baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamng’ang’ania baba aliyembaka mwanae

    Mahakama Kuu Kanda ya Songea, imemng’ang’ania dereva bodaboda (jina linahifadhiwa) aliyefanya mapenzi kwa nguvu na mwanawe wa kumzaa akisingizia ni maelekezo ya mganga wa kienyeji na kusisitiza kuwa kifungo cha miaka 30 alichopewa ni sahihi. Tukio hilo lililotokea Machi 13, 2023 katika kijiji...
  2. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Ukiona kijana tajiri ujue ni mwizi, aliachiwa pesa na baba yake au beti

    Kauli hii inayotrend imenifikirisha Sana wakati mwingine nikidhani nikweli! Embu tutazame Jambo hili kwa Tanzania kijana kuwa tajiri labda mwenye Umri wa Under 30yrs amiliki angalau 100M Jambo hili linawezekana? Je, mifumo na mazingira yanawezesha? Bila kutarajia vilivyotajwa kwenye kichwa...
  3. Mrao keryo

    JamiiForums Tanzania Baba Mtakatifu Fransisko amteua Padre Jovitus Francis Mwijage kuwa Askofu mpya wa Jimbo la Bukoba

    Baba mtakatifu Francisco leo tarehe 19.10.2023 amemteua padre Jovitus Fransis Mwijage wa jimbo Katoliki Bukoba kuwa Askofu mpya wa jimbo hilo. Ikumbukwe Askofu wa Bukoba aliyekuwepo, Desiderius Rwoma alistaafu kwa mujibu wa sheria za Kanisa kutokana na umri. Pia kwa sasa Jimbo Katoliki Bukoba...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Misa Maalum ya Kumuombea Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, Oktoba 14, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Misa Maalum ya Kumuombea Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere leo tarehe 14 Oktoba, 2023 Babati, Mkoani Manyara. https://www.youtube.com/live/KmuRAUC9pSQ?si=GqCzOhpasVu7Yf4w HOMILIA YA ANTHONY LAGWEN, ASKOFU...
  5. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single Mothers Mnashindwa nini kawakataa Baba watoto wa vichakani kwa kusajili watoto kwa majina ya Ukoo wako?

    Single Mothers Mnashindwa nini kawakataa Baba watoto wa vichakani kuwa huyu simjui na simfahamu na sina mtoto. Unashindwa nini kumroga na kumpeleka kaburini haraka sana kibwengo msumbufu asiye na faida na mleta sumu kwenye maisha yako? Ebu imagine single mother umezaa mtoto wa kichakani baba...
  6. sanalii

    JamiiForums Tanzania Ibrahim baba wa imani ila kizazi chake kimekuwa chanzo kikubwa cha vurugu duniani

    Nyie mnaonaje? Baba wa imani huyu kizazi chake kimekuwa ni moto mkali sana duniani. Mpaka leo unaona kabisa dunia nzima kwa anaefahamu huu mgogoro ni either atakuwa timu mke mkubwa au mke mdogo. Sasa je, Ibrahim kaleta baraka au kaleta balaa duniani?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Baba wa Mwimbaji wa Injili aliyeimba "Mnatuona Nyani tu" ahukumiwa miaka 3 jela kwa kuendesha Kanisa bila kibali

    Mchungaji Mwakipesile ambaye mtoto wake Sifa Bujune alikamatwa kwa kosa la kusambaza uongo kwa kuimba wimbo wa "Mnatuona Nyani tu" amehukumiwa miaka mitatu jela kwa kosa la kuendesha kanisa bila ya kuwa na kibali. ================== Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile (39), baba mzazi wa Sifa...
  8. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Picha ya Aziz K na Skudu Makudubela

    Picha ya aziz k na skudu makudubela Mpiga picha ni huyo alipiga goti kapiga picha kalii sana yaani picha imetoka fresh kama imepigwa marekani
  9. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto wa kambo haniheshimu kama baba, nifanyaje?

    Mimi ni kijana umri wa miaka 25 Niko daresalam, Nina mapenzi na Mwanamke wa miaka 55. Tunakaa Pamoja na mtoto wake wa kiume miaka 36 Sasa huyu mvulana Haniheshimu kabisa kama baba yake wa kambo, hata nikimshauri kuhusu maisha hataki kunilewa kabisa nifanyaje? au nimfukuze hapa home? Source...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Huyu atukua Baba yake Zero IQ

  11. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Atuhumiwa kumuua baba yake kwa kumpiga na ubao

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia kijana aitwaye HUMPHREY FRANCIS KIHALI [25] Mkazi wa Ilemi Jijini Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya baba yake mzazi aitwaye FRANCIS JOHN KIHALI [50] Mkazi wa Ilemi Jijini Mbeya. Awali Septemba 10, 2023 majira ya saa 10:45 jioni huko eneo la Ilemi...
  12. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Baba wa taifa kuhusu uwekezaji

    Mheshimu sana kiongozi anayeongea bila kusoma mahali... Baba wa Taifa alikuwa na maono ya Mbali sana. Nafikiri tutazidi kujifunza kutoka kwake for years. Utafakiri alikuwa analijua hili la DPW Pamoja na kubadili Sheria zetu.
  13. Mdigokhan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anampenda baba yake mzazi kimapenzi mpaka anamuonea wivu mama yake!

    Kuna mwanamke fulani nilimkuta baa fulani analewa nikaona acha nijisogeze, kweli nikafanikiwa kukaa naye hakuniringi. Alikuwa analewa huku analia nikamuuliza Mbona unalia akagoma kuniambia ila baada ya kumbembeleza ili anijuze Sababu za Yeye kulia akaniambia ataniambia. Muda ulikwenda na...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Umaskini wa familia unatokana na Baba dhaifu, na umaskini wa taifa unatokana na Wanaume Legelege

    UMASKINI WA FAMILIA UNATOKANA NA BABA DHAIFU, NA UMASKINI WA TAIFA UNATOKANA NA WANAUME LEGELEGE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nimekosa Lugha itakayoweza kuelezea Jambo hili zaidi ya niliyoitumia. Ikiwa kuna yeyote mwenye moyo mwepesi, ambaye si mhimilivu wa Lugha kali basi nashauri...
  15. Amani Dimile

    JamiiForums Tanzania Baba ni nguzo imara zaidi ya mnara wa Babeli

    Mkizisikia tena nyimbo za nani kama mama msizime runinga abadani wala kupunguza sauti ya redio, bali ngojeni hadi ubeti wa mwisho tusikie angalau huenda baba nae atatajwa. Na hata asipotajwa basi msimdhihaki mtunzi huenda kwake alilisifu tunda zuri na tamu, lakini hakuona juhudi za mti...
  16. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwa Fungu la Bilioni 1.3 kwajili ya kuwaendeleza ndugu kijijini ni bora kuwapeleka shule au kuwawezesha kibiashara?

    Mhusika kajisevu sevu ana fungu la Bilioni 1.3 kalitenga kuendeleza huko kwao Options ni mbili A. Kuwachukua wanaofaulu vizuri form 4 Kuwasomesha chuoni mpaka wanapomaliza degree. sharti ni kusomea kozi za sheria, Engineering, udaktari, ufamasia na uhasibu. 2. Kuwapa mikopo isio na riba...
  17. comte

    JamiiForums Tanzania TAMKO la TEC: Upo uwezekano baadhi ya ma Baba Askofu hawajui kilichomo

    Na Ezekiel Kamwaga KUELEKEA kipindi cha Kwaresma na Sikukuu ya Pasaka ya mwaka 2018, Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC) lilitoa waraka ambao kimsingi ulikosoa vitendo vya uminyaji wa demokrasia na uhuru wa watu kujieleza uliokuwepo wakati wa utawala wa hayati Rais John Magufuli...
  18. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Akina mama ndio chanzo Cha laana kwa watoto! Wanapandikiza chuki watoto wawachukie baba zao !

    Laana inaweza kuonekana dhahiri au ikaonekana kwa kuyatafsiri maisha halisi ya mtu ! Kila nilipokuwa narejea nyumbani nilimpa kipaumbele mama kuliko baba! ,Na mama aliutumia udhaifu wangu kunisimulia Kila jambo baya la baba ili niendelee kumchukia baba! Mama alikuwa ana wezq kunisimulia matusi...
  19. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Mwanaume alieanza kujitafutia sio sawa kumtumia pesa mama badala ya baba, Sio sawa hata kidogo kusema nani kama mama

    Hii ni maada kwajili ya wanaume ambao tayari wameanza kujipambania na wanajua hali ilivyo, wale ambao bado hamjaanza au mna shughuli zenu ila mnakaa kwa wazazi mpishe kidogo. Wewe mwanaume ambae ni kichwa cha familia na unajua jinsi upambanaji ulivyo, umepambana kutafuta pesa ya chakula...
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Baba kizimbani kwa mashtaka ya kumnajisi mwanawe wa kumzaa mwenye miaka 14

    MKAZI wa Mtaa wa Nyabubele Kata ya Kasamwa Kukailwa (40), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Geita kwa mashtaka ya kunajisi mwanawe - msichana mwenye miaka 14. Alipandishwa kizimbani jana mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Johari Ki uwile na aliposomewa mashtaka, alikana kuhusika...
Back
Top Bottom