bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Dotto Magari bila ya kujijua amemkosea Tajiri yake Manara

    Wakati akimuongelea Baba Levo kuhusu kupigwa na Harmonize, Dotto Magari akapitiliza na kusema kuwa Baba Levo hana maisha na anaishi kwenye Apartment ya kupanga ghorofani. Dotto ameyasema hayo bila ya kukumbuka kuwa Tajiri yake Haji Manara nayeye anaishi kama Baba Levo. ANGALIA VIDEO HAPA
  2. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Mtu kukopa pesa mtandaoni na kukuweka kama mdhamini bila ridhaa yako ni sawa?

    1) Mtu anakopa pesa mtandano kisha anaandika namba yako kama mtu wake wa karibu bila ridhaa yako 2) Anaposhindwa kulipa, wale waliomkopesha wanaanza kukupigia simu eti uwasaidie kumfikishia taarifa kwamba alipe deni 3) Baada ya hapo anaposhindwa kulipa deni, eti wanatishia kukuchukulia hatua z...
  3. comte

    JamiiForums Tanzania Tumuomboleze Lowassa bila unafiki. Shule za kata ulikuwa uamuzi wa CCM

    Kunatofauti ya kuamua na kusimamia maamzi. Ujenzi wa shule za kata nchi nzima ulikuwa uamuzi wa CCM na ulikuwa kwenye ilani ya uchaguzi 2005-2010 USHAHIDI HUU HAPA Elimu ya Sekondari 61. CCM itazielekeza Serikali kuchukua hatua za kuendeleza elimu ya sekondari katika kipindi cha 2005 - 2010...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Lowassa aliwezaje kumvumilia Nape bila kumtamkia jambo hadi anafariki? Nape aliwezaje kutokuomba radhi hadi Lowassa amefariki?

    Nape aliweza kwenda Ikulu kumwomba radhi Magufuli kwa lengo la kupata madaraka. Lakini alishindwa kwenda kumwomba radhi Lowassa baada ya kumdhalilisha na kumtakia kifo kwenye mkutano wa adhara 2015. Alitamka maneno ambayo katika hali ya kawaida huwezi kusema yametoka kinywani kwa mwanadamu...
  5. financial services

    JamiiForums Tanzania Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

    Habari ya weekend great thinkers? Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa🤔 Enzi hizo nilikua nashangaa...
  6. ankol

    JamiiForums Tanzania Nilivyomchangia pesa ya harusi mpenzi wangu bila kujua

    Daah ama kweli ule usemi wa fear woman una ukweli. Nilikua na mpenzi wangu mashallaah navimba naye kitaa. Mtoto kachanganyia mama mmoroni baba mbongo mweupeee. Full kuvimba naye mtaani kama hamo vile. Siku zinakatika kila siku ananihimiza nimwoe wakati mi mpango sina, (nakula kisela). Si...
  7. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Dokta Greyson: Kutembea bila ya viatu (Peku) kunaongeza nguvu za kiume

    Dokta Greyson Babishomba, akiwa anafanya mahojiano na Kituo cha Redio cha Times Fm, amesema kuwa tabia ya kutembea peku bila ya kuvaa viatu huongeza nguvu za kiume. ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 ✍️
  8. Mr mutuu

    JamiiForums Tanzania Wamasai kuweni makini Zanzibar, mmewekewa chambo mnavutwa mnavutika tu bila kujitambua

    Politics. Hakuna watu wanajua ku manipulate watu kama wanasiasa, wakitaka jambo lao hua hawakurupuki waanzia mbali tu mpaka lengo lao litimie, miaka ya karibuni tumeona wingi wa wamasai kufurika Zanzibar kwenda kutafuta maisha, wameshakua wengi sana, na tuwe tu wakweli fanya yote ila Zanzibar...
  9. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Changamoto ni sehemu ya maisha, bila changamoto hakuna radha ya maisha

    Wakuu habari za uzima? Najua wengi tulishapitia katika hali fulani kwenye maisha tukaona kwamba hatuwezi kuendelea na hapo ndio mwisho wetu. Watu wengi wakiwa kwenye maumivu huwa wanachelewa kuchukua hatua muhimu za maisha. Unakuta sababu ya maumivu anakuwa ameganda na hafanyi chochote, yaani...
  10. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Hivi mnawezaje kuangalia mechi bila sauti?

    Kuna wakati huwa najaribu kwenda chimbo tofauti, ukiacha na zile zenye hadhi ya vibanda umiza ili kucheki mechi, moja ya jambo lililonishinda ni kuangalia mpira bila sauti ya mtangazaji na mashabiki wa uwanjani. Mfano kuna chimbo moja nilitokea kulielewa ila kilichofanya niache kwenda eti...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Leo Boss alikuwa anatesti kama bila Tigo Pesa watashinda na kagundua hapana hivyo utamaduni utaendelea kwa Mechi zijazo

    Nje ya Mada tafadhali anayejua Nauli ya kutoka Dar es Salaam kwenda Kagera kupitia Geita aniambie nahitaji kwenda huko hivi karibuni tu. GENTAMYCINE nilikuwa Najiuliza kwanini Marefa hadi Washika Vibendera wa Taifa Moja hivi Afrika ya Mashariki hawapati nafasi ya Kuchezesha Michuano mikubwa na...
  12. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Watu wanaoonyesha maburungutu ya hela mitandaoni bila kuonyesha chanzo wapigwe marufuku?

    Kuendekeza makundi ya vijana wanaoibuka kwa kasi wakiringishia utajiri wao na marundo ya fedha huku hawaonyeshi vyanzo vyao halali vya mapato ni kuharibu jamii hasa vijana. Kama nia ni kuhamasisha vijana muhamasishe kwa kuonyesha na chanzo, mbinu na namna mnanavyopata hizo fedha za maringishio...
  13. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mwenye nyumba yako anaweza kukuvumilia miezi mingapi bila kumlipa kodi yake?

    Maisha yenyewe ya sasa ukijichanganya ukaishi maisha fake ya kuigiza lazima u collapse tu kuna mpangaji mwenzangu single mother aliforce kumpeleka mtoto shule hizi za mamilion sasa hata baba mtoto amegoma kulipa ada mambo magumu Leo hii kafikisha miezi Sita anadaiwa tu kodi ila baba mwenye...
  14. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tunataka kuwa Taifa takatifu? Bila sexual workers? Tufanye haya

    Ripoti zote za mkaguzi wa hesabu za serikali (CAG) zifanyiwekazi bila uonevu wala kuoneana haya Sauti ya umma isikilizwe na kuheshimiwa Polisi waishi kwenye viapo vyao wasivuke mipaka ya PGO Utawala Bora iwe ni mandatory siyo option Kuku wote watagie bandani (wenye akili wamenielewa) Baada ya...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Polisi wajitafakali, mtu anagonga mtu anaachiwa bila mawasiliano na ndugu wa aliyegongwa

    Inahuzunisha sana !Sijui ni ubaguzi au nini? Ipo hivi, Kuna kijana yupo zanzibar, kwa muda sasa. Jumapili aligongwa na gari akiwa pembeni ya Barabara, baada ya kumshusha mkewe kwenye kibaiskel chake abaki kibandani, ili yeye akafuate mzigo wa kuongeza kitandani chake. Madhara aliyoyapata...
  16. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Energizer imeanza kutengeneza Simu ya Smartphone Yenye Uwezo wa kukaa na Chaji kwa Muda wa usiopungua Siku 50 bila kucharge tena

    Simu kutokaa na chaji huwenda ikawani ni moja kati ya lalamiko kubwa kwa wamiliki walio wengi wa simu janja (smartphone). Vipi ukipata simu ambayo inakaa na chaji kwa muda mrefu, huwenda ikawa ni furaha ya kudumu kwako. Basi fahamu kuwa kampuni ya ''Energizer'' imekuja na aina mpya ya simu...
  17. Kinumbo

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam bila kitambaa hutoboi

    Aisee! Hii hali kwa sasa katika jiji hili pedwa ni hatari sana. Dar es Salaam kwa sasa kuna hali ya jua na joto kali sana, kuna joto ambalo ni zaidi ya joto lenyewe. Yaani bila kitambaa mkononi hutoboi salama unapo kwenda. Inabidi uwe na vitambaa viwili mikino yote miwili yaani unajifuta jasho...
  18. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kufanikiwa kisiasa bila kuwa "mjanja mjanja"?

    Japo siamini kama ni wote, lakini inaonekana kama vile wanaofanikiwa kwenye siasa wana tabia za kipekee kama: • Bingwa wa kusema uongo • Mbabe • Majuzi wa kuiba kura • Mpenda ushirikina Ni kama vile wengi wa wasema ukweli na wapenda kufuata njia halali huwa hawakubaliki. Je, ni lazima...
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Unaweza kula chakula gani kila siku bila kukikinai?

    Nambie msosi gani hata ukiwa unaula mwaka mzima huwezi kuuchoka. Mimi mihogo na makange ya samaki, ukiniandalia nitakula asubuhi mchana na jioni siku zote za maisha yangu.samaki Hakifu kama nyama
  20. Webabu

    JamiiForums Tanzania Jeuri za masetela hawa wa kiyahudi ndio zinazohalalisha walichokifanya Hamas 7/10/2023 na kuwafanya wawe wakali kupigana bila kusalimu amri

    Mawaziri wakuu wastaafu wamekuwa mstari wa mbele kutafuta suluhu katika mapigano yanayoendelea. Wameungana na maraisi na viongozi mbali mbali duniani kuhimiza kuwepo kwa taifa la Palestina sambaba na Israel. Lakini bado kuna mawaziri ndani ya serikali ya Benjamin Netanyahu wanaungana na...
Back
Top Bottom