bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda kuitetemesha na kuitikisa mikoa kumi mfululizo bila kupumzika

    Paul Makonda, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu zangu Watanzania, Fahamu ya kuwa Ndugu Paul Makonda Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Taifa, yule mwamba wa siasa za majukwaani na ambaye anachukuliwa kama sauti ya wanyonge na ambaye...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Licha ya Mapungufu, Sheria Mpya ya Uchaguzi Pia ina Mazuri Yake!, Imerejesha Mamlaka ya Uchaguzi kwa Wananchi, Hakuna Kupita Bila Kupingwa!.

    Wanabodi, Hili ni bandiko mwendelezo wa three series za uchambuzi wangu wa sheria mpya ya Uchaguzi, 2023. Kama hukuona 1st series, anzia hapa Asante Rais Samia kwa Muswada huu. Umuhimu wa mabadiliko ya Katiba kabla ya Sheria hii bado ni muhimu sana. Huu ni uchambuzi Wangu - Part 1 kisha uje...
  3. Kijana LOGICS

    JamiiForums Tanzania Malipo/michango isio takiwa kulipwa lakin watz tunalipa bila kuhoji kwa sababu ya woga

    1-pesa ya taka Kwa dar hii pesa ya taka inakusanywa kiholela Ina tagemea na eneo kuna wanalipa 2000---mpaka 7000 pesa za wavuja jasho zipigwa n'a kikund Cha Watu wachache hakuna anaehoji  2-pesa za ulinzi shirikishi . pesa zinakusanywa kiholela na watuu wanalipa tu . Kodi tunalipa halafu Kuna...
  4. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Mapenzi bila pesa magumu

    Ndugu zangu wa kiume hivi ni kwangu mimi tu au na nyinyi inawakuta manaa dah nina mpenzi japo sina uhakika kama ni wangu kweli ila nisipompa pesa naona kabisa uchangamfu wake kwangu unapungua kabisa, hata simu kupiga haoigi anakuwa busy na sababu kibao na sio huyu tu ni demu wapili napata yupo...
  5. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania MC acheni kuposti video za harusi na sendoff bila idhini

    Hii inajitokeza zaidi katika siku za karibuni kutokana na maendeleo makubwa ya mtandao. Unakuta Kuna kipande fulani kinachukuliwa na mc katika video ya shughuli bwana Harusi na Bibi Harusi mnajikuta ghafla mnatrend mtandao iwe Ni kwa kituko au kwa uzuri. Madhara yake kwa wahusika. Inaweza...
  6. mkarimani feki

    JamiiForums Tanzania Kwa mshahara huu, niwekee bajeti safi ya mwezi ilii niishi bila mikopo umiza

    Kwa takehome below 700k ,nifanyeje nisione dunia ni jehanamu wala kuwa ndugu, jamaa na marafiki kuhusu mikopo ama kuenda benki ambao riba zao ziko juu sana. Wazoefu, wachumi na waatalamu niwekee mgawanyo wa bajeti safi ya mwezi ili niwe debt free. Maana sukari iko juu, vyakula vikojuu, kodi nk
  7. Edsger wybe Dijkstra

    JamiiForums Tanzania Je, anayejihusha kimapenzi na mwanafunzi adhabu yake ni sawa na aliyempa mimba mwanafunzi?

    Mtu akiwa na mahusiano na mwanafunzi na wakashiriki ngono bila kutokea mimba je adhabu yake inakuaje? Maana kesi zote nilizoskia adhabu ya miaka 30 inatolewa pale tu binti anapopata mimba , je asipopata mimba ila ikathibitima kufanya ngono inakuaje?
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuwa na demokrasia na chaguzi za kidemokrasia bila ya kuwa na vyama vya siasa?

    Habarini za asubuhi. Kwanza mimi si muumini wa demokrasia. Demokrasia ni mfumo wa ovyo sana. Na mfumo wa ovyo zaidi ni demokrasia ya vyama vingi. Demokrasia ya vyama vingi ni vurugu sana na ina gawa nchi. Hata Marekani yenyewe inayodaiwa kukomaa kidemokrasia imegawanyika sana kutokana na...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kutoboa maisha bila kuwa mwajiriwa wa serikalini?

    Hivi naweza kutoboa haya Maisha? Ikiwa Sina kazi, mimi ni (mshenintown) Nataman kuwa na Maisha ya mtu wa Kati. Jamani mliotiboa mlifanyeje mbona Mambo magumu hivi.
  10. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba inaweza kufuzu Kombe la Dunia la Vilabu 2025 bila kuchukua ubingwa wa CAF

    Baada ya ripoti ya FIFA kutoka kuhusiana na ushiriki wa Simba katika Kombe la Dunia la Vilabu 2025, kumezuka malumbano mbalimbali. Kuna upande umekuwa unasema Simba hawezi kwenda kushirki mashindano yale bila kuchukua Ubingwa wa Klabu Bingwa Africa msimu huu na kwa mtazamo wao ana nafasi sawa na...
  11. Wivu tu

    JamiiForums Tanzania Mfungo wangu wa siku 40 bila ya kula chochote umekamilika

    Habari ndugu zangu, Leo ninao furaha kubwa kwa sababu bwana ameniwezesha kufunga mungo wa siku arubaini bila kula chochote . Tangu mwezi wa 11 tarehe 15 nilipoingia kwenye kifungo hicho hadi leo
  12. The only

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kuzaa nae watoto watatu bila ndoa

    Nimeona nahitaji kupata uzao pia wa aina tofauti . Vigezo Awe na elimu ya form 6 na asiwe amewahi pata four secondary Umri kuanzia 20 hadi 34 Asiwe na zaidi ya mtoto 1 .fursa kwa single mothers watapewa first priority Awe mrefu asiye muathilika . Asiwe muhaya .muha.mgogo .mbulu.au mtu wa...
  13. Championship

    JamiiForums Tanzania Christmas haiwezi kupita bila baraka ya mvua, tayari imenyesha mjini mbeya, hapo ulipo je?

    Mungu hajawahi kuacha tusherehekee bila baraka ya mvua kama wale wengine wanavyokaushwa.
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Ruto wanakimbizana kwa kufanya safari Nje ya Nchi

    Licha ya Rais William Ruto kueleza manufaa ya ziara zake Nje ya Nchi, mapokeo yamekuwa tofauti kwa Wananchi wakiwemo Watumiaji wa Mitandao ambao wanakidai Rais hakai Ofisini ili kutatua changamoto za Gharama za Maisha. Katika kipindi cha miaka miwili, Ruto amefanya ziara 42 katika 26, Nchi 15 ni...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Najihisi nimekuwa mraibu, Wangapi mmeweza kutumia smartphone / laptop siku nzima bila kutumia internet ?

    Tangu mwaka huu uanze sikumbuki siku ambayo nilikuwa offline, Nina biashara zangu na kazi sio kwamba nipo idle. Yani uwe na smartphone halafu ukose data waweza kuhisi unakosa mahitaji ya msingi, ukifika hii stage jijue ushaanza kuwa mraibu. Matumizi ya data napenda kuingia Youtube kufatilia...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Hakuna anayeruhusiwa kuwa Imam bila kuwa na kazi inayomuingizia kipato.

    Huku kwetu tunadanganywa sana eti mtu anakuwa padre, mchungaji au Pastor halafu hatoi sadaka kabisa ispokuwa waumini ndo wanaokamuliwa as if ndo Wana pesa. Mapadre wanashinda Baa wanakunywa pombe lakini kutoa sadaka siyo jukumu lao Bali la waumini wanapwaita walaei. Uislamu ni dini ya haki na...
  17. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kutumia mafuta na magonjwa ya zinaa

    Habari zenu Wakuu, Kuna ukweli wowote kuwa ukitumia mafuta/lubricant unaweza kuzuia maambukizi ya magonjwa ya ngono? NAOMBA MNIJIBU WAKUU
  18. integraltracking

    JamiiForums Tanzania Chimbo la mabati na pvc bei mchina bila mtu kati

    Kama Title inavyosomeka. Ninatafuta Lilipo chimbo la Mabati, Misumali, PVC na Chuma(square Pipe, metal sheets na round pipe) bei ya jumla(kiwandani). Mwenye Chimbo atakula 50k( kunipeleka/ kunielekeza na kudhibitika ni valid). Nitashukuru sana kama ombi langu litafanyiwa kazi, asanteni na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mbona Govt salary zinaingia zimepigwa panga bila maelezo ya kutosha kunani jamani

    Last month nilikuta 15,000/= haipo Today 123,000/= nimevuta statement inaonesha ni salary na kuna jamaa yangu kakutana na hiyo hiyo shida kuna nini?
  20. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Padri asioruhusiwa kumbariki marehemu mkatoliki ambae amefariki bila kuoa leo hii anaruhusiwa kubariki mashoga wakitaka baraka.

    Roman Catholic imekua comedy sasa. Yaan nakumbuka kuna mzee mmoja mtaani nilipokulia alikuaga mkatoliki mzuri ila alikua na wake wawili. Alipofariki yule mzee alizikwa na katekista tu, padri akasusia msiba hata hakuja kutoa baraka. Vile vile marehemu Ruge tuliona namna maaskofu wa bukoba...
Back
Top Bottom