizingatia hili ni shirika la umma. Mamlaka...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Bima Mkononi kupitia Tigo Pesa, ni ushindi mawazo tunayotoa humu yanawezekana na pia yanatekelezeka Serikali ikidhamiria

    Tarehe 9/10/2020 kupitia Jukwaa la Siasa hapa JamiiForums, nilitoa pendekezo /ushauri kwa serikali juu ya namna gani wanaweza kutumia simu za mkononi kuanzisha Bima ya Afya na hata kugharamia elimu ya juu. Serikali kupitia simu za mkononi, inaweza kukusanya fedha na kuanzisha Mfuko(Fund) wa...
  12. Mwita Mtu Mrefu

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Suzuki ariel namba C kwa 4.1 mil full document bima mwaka mzima

    SUZUKI ARIEL Year made: 2004 Engine power: 1490 cc, Petrol engine Seats: 5 Doors: 4 Bima ipo mpaka Nov 2021 Card ya Gari ipo Location Dar es salaam, Tegeta Bei 4.1 milion Punguzo kidogo kwa mteja serious Piga simu 0744 033 555
  13. Queen Esther

    JamiiForums Tanzania Bima ya afya kwa wote imetajwa kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025

    Kwa unyenyekevu mkubwa naomba kuweka taarifa ikionesha Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 hadi 2020 imeweka bayana kipengele cha Bima ya Afya kwa wote. Ilani hiyo chini ya Jemedari wetu mbeba maono Dr. John Pombe Magufuli inasomeka kama ifuatavyo:- 1. HUDUMA ZA JAMII Zimeanzia kutajwa kwenye...
  14. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya ni bora ungeanza na mchakato wa Bima ya Afya kwa kila Mtanzania kuliko kutoa agizo kama hili

    Wana JF poleni na pilika pilika za sikukuu. Kama kichwa cha uzi kinavyojitanabaisha niseme kuwa agizo la waziri wa afya sio zuri kwa mustakabari wa watanzania. Watanzania wengi tunaishi maisha ya kubahatisha,wengi tunatafuta chakula. Habari ya matibabu huwa ni dharula ndio maana tukiugua au...
  15. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Shirika la Bima la Taifa (NIC) kuna tatizo gani? Mbona hamlipi fedha za watu kwa wakati?

    Mimi ni mfanyakazi wa taasisi X ya umma hapa Shinyanga... Nilichukua bima ya elimu (Education Provider With Profit) kwa ajili ya ada ya watoto wangu hapa tawi la NIC - Shinyanga yenye thamani ya Tshs 7,500,000 kwa makato ya Tshs. 62,500 kila mwezi kwa miaka kumi (10) tangu mwaka 2010... Bima...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Tugutuke: Waosha magari (Carwash) hawana dhamana; Janga likikupata usishangae sana Trafiki na bima wakiamua kukugeuzia kibano wewe mmiliki

    Iko hivi... Wenye magari wengi tunapopeleka magari hayo kwa waosha magari (Carwash)! Haina maana sheria za usalama barabarani zinakoma ukiwa eneo la Carwash! Sheria inampa mamlaka traffic kuingia hata Carwash kukamata magari yanayosogezwa na waosha magari wasio na leseni ya udereva! Tufahamu...
  17. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani za Uchaguzi: CCM na CHADEMA zinakubaliana kwenye Bima kwa Wote, Maslahi ya Wafanyakazi na Bei nzuri za mazao!

    Tofauti na mwaka 2015 kampeni za mwaka huu zimeongeza mambo muhimu kwenye ilani za vyama. Ikumbukwe kuwa ilani ya CCM kwenye kitabu chenye kurasa zaidi ya 350 ndio iliyosheheni mambo makubwa na baadhi ya vyama vya upinzani vimedesa huko. Cha msingi ni kwamba Dr Magufuli na Tundu Lisu wote...
  18. hp4510

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata uzoefu toka kwa yoyote anayetumia IGT Insurance

    Habari za leo wakuu, Napenda kupata uzoefu wa mtu yoyote ambae amewahi kutumia bima tajwa hapo juu Mimi natumia hiyo bima na nilipata ajari mwezi wa 12 - 2019 na mambo yote ya kesi yakaisha mwaka huu January. But mpaka leo October hiyo bima haijalipa kitu chochote. Waliagiza fundi wao akaja...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia simu za mkononi, inaweza kukusanya fedha na kuanzisha Mfuko(Fund) wa kugharamia Bima ya Afya na Elimu ya Juu kwa Watanzania wote

    Habari wadau, Leo nimekaa na kutafakari sana juu ya uwezekano wa laini za simu tunazotumia katika simu zetu kutumika kukusanya fedha zinazoweza kugharamia matibabu ya karibu kila mtanzania na pia kukusanya fedha zinazoweza kutumika kugharamia Elimu ya juu. Kwanini simu ya mkononi kupitia laini...
  20. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Peter Msigwa akosa watu wa kumfanyia kampeni na kumnadi amuomba binti yake wa Kwanza amnadi kwenye mkutano wa Kampeni Iringa

    Peter Msigwa akosa watu wa kumfanyia kampeni na kumnadi amuomba binti yake wa Kwanza amnadi kwenye mkutano wa Kampeni Iringa aliouandaa Hapa akimwita binti yake kuwa njoo uninadi kwa wapiga kura
Back
Top Bottom