ardhi

  1. Rusumo one

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa ardhi Rwagasore Mwanza kati ya mfanyabiashara na wananchi

    Habarini za asubuhi wakuu! Ule mgogoro wa ardhi katikati ya Jiji la Mwanza mtaa wa Rwagasore kati ya Wananchi watano na mfanyabiashara nakumbuka walienda TAKUKURU baaae maafisa ardhi walihojiwa na DED Jiji aliondolewa kazini na mama lakini baadae Waziri Mkuu aliingilia kati na kumkabidhi...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nuksi imeshaanza kwa waliofanya 'Pre Seasons' zao nje ya Ardhi ya Tanzania

    Mzee wangu Kocha 'Jeans Hiyo Hiyo' usikasirike hapo ulipowekwa kwa sasa kwani umewekwa Kimtego ila muda wowote unarejea Kikosini. Mshambuliaji tunayekupenda na Kukubali kuliko wote walioko Kikosini ila hupangwi kwa Chuki ya Kocha na Kiongozi Mwandamizi Klabuni usihofu huenda kwa matokeo mabaya...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Charles Hilary afafanua sehemu ya ardhi ya Bagamoyo kumilikiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

    Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary amefafanua suala la eneo lililopo Makurunge Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani kumilikiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Amesema “Eneo linaitwa Ranchi ya Zanzibar Bagamoyo...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa ClubHouse ya JamiiForums: Kero ya Rushwa katika Umiliki wa Ardhi

    Umewahi kulazimika kutoa rushwa ili uweze kukamilishiwa mchakato wa kumiliki ardhi? Jiunge nasi Alhamisi, Agosti 10, 2023 Saa 12 Jioni hadi saa 2 usiku kupitia ClubHouse ya JamiiForums kujadili Vitendo na Mazingira ya Rushwa katika hatua za Umiliki wa Ardhi Nchini. Tutajadili Changamoto...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Lissu akiwa Sengerema apigilia msumari wa "akili matope" kwa Rais kuwapa DP World madaraka yake kama mdhamini wa ardhi

    Ni kuhusu kipengele cha mkataba kinachosema Rais akitaka kujenga chochote karibu na maeneo ya DP World kama vile hospitali karibia na bandari ya Isaka basi atatakiwa kwanza kuomba kibali cha DP World. Wakati Rais huwa ndio anaeombwa ardhi, sio yeye kuomba. Tundu akauliza hii ni akili au...
  6. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kijiji gani ardhi yake ina rutuba, na gharama za kilimo ziko chini?

    Sasa ni muda muafaka kwa vijana kuingia kwenye kilimo. Najua vijijini gharama za kilimo huwa chini, unaweza kubahatisha mashamba yenye rutuba na yanakodishwa kwa bei nafuu. Na pia katika kuimarisha umoja katika maeneo hayo, wanakijiji hao hao wanakuwa vibarua kwenye hayo mashamba, ambapo...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka CCM ikaunda kurugenzi za kisekta, hivi wizara ya Ardhi imeshindwa kueleza Samia alivyowapa watu ardhi dhidi ya upotoshaji wa Lissu?

    Nashangaa wizara ya Ardhi inaposhindwa kujibu propaganda za Lissu kwamba awamu ya sita imekuwa ikinyanganya watu ardhi. Serikali iliunda kamati ya mawaziri ambayo ilipitia migogoro ya ardhi, na watanzania kwa maelfu, waligawiwa ardhi iliyokuwa Ina mgogoro na hifadhi za taifa au taasisi za umma...
  8. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Jiunge Na Familia Ya Zaidi Ya Watu 750 Inayojadili Mambo Ya Ardhi Na Majengo BURE.

    Tumekuwa na masomo mazuri kuhusu uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Tumekuwa na mijadala ya motomoto kuhusu uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Tupo watu wa makundi tofauti tofauti kutoka mikoa tofauti tofauti. ✓ Wapo mawakili wazoefu humu kundini, ✓ Wapo wachoraji wa ramani nzuri za...
  9. Kidaya

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tutumie maji chini ya ardhi kuongeza upatikanaji wa huduma ya maji

    Tunahitaji maji katika shughuli za kila siku za kibinadamu (kunywa, upishi na usafi), kiuchumi (kilimo na ufugaji, uvuvi, ujenzi, kuzalisha nishati, utalii, viwandani n.k) na mazingira. Katika kuongeza upatikanaji wa huduma ya maji kwa mijini na vijijini, Serikali inatekeleza miradi ya maji...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Je, kulingana Sheria zetu za Ardhi watanzania tuna OWN au tuna POSSESS Ardhi kama DP WORLD?

    Kulingana na mkataba -IGA ni kwamba DP WORLD watapossess Ardhi sio ku own nikaangalia maana ya haya maneno mawili 1 Own land - indicate that land belongs to a particular person or group . 2.Posses land -control or occupancy of land without regard to ownership . Kwa katiba yetu Kama nimeielewa...
  11. President of China

    JamiiForums Tanzania Ukulu ya Gamboshi - (Ufalme chini ya Ardhi)

    Nimawasalimia wana JF wote. Leo nimeona niweze kuelezea mambo muhimu sana ya nchi niliyoweza kuyapata miaka ya 90s. Miaka hiyo nilitokea kumpenda mtoto mmoja wa kike jina lake akiitwa Misoji. Kusema kweli mwanamke huyo sitamsahau katika maisha yangu. Yeye ndiye aliyenifundisha mambo mengi sana...
  12. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtu mmoja auawa, Raila atangaza maandamano ya kuingia Nairobi Julai 12, 2023

    Chama cha Azimio La Umoja One Kenya Coalition Party kimetangaza kuwa kitaendelea na maandamano ya kupinga serikali nchini kote Jumatano wiki ijayo, kikiahidi kuzidisha maonyesho kutokana na kile kilichoshuhudiwa Ijumaa wakati wa Siku ya Saba Saba. Viongozi hao washirika wa upinzani wakiongozwa...
  13. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mtanzania afutiwe Kodi za Ardhi na Majengo

    ConstantineJ. Samali Mauki Utangulizi Kila mara huwa nawaza, ikiwa serikali itatekeleza sheria zake kuhusu malipo ya kodi za ardhi na majengo kikamilifu, ikiwa ni pamoja na kupiga mnada viwanja/nyumba ambazo hazazijalipiwa, ni Watanzania wangapi watakosa makazi na kwenda kuishi mitaani? Sipati...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, suala la ardhi la Shirika la Maendeleo Dar es Salaam na wananchi ni saizi yako. Futa hati, gawia wananchi, DDC waje Serikalini tumalizane

    Hawa watu wa DDC hata kama Wana hati, hawakutimiza sharti la msingi la kulinda ardhi yao. Hili ni shirika la umma, liko chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano, sioni sababu kwa nini lisumbue wananchi. Rais akilifutia umiliki kwani litamfanyaje? Si ni shirika la umma? Na kiongozi ni Rais...
  15. RAMAKISIMA

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwazi katika huduma ofisi za ardhi

    Ardhi ni rasilimali hitajika katika nyanja za kiuchumi, kijamii, kisiasa. Mahitaji ya ardhi yakuwa kwa kasi kutokana na kuongezeka kwa idadi ya watu na shughuli za kiuchumi. Serikali ya Tanzania Kwa kujua umuhimu wa ardhi imeweka wizara ya ardhi na maendeleo ya makazi kwaajili ya kuratibu...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mnzava Asisitiza Kuwa na Mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi ili Kumaliza Migogoro ya Ardhi Nchini

    MHE TIMOTHEO MNZAVA ASISITIZA KUWA NA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI ILI KUMALIZA MIGOGORO YA ARDHI NCHINI "Nampongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya ya kujali maisha ya wananchi wa nchi hii. Maazimio haya ni ushahidi wa namna...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Baraza la Ardhi la wilaya ya Ubungo, ofisi zao ziko sehemu gani?

    Habari wadau. Naomba msaada wa kuelekezwa zilipo ofisi za baraza la ardhi wilaya ya ubungo zilipo. Zipo sehemu gani?
  18. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Taasisi za kidini zinahodhi maeneo makubwa ya Ardhi Tanzania? Wapewe wananchi

    Siyo siri, Tanzania taasisi za kidini takriban zote, kwenye mikoa na wilaya zote zinahodhi maeneo makubwa ya ardhi ambayo hayatumiki kabisa au utakuta kwenye maeneo yao makubwa wanayohodhi kinejengwa kijumba kimoja au viwili vya kuzuga tu. Wakati huohuo tunasikia mara kwa mara migogoro ya...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Hakuna Uuzwaji wa Ardhi Mkataba wa DP World na Tanzania

    MHE. ELIBARIKI KINGU - HAKUNA UUZWAJI WA ARDHI MKATABA WA DP WORLD NA TANZANIA "Tukiwa kama wabunge tuna nafasi ya kusema vitu vinavyotoa muelekeo wa nchi. Mafanikio tunayoyazungumza ya Serikali ya awamu ya sita nyanja za Kiuchumi, Kijamii, Kisiasa kwa dhati ya moyo niseme Waziri wa Fedha na...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali yashauriwa kuongeza bajeti kwenye tume ya taifa ya matumizi bora ya ardhi

    MHE. JAFARI WAMBURA AISHAURI SERIKALI KUTENGA FEDHA ZA KUTOSHA KWAAJILI YA TUME YA TAIFA YA MATUMIZI BORA YA ARDHI NCHINI Mbunge wa Jimbo la Rorya Mhe. Jafari Chege Wambura tarehe 22 Juni 2023 amechangia hotuba ya Bajeti ya Serikali Kuu kwa mwaka 2023-2024 bungeni jijini Dodoma "Namshukuru...
Back
Top Bottom