baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Baba awachoma Watoto wake makalio kwa panga lenye moto

    Mkazi wa Kata ya Marangu Mashariki wilayani hapa, Baltazari Mtui anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuwaunguza makalio watoto wake wawili wa kiume. Inadaiwa kuwa baba huyo aliweka panga kwenye moto kisha akawaunguza watoto hao ambao ni wanafunzi wa darasa la kwanza na la pili katika Shule ya...
  2. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Swali la kufikirisha: Kwanini Hayati Magufuli enzi za uhai wake alipenda sana wimbo wa "Baba" wa Stamina na Prof. Jay?

    Habari wanajamvi..! Leo nimejiuliza hivi kwa nini hayati alipenda sana wimbo wa baba ,kiasi ambacho hata kwenye uzinduzi wa studio za Channel ten akaomba apigiwe wimbo wa "Baba "wa Stamina na Prof Jay aliyekuwa mbunge wa Mikumi??
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi mahusiano ya kimapenzi kati ya baba mzazi na binti yameshamiri sana?

    Siku hizi limekuwa jambo la kawaida sana kwa baba kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti yake wa kumzaa mwenyewe Tatizo ni nini wakuu? Ni tamaa za kingono au kuna sababu za kishirikina nyuma yake?
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba wa watoto wangu watatu (kila mmoja na babake) wote wanataka kufunga ndoa na mimi

    Mtoto wa kwanza nilimzaa na class mate wangu. Wakati huo wote tukiwa hatuna ajira. Wazazi wote walitusaidia. Ikifika wakati kaka yake alimuita Gabon akamsaidie biashara. Aliniacha na mtoto wa miaka miwili. Tulipoteza mawasiliano. Mtoto wa pili nilimzaa na aliyekuwa boss wangu. Alikuwa...
  5. Raynavero

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti amjibu mama yake, ndio maana baba ana mwanamke mwingine

    Wanajamvi hii imetokea ni rafiki wa mama kaja kushtaki mwanawe kamtukana hivyo, baada ya kumsema mwenendo wake hauridhishi atapata mimba isiyo na baba. Akamtamkia maneno hayo ila kaka wa yule msichana alivyosikia akampiga makofi dada yake. Msichana akaenda polisi, mama na kijana wake wakaja...
Back
Top Bottom