Mama na Baba Mchungaji Walinitega

Lior

JF-Expert Member
Jul 30, 2018
766
1,957
Ni mwaka mpya, amani kwenu

Zingatia: Kuna jamaa yangu ameniomba ushauri, na mimi natumia nafasi hii kuwaomba ushauri/ mawazo kwa niaba yake.

Story yake iko hivi....

Binafsi kuna changamoto nimekutana nayo ya kuzama kwenye penzi zito sana na mke wa mtu, ila mazingira ya kumpata yalikuwa rahisi sana mpaka nikajilaumu. Iko hivi......

Nilianza fahamiana na mme wake ambae ni mchungaji, tukawa marafiki na mara moja moja nikawa naenda kumtembelea kanisani kwake.
Akanitambulisha kwa waumini wake na mke wake pia. Baada ya miaka mi-3 ya kufahamiana mchungaji akawa anasafiri ananiomba nikafundishe kanisani kwake. Binafsi niko vizuri upande huo hata yeye anafahamu maana urafiki wetu ulianzia mlima furani wa maombi.

Sikuwa na mazoea na mama mchungaji, lakini nilianza kuzoeana nae baada ya kuwa naachiwa kanisa kuhudumu na ikanilazima tuanze kuwasili mara kwa mara. Hatimae tukaanza kuchat mpaka usiku na utani wa hapa na pale, yule mama akaanza kufunguka kuwa ni mpweke ana-enjoy sana uwepo wangu. Lakini akaanza nitumia verses hasa za wimbo ulio bora, na kuniambia ananipenda sana. Mimi sikushtuka mapema kwa kuwa nilikuwa namheshimu sana na mara zote alisema nakupenda sana upendo wa agape so nikaona ni wa kawaida tu.

Siku moja tukiwa tunachat akanipigia kama saa 3 usiku, akaanza kuongea kwa kujibebisha fulani kimahaba, basi asubuhi yake nikamtumia ujumbe kuwa asiwaze nitajitahidi kumpa ushirikianao ili asiwe mpweke kwa sababu ya safari za mume wake. Sijui alitafsiri vipi ule ujumbe, akanipa jibu ambalo lilinifikirisha sana.

N "Habari za asubuhi mama, Nashukuru Mungu nimeamka salama na familia yangu. Vipi wewe umeamkaje leo. Naomba nikujulishe jambo moja ,sina hakika kama utanielewa, unaweza kunishangaa kwa uamuzi huu ninao uchukua leo. umekuwa rafiki yangu kwa muda, tena rafiki wa karibu sana. Naomba nikujulishe ramsi kuwa sitaweza tena kukaa Kimya, nataka ujue NAKUTHAMINI."

P "Mm nimeamka salama pia pamoja na watu wa nyumban mwangu, niseme Asante sana Kwa uwamuzi wako wa dhati kwangu Asante N kunijulisha rasmi kuwa unanithamini,oooh nashukuru sana, Asante Kwa zawadi hio nakupenda N,"

N "Asante sana "

P "Mm Sina kipingamizi, nakubaliana na ww kuwa huru Kwa chochote unachokitaka kwangu usiogope,nakupenda nakuhitaji pia."

Mpaka hapo nikawa nimejua lengo lake ni mapenzi ila anajifichia kwenye verses za biblia.

Tukaendelea na chats na story, baada ya wiki akanitumia huu ujumbe

P " Yan N huwanikikaa nikitulia naanza kuzisoma sms ulizonitumia Kwa kuzirudia taratibuuu,,N hakika unamaneno matamu jaman mwanaume ww,yakutuliza moyo wa mwanamke na kukusikiliza unachosema,unachotaka,hakika mm P nimekuelewa sana N."

Kipindi hicho mume wake amerudi. Basi akaniomba jioni yake nikutane nae sehemu fulani jirani na kazini kwake, nikaenda. Lakini nikagundua hana la maana ni alitaka tu kuniona, nikaona sío poa kuongea nae pale, nikamwambia aingie kwenye gari tukaondoka eneo lile. Njiani ananipapasa mabega. Binafsi sikuwa nimeamua kumla, na bado sikuwa na uhakuka anataka kweli au ananipima maana tulikuwa tunataniana sana.

N "Hivi P ni kweli uko tayari au unanitania tu?"

P " N naomba tafuta sehemu upaki nikwambie bie kitu"

Mida hiyo ni kama saa 2 kasoro usiku, ka giza kameingia, njia ya kwenda kwake kuna sehemu kuna mashamba ya migomba. Nikapaki eneo hilo, akaomba tushuke. Baada ya kushuka akanikumbatia na kunikiss mdomoni, nikampokea huku siamini, ghafla akashusha mkono kupapasa koni. Akaushika mkono wangu akauweka juu ya kiuno chake, nikampapasa mpaka ikulu. Nikakuta ameloana zamani sana na vikelele vinaongezeka. Nikampa ahadi tupange siku nyingine maana pale ni njiani akakubali kwa shingo upande, nikampeleka kwake nikaondoka.

Baada ya siku 3 akaomba aje kwangu, (Familia yangu ilikuwa likizo nje ya mkoa husika) nikakubali. Kama utani tu akaomba ruhusa saa 6 mchana akafika nyumbani, hakutaka hata chakula akanivamia kupata fahamu tayari kala chuma moja. Kifupi siku hiyo akaondoka saa 2 usiku na idadi ya magoli sikumbuki maana alikuwa na ukame harafu mwepesi wa kufika.

Penzi likakolea huku naendelea kuhudumu kanisani kila mara mume wake anaposafiri. Familia yangu iliporudi akawa ananikaribisha nyumbani kwake tunalala mpaka asubuhi naondoka. Yule mama alikuwa mzuri sana, ana umbo zuri na ni cheupe fulani.

Mwezi December nikawapa mwaliko na mume wake wakaja kula krismass. Mimi nimejenga nje ya mji kwa hiyo kuna eneo kubwa sana hapo home. Baada ya chakula mume wake akatoka nje na watoto akawa anaangalia mandhari ya hapo home, mara mke wangu akaungana nao huko nje. Tukabaki ndani wawili tu, P Akaniambia ana hamu, basi nika chungulia nje nikaona wako kwenye mabanda ya mbuzi, kuku na sungura huko wanashanga shangaa. Nikamwambia avue pichu aweke kwenye handbag yake akae bila pichu ili iwe rahisi, basi nikamkunja hapo kwenye sofa, nikala mzigo safi tu na akamwaga kama kawaida yake.

Tukazuga na story hapo, baada ya dakika 5 mke wangu akaja kumuita akapunge upepo nje akakataa kwa madai kuwa ameshiba anahisi usingizi. Basi wife akaenda wakawa wamekaa chini ya muembe wanapiga story, nikatumia nafasi hiyo kumkunja tena pale kwenye sofa nikala cha pili, ila hii mara ya pili alipiga vikelele fulani mpaka nikahisi wamesikia ila kumbe hawakusikia.

Basi nikaona nikimwambia aende washroom akanawe (maana harufu ya manii ílikuwa inasikika sana) watasikia anamwaga maji ikabidi nitoke nje nimwambie wife akamuonyeshe washroom, basi siku ikaisha hiyo na mme wake hakujua kama nimekula mzigo wa mkewe siku ile.

Utata......
Baada tu ya kuanza uhusiano na yule mama, nilipata ishara katika ulimwengu wa roho kuwa nimepungukiwa nguvu na mamlaka. Pia niligundua pia kuwa yule mama hana hofu na mme wake kujua, pia akaanza kumchukia mke wangu. Hivyo sikuwa na furahi katika ule uhusiano kabisa. Nilikusudia kuachana nae, nikampa taarifa kuwa naomba tusitishe ule uhusiano maana binafsi nafasi yangu haina furaha. Jambo la ajabu ambalo limenipelekea kuomba ushauri ni baada ya P kukataa kuachana na mimi na kunionya nisithubutu kumuacha.

Imefikia hatua ananiambia nikijaribu tu atamwambia wife ili ndoa yangu ivunjike ila upande wake akasema hata mume wake akijua hawezi kumuacha kwa kuwa walikubaliana atoke nje atafute mtoto mmoja tu kama mrithi wao.

Baada ya kufanya upelelezu wangu nikagundua kumbe mume wake alikuwa anajua namla yule mama, ila lengo lao nimpe mimba kisha walee mtoto. Hapa nimebaki njia panda kwa kuwa mtu pekee ambae hajui lolote ni mke wangu kwa hiyo kuna hatari ya kuniharibia kweli kama nikimuacha bila mimba.

Binafsi siuhitaji huo uhusiano, nataka ku repent nianze upya. Naomba mawazo/ ushauri wenu. Asante

NB: Umri wangu ni miaka 38 na huyo mama ni 42
Nina watoto wanne, wawili wa kike na wawili wa kiume.
 
Mkuu,
Tafuta siku nzuri ambayo mkeo yuko sawa kichwani, zungunza nae vizuri kabisa hope atakuelewa coz wanawake ni walewale hii BORA, kuliko huyo Mama mchungaji aje kumwambia Mkeo itakuwa Hatari kubwa sana pia.

Note: Hapo hakuna Siri tena Ni swala la Muda kila Kitu kuwa Wazi sasa anza wewe kujiripua kwa Wife wako aisee coz Mama mchungaji Kwake kuko salama na Ukiendelea na Huu Ujinga wako wa Kuendelea Kumkwichi Mama Mchungaji et kwa sababu atayamwaga kwa Wife ndo Unazidi kujipiga kitanzi.
 
Asante mkuu, hata mimi nilimshauli aachane nae Nitamfikishia.
 
Mpe tu mtoto
Mmmh
Mambo ya Walawi 20:10 (Biblia Takatifu) “Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, naam, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mtu mume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa.”
Inatosha kusema kifo kinakuhusu Baba wa Imani
Hiyo ilikuwa kipindi cha sheria, sasa tuko kipindi cha Neema. Ana nafasi ya kutubu na kusamehewa.
 
Ni mwaka mpya, amani kwenu

Zingatia: Kuna jamaa yangu ameniomba ushauri, na mimi natumia nafasi hii kuwaomba ushauri/ mawazo kwa niaba yake.

Story yake iko hivi....

Binafsi kuna changamoto nimekutana nayo ya kuzama kwenye penzi zito sana na mke wa mtu, ila mazingira ya kumpata yalikuwa rahisi sana mpaka nikajilaumu. Iko hivi......

Nilianza fahamiana na mme wake ambae ni mchungaji, tukawa marafiki na mara moja moja nikawa naenda kumtembelea kanisani kwake.
Akanitambulisha kwa waumini wake na mke wake pia. Baada ya miaka mi-3 ya kufahamiana mchungaji akawa anasafiri ananiomba nikafundishe kanisani kwake. Binafsi niko vizuri upande huo hata yeye anafahamu maana urafiki wetu ulianzia mlima furani wa maombi.

Sikuwa na mazoea na mama mchungaji, lakini nilianza kuzoeana nae baada ya kuwa naachiwa kanisa kuhudumu na ikanilazima tuanze kuwasili mara kwa mara. Hatimae tukaanza kuchat mpaka usiku na utani wa hapa na pale, yule mama akaanza kufunguka kuwa ni mpweke ana-enjoy sana uwepo wangu. Lakini akaanza nitumia verses hasa za wimbo ulio bora, na kuniambia ananipenda sana. Mimi sikushtuka mapema kwa kuwa nilikuwa namheshimu sana na mara zote alisema nakupenda sana upendo wa agape so nikaona ni wa kawaida tu.

Siku moja tukiwa tunachat akanipigia kama saa 3 usiku, akaanza kuongea kwa kujibebisha fulani kimahaba, basi asubuhi yake nikamtumia ujumbe kuwa asiwaze nitajitahidi kumpa ushirikianao ili asiwe mpweke kwa sababu ya safari za mume wake. Sijui alitafsiri vipi ule ujumbe, akanipa jibu ambalo lilinifikirisha sana.

N "Habari za asubuhi mama, Nashukuru Mungu nimeamka salama na familia yangu. Vipi wewe umeamkaje leo. Naomba nikujulishe jambo moja ,sina hakika kama utanielewa, unaweza kunishangaa kwa uamuzi huu ninao uchukua leo. umekuwa rafiki yangu kwa muda, tena rafiki wa karibu sana. Naomba nikujulishe ramsi kuwa sitaweza tena kukaa Kimya, nataka ujue NAKUTHAMINI."

P "Mm nimeamka salama pia pamoja na watu wa nyumban mwangu, niseme Asante sana Kwa uwamuzi wako wa dhati kwangu Asante N kunijulisha rasmi kuwa unanithamini,oooh nashukuru sana, Asante Kwa zawadi hio nakupenda N,"

N "Asante sana "

P "Mm Sina kipingamizi, nakubaliana na ww kuwa huru Kwa chochote unachokitaka kwangu usiogope,nakupenda nakuhitaji pia."

Mpaka hapo nikawa nimejua lengo lake ni mapenzi ila anajifichia kwenye verses za biblia.

Tukaendelea na chats na story, baada ya wiki akanitumia huu ujumbe

P " Yan N huwanikikaa nikitulia naanza kuzisoma sms ulizonitumia Kwa kuzirudia taratibuuu,,N hakika unamaneno matamu jaman mwanaume ww,yakutuliza moyo wa mwanamke na kukusikiliza unachosema,unachotaka,hakika mm P nimekuelewa sana N."

Kipindi hicho mume wake amerudi. Basi akaniomba jioni yake nikutane nae sehemu fulani jirani na kazini kwake, nikaenda. Lakini nikagundua hana la maana ni alitaka tu kuniona, nikaona sío poa kuongea nae pale, nikamwambia aingie kwenye gari tukaondoka eneo lile. Njiani ananipapasa mabega. Binafsi sikuwa nimeamua kumla, na bado sikuwa na uhakuka anataka kweli au ananipima maana tulikuwa tunataniana sana.

N "Hivi P ni kweli uko tayari au unanitania tu?"

P " N naomba tafuta sehemu upaki nikwambie bie kitu"

Mida hiyo ni kama saa 2 kasoro usiku, ka giza kameingia, njia ya kwenda kwake kuna sehemu kuna mashamba ya migomba. Nikapaki eneo hilo, akaomba tushuke. Baada ya kushuka akanikumbatia na kunikiss mdomoni, nikampokea huku siamini, ghafla akashusha mkono kupapasa koni. Akaushika mkono wangu akauweka juu ya kiuno chake, nikampapasa mpaka ikulu. Nikakuta ameloana zamani sana na vikelele vinaongezeka. Nikampa ahadi tupange siku nyingine maana pale ni njiani akakubali kwa shingo upande, nikampeleka kwake nikaondoka.

Baada ya siku 3 akaomba aje kwangu, (Familia yangu ilikuwa likizo nje ya mkoa husika) nikakubali. Kama utani tu akaomba ruhusa saa 6 mchana akafika nyumbani, hakutaka hata chakula akanivamia kupata fahamu tayari kala chuma moja. Kifupi siku hiyo akaondoka saa 2 usiku na idadi ya magoli sikumbuki maana alikuwa na ukame harafu mwepesi wa kufika.

Penzi likakolea huku naendelea kuhudumu kanisani kila mara mume wake anaposafiri. Familia yangu iliporudi akawa ananikaribisha nyumbani kwake tunalala mpaka asubuhi naondoka. Yule mama alikuwa mzuri sana, ana umbo zuri na ni cheupe fulani.

Mwezi December nikawapa mwaliko na mume wake wakaja kula krismass. Mimi nimejenga nje ya mji kwa hiyo kuna eneo kubwa sana hapo home. Baada ya chakula mume wake akatoka nje na watoto akawa anaangalia mandhari ya hapo home, mara mke wangu akaungana nao huko nje. Tukabaki ndani wawili tu, P Akaniambia ana hamu, basi nika chungulia nje nikaona wako kwenye mabanda ya mbuzi, kuku na sungura huko wanashanga shangaa. Nikamwambia avue pichu aweke kwenye handbag yake akae bila pichu ili iwe rahisi, basi nikamkunja hapo kwenye sofa, nikala mzigo safi tu na akamwaga kama kawaida yake.

Tukazuga na story hapo, baada ya dakika 5 mke wangu akaja kumuita akapunge upepo nje akakataa kwa madai kuwa ameshiba anahisi usingizi. Basi wife akaenda wakawa wamekaa chini ya muembe wanapiga story, nikatumia nafasi hiyo kumkunja tena pale kwenye sofa nikala cha pili, ila hii mara ya pili alipiga vikelele fulani mpaka nikahisi wamesikia ila kumbe hawakusikia.

Basi nikaona nikimwambia aende washroom akanawe (maana harufu ya manii ílikuwa inasikika sana) watasikia anamwaga maji ikabidi nitoke nje nimwambie wife akamuonyeshe washroom, basi siku ikaisha hiyo na mme wake hakujua kama nimekula mzigo wa mkewe siku ile.

Utata......
Baada tu ya kuanza uhusiano na yule mama, nilipata ishara katika ulimwengu wa roho kuwa nimepungukiwa nguvu na mamlaka. Pia niligundua pia kuwa yule mama hana hofu na mme wake kujua, pia akaanza kumchukia mke wangu. Hivyo sikuwa na furahi katika ule uhusiano kabisa. Nilikusudia kuachana nae, nikampa taarifa kuwa naomba tusitishe ule uhusiano maana binafsi nafasi yangu haina furaha. Jambo la ajabu ambalo limenipelekea kuomba ushauri ni baada ya P kukataa kuachana na mimi na kunionya nisithubutu kumuacha.

Imefikia hatua ananiambia nikijaribu tu atamwambia wife ili ndoa yangu ivunjike ila upande wake akasema hata mume wake akijua hawezi kumuacha kwa kuwa walikubaliana atoke nje atafute mtoto mmoja tu kama mrithi wao.

Baada ya kufanya upelelezu wangu nikagundua kumbe mume wake alikuwa anajua namla yule mama, ila lengo lao nimpe mimba kisha walee mtoto. Hapa nimebaki njia panda kwa kuwa mtu pekee ambae hajui lolote ni mke wangu kwa hiyo kuna hatari ya kuniharibia kweli kama nikimuacha bila mimba.

Binafsi siuhitaji huo uhusiano, nataka ku repent nianze upya. Naomba mawazo/ ushauri wenu. Asante

NB: Umri wangu ni miaka 38 na huyo mama ni 42
Nina watoto wanne, wawili wa kike na wawili wa kiume.
Yatakukuta ya katibu
 
Back
Top Bottom