Dokta Greyson: Kutembea bila ya viatu (Peku) kunaongeza nguvu za kiume

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Dokta Greyson Babishomba, akiwa anafanya mahojiano na Kituo cha Redio cha Times Fm, amesema kuwa tabia ya kutembea peku bila ya kuvaa viatu huongeza nguvu za kiume.

ANGALIA VIDEO HAPA


Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
 
Tuambiwe udogo gani? Mfinyanzi.au mchanga. Kama siyo mfinyanzi naomba nipate taarifa ili niame nitoke Kigoma haraka
 
Back
Top Bottom